Anold Kayanda (@kayandaanold) 's Twitter Profile
Anold Kayanda

@kayandaanold

Multimedia producer at the United Nations HQ-New York, USA. Former BBC Journalist, Ex Clouds FM Top 20 main Anchor.

ID: 1285268410893565952

linkhttps://news.un.org/sw/ calendar_today20-07-2020 17:41:04

585 Tweet

556 Followers

66 Following

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Afisa wa UNnchini #Sudan Nkweta-Salami ametoa wito wa msaada zaidi kwa wananchi huku vita vya kikatili kati ya majeshi hasimu vikitimiza miaka miwili. -Mahitaji ya kibinadamu yanaongezeka -Kuna hatari ya kuenea kwa janga la njaa Ufadhili unazidi kupungua. news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐”๐‡๐“๐€๐’๐€๐‘๐ˆ na Anold Kayanda ๐Ÿ“Œ#Sudan Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antรณnio Guterres asema wamejizatiti kusaka suluhu ya vita ๐Ÿ“ŒMafuriko, vita, uhaba wa chakula vyafurusha raia #DRC Le HCR en RDC ๐Ÿ“ŒMkutano wa UN ECOSOC President kuhusu vijana wang'oa nanga #SDGs #ECOSOCYouth

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐”๐‡๐“๐€๐’๐€๐‘๐ˆ na Anold Kayanda ๐Ÿ“ŒKauli ya Pierre Peron wa UN Humanitarian kuhusu mahitaji ya raia #DRC waliorejea nyumbani ๐Ÿ“ŒRipoti ya #UNMISS UNMISS yaonesha ๐Ÿ“ˆ la 51% la walioathiriwa vibaya na mzozo #SouthSudan ๐Ÿ“ŒHuko #Gaza UNRWA na wenyeji wakarabati mtambo wa ๐Ÿšฐ๐Ÿ’ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

.United Nations yaomboleza ๐—ž๐—ถ๐—ณ๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€ Apostolica Sedes Vacans Papa Francis na Umoja wa Mataifa walikuwa chanda na pete Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, amefariki dunia leo Jumatatu Aprili 21 katika makazi yake huko Vatican, Roma nchini Italia, akiwa na umri wa miaka 88.

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐— ๐—จ๐—›๐—ง๐—”๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—œ na Anold Kayanda ๐ŸŽฏMratibu wa OCHA Ukraine Matthias Schmale alaani shambulizi la #Russia nchini #Ukraine #NOTARGET ๐ŸŽฏ Kukatwa ufadhili kwahatarisha utoaji chanjo๐Ÿ’‰#Immunizationweek ๐ŸŽฏ Leo ni #GirlsInICTDay Kauli ya ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ป ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ถ kutoka #Kenya

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Leo tunaangazia siku ya Kimataifa ya Usalama na Afya Kazini, na juhudi za Umoja wa Mataifa za kusaidia wakulima Sudan Kusini kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.Makala tunasalia na usalama kazini na mashinani inatoka nchini #Kenya Msomaji Anold Kayanda news.un.org/sw/audio/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Ni kwa vipi TANLAP inasaidia makundi maalum kwenye kupata haki za kisheria โš–๏ธ#Tanzania ? Anold Kayanda wa Umoja wa Mataifa amezungumza na Mkurugenzi Mtendaji ๐—–๐—ต๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฅ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ United Nations CSW #CSW69

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐— ๐—จ๐—›๐—ง๐—”๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—œ na Anold Kayanda ๐Ÿ“ŒMakubaliano yapitishwa #WHA78 kukabili #pandemic World Health Organization (WHO) ๐Ÿ“ŒHuko #Gaza misafara ya misaada yaanza kuingia UN Humanitarian ๐Ÿ“ŒUkata kukata misaada ya chakula kwa wahitaji #DRC WFP DRC

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Jarida na Anold Kayanda ๐ŸŽ™๏ธKauli kuhusu mashambulizi ya #Russia nchini #Ukraine ๐ŸŽ™๏ธMradi wa Operesheni Rejea Shuleni UNICEF Kenya ๐ŸŽ™๏ธWalinda amani wa #UN huko UNMISS kuelekea #Pkday ๐ŸŽ™๏ธWakimbizi wa #Rwanda warejea nyumbani kutoka #DRC Le HCR en RDC news.un.org/sw/audio/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Ni kwa vipi UNICEF en RDC inasaidia watoto ku rejea shuleni mashariki mwa #DRC licha ya ghasia zinazoendelea? Ungana na Anold Kayanda katika simulizi hii ya mwanafunzi wa darasa la 6 jimboni Kivu Kaskazini.

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Hii leo jaridani Anold Kayanda anamulika ๐Ÿ“ŒHuko #Nice #UNOC3 ๐Ÿ“ŒMradi wa FAO Afrique centrale huko Sao Tome na Principe ๐Ÿ“ŒJinsi UN Environment Programme in Tanzania inasongesha #ClimateAction ๐Ÿ“ŒVijana na hifadhi ya mazingira #Kenya news.un.org/sw/audio/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Muhtasari na Anold Kayanda ๐Ÿ“ŒWanaofurushwa makwao wazidi kuongezeka UNHCR, the UN Refugee Agency ๐Ÿ“ŒMtoto mwenye umri wa miaka 12 #SierraLeone aponda kokota kukimu familia UNICEF Sierra Leone #EndChildLabour ๐Ÿ“ŒNjaa yatikisa maeneo yenye vita #SouthSudan UNICEF South Sudan WFP South Sudan FAO in South Sudan

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“New York Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antรณnio Guterres ahutubia mkutano wa mwaka wa Amnesty International ๐Ÿ“ŒAmepongeza shirika hilo kwa kusimama kidete kutetea haki ๐Ÿ“ŒAzungumzia matamanio ya watoto #Gaza ya kwenda "mbinguni" kwani huko wanasema kuna chakula. Anold Kayanda ๐•ƒ๐•–๐•’๐•™ ๐•„๐•ฆ๐•ค๐•™๐•š

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

MUHTASARI na Anold Kayanda ๐Ÿ“ŒDalili za baa la njaa #Gaza #IPC Vigezo 2 kati ya 3 viko dhahiri ๐Ÿ“ŒMkutano wa maspika wa mabunge IPUparliament ๐Ÿ“ŒHuko #Brazil wanajadili tabianchi na afya #Climate #health PAHO/WHO

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa leo ni tamati ya #WorldBreastfeedingWeek Anold Kayanda anamulika akina mama wenye magonjwa sugu kama #diabetes wanafanya nini kuhakikisha wananyonyesha watoto wao. WHO Tanzania Shukrani sana kwa Evarist Mapesa wa Muhimbili National Hospital