Joti (@jotiofficial) 's Twitter Profile
Joti

@jotiofficial

Tanzania's Comedian

ID: 597190452

linkhttp://joti.co.tz calendar_today02-06-2012 05:15:24

47,47K Tweet

596,596K Followers

170 Following

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mama anaipa Dar es Salaam miundombinu inayoendana na hadhi yake ya kuwa mji mkuu wa kibiashara. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi

Mama anaipa Dar es Salaam miundombinu inayoendana na hadhi yake ya kuwa mji mkuu wa kibiashara.

#TikiKwaSamia
#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄𝐓𝐈𝐍𝐈 #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

𝐌𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄𝐓𝐈𝐍𝐈

#TikiKwaSamia 
#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mama amejenga masoko makubwa 33. Yametoa ajira, yanakuza biashara na kuwapa wajasiriamali usalama wakati wote. #OktobaTunatikiSamia

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mama ameongeza miradi 767 ya umwagiliaji ndani ya Miaka Minne tu. Tuna chakula cha kutosha, mauzo ya nje yameongezeka na uchumi wetu unakua. #OktobaTunatikiSamia

Mama ameongeza miradi 767 ya umwagiliaji ndani ya Miaka Minne tu.

Tuna chakula cha kutosha, mauzo ya nje yameongezeka na uchumi wetu unakua.

#OktobaTunatikiSamia
Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Bei ya juu ya kilo ya korosho mwaka 2020 ilikuwa TZS 2,707. Bei ya juu ya kilo ya korosho mwaka 2024 ilifika TZS 4,195. #OktobaTunatikiSamia

Bei ya juu ya kilo ya korosho mwaka 2020 ilikuwa TZS 2,707.

Bei ya juu ya kilo ya korosho mwaka 2024 ilifika TZS 4,195.

#OktobaTunatikiSamia
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya mwaka 2021, tulikuwa na wodi 14 za Watoto Njiti. Kufikia mwaka 2024, zimeongezwa kufikia 165. Mama amethibitisha dhamira yake ya kudhibiti vifo vya watoto wachanga. #OktobaTunatikiSamia

Kabla ya mwaka 2021, tulikuwa na wodi 14 za Watoto Njiti.

Kufikia mwaka 2024, zimeongezwa kufikia 165.

Mama amethibitisha dhamira yake ya kudhibiti vifo vya watoto wachanga.

#OktobaTunatikiSamia
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mama leo atazindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Dira hii ambayo ni maoni ya wananchi inalenga ifikapo mwaka 2050, Tanzania iwe nchi ya mfano duniani katika ustahimilivu, ubunifu, ustawi na diplomasia, ikichochewa na rasilimali zake, miundombinu imara na nguvukazi mahiri na

Mama leo atazindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Dira hii ambayo ni maoni ya wananchi inalenga ifikapo mwaka 2050, Tanzania iwe nchi ya mfano duniani katika ustahimilivu, ubunifu, ustawi na diplomasia, ikichochewa na rasilimali zake, miundombinu imara na nguvukazi mahiri na
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anaweka historia kwa kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo. Dira ya kwanza (2000-2025) iliandikwa na Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa. #OktobaTunatikiSamia

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anaweka historia kwa kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo.

Dira ya kwanza (2000-2025) iliandikwa na Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa.

#OktobaTunatikiSamia