Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile
Katego ladslaus

@kategoladslaus3

Political activist in ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ...

Civil Rights & Good Governance...
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

ID: 1415698631085146112

calendar_today15-07-2021 15:44:07

2,2K Tweet

729 Followers

363 Following

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Mwaka Huu Hakuna Uchaguzi Kwenye Nchi Hii,Ogopa Matapeli... Lakni Pia Wanaosema Kwamba Piga Kura Linda Kura Huo Ni Utapeli... Kanuni Za Tume Ya uchaguzi Zinasema Ukimaliza Kupiga Kura Nenda Nyumbani Hizo Kura Utazilindaje Wakati Umesaini Kwenda Nyumban

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Tukisema Huyu Jamaa Ni Kichaa Tutakuwa Tumekosea Kweli? Imagine Huyu Naye Aliwahi Kuwaminiwa Na Kuwa Mbunge Wa Jimbo La Uchaguzi... Tukubaliane Kwamba Huyu Ni Tapeli Kama Matapeli Wengine... Swali Kwako Wewe Mchumia Tumbo Wa Kupitia Siasa Tueleze Hizo Kura Tutalinda Vipi?

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Mkuu Mbona Unanadi Sera Ambazo Kimsingi Zilipaswa Kunadiwa Na Mgombea Urais Wa Chama Chako. Wewe Ulikuwa Na Heshima Kubwa Sana Kwenye Jamii Yetu, Kama Mwana Mageuzi Uliaribu Pale Ulipo-Amua Kuungana Na Watesi Wetu. Yeyote Anayeungana Na Vyama Shikizi Huyo Ni Msaliti Na Nitapel

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Ni Vile Tuna-Taifa Lenye Viongozi Ambao Ni Wakilishi WanaNchi Wasio-Fahamu Nafasi Zao Kwenye Muhimili Wa Bunge... Huyu Hakuwa Na Sifa Hata Robo Ya Kuwa Kiongozi Wa Muhimili Mkubwa Kama Bunge... No, Reform's No Election Ni Kauli Ya Itakayo Maliza Ujinga Wote Kwenye Nchi Yetu..

Ni Vile Tuna-Taifa Lenye Viongozi Ambao  Ni Wakilishi WanaNchi Wasio-Fahamu Nafasi Zao Kwenye Muhimili Wa Bunge...

Huyu Hakuwa Na Sifa Hata Robo Ya Kuwa Kiongozi Wa Muhimili Mkubwa Kama Bunge...

No, Reform's No Election Ni Kauli Ya Itakayo Maliza Ujinga Wote Kwenye Nchi Yetu..
Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Kaka Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Acha Janja Janja Njia Pekee Itakayo Saidia Wakulima Na Maelfu Ya WanaNchi Wa Mikoa Ya Kusini Kuendelea Kune-emeka Na Aridhi Yao,Kupitia Kilimo Ni Kukubaliana Na CDM,Kuanza Kudai Reform's Za Uchaguzi Ili Tupate Viongozi Watakao Wajibika Kwa WanaNchi Utapeli Utaish

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Kauli Ya No Reform's No Election Ni Kauli Ya Kitume Sana. Hatuwezi Kwenda Kwenye Uchaguzi Ambao Washindi Tiyari Washajulikana. Hakuna Haja Ya Kutumia Mabilioni Ya Wavuja Jasho Wa Nchi Kugharamia Uchaguzi Ambao Kikundi Cha Wauni Kinamua Nani Awe Mshindi

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Sasa Kama Unalijua Hili Kuna Haja Gani,Kutaka Kuingia Kwenye Uchaguzi Ilihali Ukifahamu Fika Kwamba Uwezi Kushinda Hata Jimbo Moja Labda Upewe Sandakarawe? Kimsingi Wewe Zito Ni Tapeli Kama Walivyo Matapeli Wengine... Tambueni Hakuna Uchaguzi Bila Reform's Za Tume Ya uchaguzi..

