KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile
KCB Bank Tanzania

@kcbbanktz

KCB Bank Tanzania is a subsidiary of KCB Bank Group, a regional bank providing banking services to over 2 million people in East Africa.

ID: 3375508024

linkhttps://kcbbank.co.tz/ calendar_today14-07-2015 09:32:08

4,4K Tweet

26,26K Followers

6 Following

KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

“Nikiwa na nyingi ndo nitasave…” That’s a trap! Anza na ulichonacho. Kesho iko mikononi mwako. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

“Nikiwa na nyingi ndo nitasave…”
That’s a trap!
Anza na ulichonacho. Kesho iko mikononi mwako.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Kina Mama; Tunawashukuru kwa nafasi yenu ya kipekee katika maisha yetu, upendo wenu huleta utulivu, na matumaini. Heri ya Siku ya Mama Duniani! #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Kina Mama;

Tunawashukuru kwa nafasi yenu ya kipekee katika maisha yetu, upendo wenu huleta utulivu, na matumaini. 

Heri ya Siku ya Mama Duniani!

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Pesa yako itabaki kama ilivyo! Anza leo kuweka akiba na Simba Savers Account bila stress za makato huku ukifurahia riba ya 6-7% #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Pesa yako itabaki kama ilivyo!

Anza leo kuweka akiba na Simba Savers Account bila stress za makato huku ukifurahia riba ya 6-7%

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Vision inaanza na akiba. Fungua KCB Junior Account kwa mwanao leo future yake ianze kushine mapemaa! #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Vision inaanza na akiba.
Fungua KCB Junior Account kwa mwanao leo future yake ianze kushine mapemaa!

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Karibu tuchangie damu, karibu tuokoe maisha! Gusa maisha ya mtu kwa kufanya jambo sahihi la kuchangia damu. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Karibu tuchangie damu, karibu tuokoe maisha!

Gusa maisha ya mtu kwa kufanya jambo sahihi la kuchangia damu.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

MATENDO KIASI. MATOKEO MAKUBWA… CHAGUA “SUSTAINABILITY” KCB Tanzania imefanya kwa mafanikio zoezi la uchangiaji damu lililofanyika Makao Makuu ya Benki jijini Dar es Salaam, kwa ushirikiano na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Tukio hili ni sehemu ya utekelezaji wa ajenda yetu

MATENDO KIASI. MATOKEO MAKUBWA… CHAGUA “SUSTAINABILITY” 
KCB Tanzania imefanya kwa mafanikio zoezi la uchangiaji damu lililofanyika Makao Makuu ya Benki jijini Dar es Salaam, kwa ushirikiano na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Tukio hili ni sehemu ya utekelezaji wa ajenda yetu
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Badilisha CNY au INR kwa bei nafuu, tuma malipo moja kwa moja bila wasiwasi. Tembelea tawi lolote la KCB Tanzania au piga +255 768 982 350. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Badilisha CNY au INR kwa bei nafuu, tuma malipo moja kwa moja bila wasiwasi.

Tembelea tawi lolote la KCB Tanzania au piga +255 768 982 350. 

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Badilisha CNY/INR kwa bei nafuu na tuma moja kwa moja na KCB Bank. Tembelea tawi lolote au piga +255 768 982 350 sasa. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Badilisha CNY/INR kwa bei nafuu na tuma moja kwa moja na KCB Bank.
Tembelea tawi lolote au piga +255 768 982 350 sasa.

#kcbbanktz 
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Anza mapema, anza kisasa, Fungua KCB Junior Account kwa mwanao na umtunzie akiba bila makato ya mwezi. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Anza mapema, anza kisasa, Fungua KCB Junior Account kwa mwanao na umtunzie akiba bila makato ya mwezi.

#kcbbanktz 
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Hakuna makato ya mwezi, hakuna gharama za uendeshaji! KCB Junior Account ni njia rahisi ya kuanza safari ya kifedha kwa mtoto wako. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Hakuna makato ya mwezi, hakuna gharama za uendeshaji! 
KCB Junior Account ni njia rahisi ya kuanza safari ya kifedha kwa mtoto wako.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

ONGOZA KWA KUSUDI! CHAGUA ‘SUSTAINABILITY’ KCB Bank Tanzania, kupitia dhamira yake ya kuwawezesha vijana, ilidhamini uzinduzi wa Pesa Smart Program tarehe 19 Mei 2025 programu iliyoandaliwa na CEOrt na kwa kushirikiana na SSC Capital. Programu hii iliandaa mafunzo ya elimu ya

ONGOZA KWA KUSUDI! CHAGUA ‘SUSTAINABILITY’

KCB Bank Tanzania, kupitia dhamira yake ya kuwawezesha vijana, ilidhamini uzinduzi wa Pesa Smart Program tarehe 19 Mei 2025 programu iliyoandaliwa na CEOrt na kwa kushirikiana na SSC Capital.

Programu hii iliandaa mafunzo ya elimu ya
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Akiba iwe priority namba 1. Hakuna makato, hakuna stress ni wewe na future yako tu. Weka hela zako kwenye Simba Savers Account upate riba ya kuuanzia 6% hadi 7%. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Akiba iwe priority namba 1.
Hakuna makato, hakuna stress ni wewe na future yako tu.
Weka hela zako kwenye Simba Savers Account upate riba ya kuuanzia 6% hadi 7%.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Weekend ya mwisho wa mwezi bila makato ni kitu safi sana! Tumia KCB VISA Debit/Credit Card kulipa bills, kununua kila kitu unataka bila ada ya miamala. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Weekend ya mwisho wa mwezi bila makato ni kitu safi sana!

Tumia KCB VISA Debit/Credit Card kulipa bills, kununua kila kitu unataka bila ada ya miamala.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Mkoani? Town? Haijalishi. Huduma zetu za kidigitali zinakuweka karibu na pesa yako ukiwa popote bila kukwama. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Mkoani? Town? Haijalishi.

Huduma zetu za kidigitali zinakuweka karibu na pesa yako ukiwa popote bila kukwama.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Anza June usingoje Desemba! Wekeza mapema bila makato ya mwezi kupitia Simba Savers Account na ufurahie riba ya 6% hadi 7%. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Anza June usingoje Desemba!

Wekeza mapema bila makato ya mwezi kupitia Simba Savers Account na ufurahie riba ya 6% hadi 7%.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Akaunti yako isiwe ya matumizi tu! Simba Savers iko kwa ajili ya kila hatua unayopiga. Anza sasa. Hakuna makato. Riba 6% mpaka 7%. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Akaunti yako isiwe ya matumizi tu!

Simba Savers iko kwa ajili ya kila hatua unayopiga.

Anza sasa. Hakuna makato. Riba 6% mpaka 7%.

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania (@kcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia Waislamu wote siku njema ya Eid Al Adha! Kila kitakacho fanyika kiongozwe na amani na upendo kwa wote. Eid Mubarak! #kcbbanktz #ForPeopleForBetter

Tunawatakia Waislamu wote siku njema ya Eid Al Adha!

Kila kitakacho fanyika kiongozwe na amani na upendo kwa wote.

Eid Mubarak!

#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter