Maiyoo (@kamau_kinyamo) 's Twitter Profile
Maiyoo

@kamau_kinyamo

Gunners for life. Good vibes all day...Random tweets Man on a mission

ID: 1680759512154750977

calendar_today17-07-2023 02:01:48

1,1K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Kiplangat 🇰🇪 (@grray_k) 's Twitter Profile Photo

Every group has that one girl mwenye mkikuwa around men lazima ajifanye yeye ndio wife material, sasa mbona unaosha vyombo na kupiga duster Mariam?

Maiyoo (@kamau_kinyamo) 's Twitter Profile Photo

Unaomba mtu advice juu ya mental issues anakuambia wewe ni mwanaume unafaa kuvumilia.. enyewe ndio mana daily youths wanajimada joh🥲

Njogu (@kozupat) 's Twitter Profile Photo

Siku nilipewa ikakataa kusimama nlisema 🥲"the last time nlipewa nlimess nikapata mtoto thats why nimeogopa ikakataa kusimama" wewe ulisema aje😂

Maiyoo (@kamau_kinyamo) 's Twitter Profile Photo

Kama sisi tukiwa na stress huwa tunaenda coast kutuliza akili si basi watu wa coast hawafai kuwa na stress at any time juu mtu hufika kwao akili inatulia🤔