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Weka Hadle Yako Hapa Tuku-Follow, Wakati Huu Balozi Wa Tanzania Kwenye Nchi Za Karibe Yaani Cuba,Colombia Venezuela Na Guyama,Mh. Balozi Humphrey Pole Poke,Akiwa Amejitenga Na Utawala Katili Wa Mama Yenu..

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Gwajima Ajagusia Masuala Ya Kufungwa Kanisa Kwa Sababu Kanisa Ni La Mungu Amemuachia Mungu Ashughulikie Na Waliolifunga Kanisa La Mungu...

Gwajima Ajagusia Masuala Ya Kufungwa Kanisa Kwa Sababu Kanisa Ni La Mungu Amemuachia Mungu Ashughulikie Na Waliolifunga Kanisa La Mungu...
Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Nyie Machawa Msiyo Itakia Mema Nchi Yetu, Endeleeni Kukazaa Fuvu Kwamba October #Mnatiki Ilihali Mkifahamu Ya Kwamba ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Kushinda Uchaguzi Siyo Kazi Nguvu Bali Kutawala Nchi Ambayo Imemeguka Meguka Kwa Sababu Ya Makovu Ya Uchaguzi Ndiyo Kazi Ngumu Kuliko Mnavyo Fikiria...

Nyie Machawa Msiyo Itakia Mema Nchi Yetu, Endeleeni Kukazaa Fuvu Kwamba October #Mnatiki Ilihali Mkifahamu Ya Kwamba ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Kushinda Uchaguzi Siyo Kazi Nguvu Bali Kutawala Nchi Ambayo Imemeguka Meguka Kwa Sababu Ya Makovu Ya Uchaguzi Ndiyo Kazi Ngumu Kuliko Mnavyo Fikiria...
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

โ€ผ๏ธCUT OF YOUR NOSE TO SPITE YOUR FACEโ€ผ๏ธ Yaani Balozi Possi kawezesha hii kesi ya madai iweze kwenda mbele ๐Ÿ™„ Aliona sifa kukiri kuwa serikali ya Tanzania ndo ilikuwa na The Peopleโ€™s Watchman na Agather Atuhaire muda wote! Sasa hapa mkibisha hamkuwatesa mtaumbuka sana na itabidi kwenda kujibu

โ€ผ๏ธCUT OF YOUR NOSE TO SPITE YOUR FACEโ€ผ๏ธ
Yaani Balozi Possi kawezesha hii kesi ya madai iweze kwenda mbele ๐Ÿ™„
Aliona sifa kukiri kuwa serikali ya Tanzania ndo ilikuwa na <a href="/bonifacemwangi/">The Peopleโ€™s Watchman</a> na <a href="/AAgather/">Agather Atuhaire</a> muda wote! 
Sasa hapa mkibisha hamkuwatesa mtaumbuka sana na itabidi kwenda kujibu
Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Kwa Wale Wenye Kushupaza Shingo Ushauri Wa Bure๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Ni Vema Mkajiandaa Kisaikolojia Kwamba Baada Ya Muda Wa Urithi Wa urais Wa Samia Kuwa Umetamatika Hapo Octobe Rais Ajaye Wa Nchi Yetu Ni Tundu Lissu.. TUNDU ANTIPAS LISSU Rais Wa Saba Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ajaye.

Kwa Wale Wenye Kushupaza Shingo Ushauri Wa Bure๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Ni Vema Mkajiandaa Kisaikolojia Kwamba Baada Ya Muda Wa Urithi Wa urais Wa Samia Kuwa Umetamatika Hapo Octobe Rais Ajaye Wa  Nchi Yetu Ni Tundu Lissu..

TUNDU ANTIPAS LISSU Rais Wa Saba Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ajaye.
Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Fedha Za Wavunja Jasho Maskini Wa Taifa Langu Zinaenda Kungharamia Fidia Dhidi Ya Udhalikishaji Kwa Wanaharakati Bon&Aghater... Hakuna Mahala Tanzania Itachomoka Kwenye Kesi Hii.. Tanzania Ni Jamhuri Kwanini Kikundi Cha Wauni Wachache Kwenye Nchi Waharibu Taswira Ya Nchi Yetu?

