Kuna huyu dem aliishi kuninyima 6 months ,so siku moja ikajipa , nilimtumia fare ya kukuja all the way from Nairobi to Eldoret kufika kwa mlango akapata kifuli kunipigia simu nikamwambia siko arudi, na I had made sure hana pesa zingine Mpunguze kiburi wasichana.
Mimi viatu yangu mlibully adi nikatupa,but I am not allowed to have opinions on looks ya watu hapa pia?simply because they are your favourites? Kwendeni uko.kama huezi handle trolls just log out.