Kassim Majaliwa Majaliwa (@kassimmajaliwa_) 's Twitter Profile
Kassim Majaliwa Majaliwa

@kassimmajaliwa_

Official account of the Prime Minister of the United Republic of Tanzania. Member of Parliament Ruangwa Constituency-Lindi

ID: 1384738786840547328

linkhttp://pmo.go.tz calendar_today21-04-2021 05:20:49

83 Tweet

99,99K Followers

3 Following

Kassim Majaliwa Majaliwa (@kassimmajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwatakia Waislam na Watanzania wote Sikukuu njema ya EID. Katika kipindi hiki cha Sikukuu ninawaomba Watanzania wenzangu tuliombee Taifa letu ili lizidi kustawi kwa baraka na mafanikio.

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwatakia Waislam na Watanzania wote Sikukuu njema ya EID.

Katika kipindi hiki cha Sikukuu ninawaomba Watanzania wenzangu tuliombee Taifa letu ili lizidi kustawi kwa baraka na mafanikio.
Kassim Majaliwa Majaliwa (@kassimmajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe wa Tanzania niliouwasilisha Septemba 27, 2024 kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 79) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jijini New York, Marekani.

Ninaungana na Watanzania wenzangu kukutakia kheri na baraka katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako Mhe. Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunamuomba Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema ili uendelee kuwa zawadi kwa Watanzania. HAPPY BIRTHDAY

Ninaungana na Watanzania wenzangu kukutakia kheri na baraka katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako Mhe. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema ili uendelee kuwa zawadi kwa Watanzania.

HAPPY BIRTHDAY
Kassim Majaliwa Majaliwa (@kassimmajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia Waislamu wote heri ya mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Tuutumie mwezi huu kuliombea Taifa letu sambamba na kudumisha amani, umoja, upendo na mshikamano miongoni mwetu. Ramadhan Kareem.

Ninawatakia Waislamu wote heri ya mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan. 

Tuutumie mwezi huu kuliombea Taifa letu sambamba na kudumisha amani, umoja, upendo na mshikamano miongoni mwetu.

Ramadhan Kareem.