Fedha Za Wavunja Jasho Maskini Wa Taifa Langu Zinaenda Kungharamia Fidia Dhidi Ya Udhalikishaji Kwa Wanaharakati Bon&amp;Aghater...

Hakuna Mahala Tanzania Itachomoka Kwenye Kesi Hii..

Tanzania Ni Jamhuri Kwanini Kikundi Cha Wauni Wachache Kwenye Nchi Waharibu  Taswira Ya Nchi Yetu?
Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Samia Awezi Kuwa Mgombea Urais Wa CCM,Hapo October.... Bado CCM,Haijampitisha Mgombea Urais Wao.... Siku Ile Pale Dodoma Kilichopitisha Ni Azimio Kwa Msingi Huo,Bado Hawajawa Na Mgombea Urais... Muhimu Kusave Hii Hakika Nawaambieni Kwamba Huyu Mama Kamwe Hawezi Kuwa Mgombea...

Samia Awezi Kuwa Mgombea Urais Wa CCM,Hapo October....

Bado CCM,Haijampitisha Mgombea Urais Wao....

Siku Ile Pale Dodoma Kilichopitisha Ni Azimio Kwa Msingi Huo,Bado Hawajawa Na Mgombea Urais...

Muhimu Kusave Hii Hakika Nawaambieni Kwamba Huyu Mama Kamwe Hawezi Kuwa Mgombea...
Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Ni Ukweli Usio Kuwa Na Shaka... Kwamba Kuna Watu Ambao "Maneno Yao, Ushauri Wao Na Fikira Zao Ni Kwa Ajili Ya Matumbo Yao... Na Pia Kuna Watu Ambao Maneno Yao Ushauri Wao Na Fikira Zao Ni Kwa Ajili Ya Nchi Yao" Watu Hawa Wako Ndani Ya Serikali Na CCM

Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Maamzi Ya Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Wa CHADEMA,Waliyoyafanya, January 22,2025,Pale Mlimani City,Ndiyo Ilikuwa Njia Pekee Ya Kumaliza Udalali &Utapeli Wa Muda Mrefu Wa Siasia Za Upinzani Za Hapa Nchini Kwetu,Lakni Pia Ndiyo Njia Pekee Iliyokuwa Imebakia Ili Kurudisha Uhai Wa CDM๐Ÿ‘‡

Maamzi Ya Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Wa CHADEMA,Waliyoyafanya, January 22,2025,Pale Mlimani City,Ndiyo Ilikuwa Njia Pekee Ya Kumaliza Udalali &amp;Utapeli Wa Muda Mrefu Wa Siasia Za Upinzani Za Hapa Nchini Kwetu,Lakni Pia  Ndiyo Njia Pekee Iliyokuwa Imebakia Ili Kurudisha Uhai Wa CDM๐Ÿ‘‡
Katego ladslaus (@kategoladslaus3) 's Twitter Profile Photo

Leo,Naomba Kunifunza Jambo Kutoka Kwenu,Wadau Wa "X Kupatikana Kwa Wingi Noti Ya Shilingi Elfu 10, Kwenye Mzunguko Na Noti Za Chini Yake,Kuwa Adimu Kwenye Mzunguko Ni Ishara Ipi,Kati Ya Hizi Hapa?๐Ÿ‘‡ Ni Kukuwa Kwa Uchumi Wa Nchi? Hama Ni Kudhorota Kwa Uchumi Kwa Nchi ? Tujadili

Leo,Naomba Kunifunza Jambo Kutoka Kwenu,Wadau Wa "X

Kupatikana Kwa Wingi Noti Ya Shilingi Elfu 10, Kwenye Mzunguko Na Noti Za Chini Yake,Kuwa Adimu Kwenye Mzunguko Ni Ishara Ipi,Kati Ya Hizi Hapa?๐Ÿ‘‡

Ni Kukuwa Kwa Uchumi Wa Nchi?

Hama Ni Kudhorota Kwa Uchumi Kwa Nchi ? Tujadili