Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile
Kilimanjaro Christian Medical Centre

@kcmc1971

Kilimanjaro Christian Medical Centre is located in the foothills of the snow capped, Mount Kilimanjaro, Tanzania.

ID: 1111594636798316545

linkhttps://kcmc.ac.tz calendar_today29-03-2019 11:43:08

1,1K Tweet

5,5K Followers

57 Following

Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Wenye matatizo ya Mzio wa Ngozi (Skin Allergy) kutana na Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ngozi na Zinaa - KCMC. Kwa Taarifa na Miadi (Appointment) piga namba zifuatazo 0759 438 315.

Karibu katika Idara ya Ngozi KCMC! Upate huduma bora za Ngozi zikiwemo: kuondoa chunusi na makovu ya chunusi, weusi usoni (chemical peels), mishipa midogo ya damu miguuni (spider veins) na mengine mengi. Kwa Taarifa na Miadi(appointment) piga namba: +255 759 438 315

Karibu katika Idara ya Ngozi KCMC! Upate huduma bora za Ngozi zikiwemo: kuondoa chunusi na makovu ya chunusi, weusi usoni (chemical peels), mishipa midogo ya damu miguuni (spider veins) na mengine mengi.

Kwa Taarifa na Miadi(appointment) piga namba: +255 759 438 315
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Je? Umekua ukipata mfadhaiko au unyanyapaa kutokana na Ngozi yako, kutana na Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ngozi na Zinaa - KCMC wakurudishie tabadamu lako Kwa Taarifa na Miadi (Appointment) piga namba zifuatazo: 0759 438 315

Je? Umekua ukipata mfadhaiko au unyanyapaa kutokana na Ngozi yako, kutana na Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ngozi na Zinaa - KCMC wakurudishie tabadamu lako 

Kwa Taarifa na Miadi (Appointment) piga namba zifuatazo: 0759 438 315
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya KCMC kupitia Idara yake ya Maabara leo tarehe 26/04/2025 imehitimisha maadhimisho ya Wiki ya Maabara za Afya Duniani ambayo yalianza rasmi tarehe 20 Aprili 2025. Katika kuadhimisha wiki hii muhimu, KCMC imehudumia wananchi kwa kutoa huduma za upimaji wa afya BURE

Tunakukaribisha ukutane na Dkt. Tom, Daktari Bingwa Mbobezi wa Uzazi Saidizi na Upandikizaji hapa KCMC. Kwa kutumia teknolojia ya kisasa na uzoefu wa hali ya juu, tunatoa huduma mbalimbali za kusaidia ndoto yako ya kupata mtoto kutimia. Usikate tamaa – KCMC tupo kwa ajili yako!

Tunakukaribisha ukutane na Dkt. Tom, Daktari Bingwa Mbobezi wa Uzazi Saidizi na Upandikizaji hapa KCMC.
Kwa kutumia teknolojia ya kisasa na uzoefu wa hali ya juu, tunatoa huduma mbalimbali za kusaidia ndoto yako ya kupata mtoto kutimia.
Usikate tamaa – KCMC tupo kwa ajili yako!
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Epuka Magonjwa ya Zinaa kwa kuwa na mwenzi mmoja wa kudumu, kutumia kinga wakati wa kujamiiana, na kujitokeza mapema kwa uchunguzi pale unapohisi dalili yoyote isiyo ya kawaida. Kumbuka, afya ya ngozi yako ni sehemu muhimu ya afya yako kwa ujumla! Afya yako ni kipaumbele chetu!

Epuka Magonjwa ya Zinaa kwa kuwa na mwenzi mmoja wa kudumu, kutumia kinga wakati wa kujamiiana, na kujitokeza mapema kwa uchunguzi pale unapohisi dalili yoyote isiyo ya kawaida.
Kumbuka, afya ya ngozi yako ni sehemu muhimu ya afya yako kwa ujumla!
Afya yako ni kipaumbele chetu!
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Dkt. Gloria Masenga Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ngozi na Zinaa KCMC anawakaribisha wananchi wote wenye magonjwa ya nywele na kucha kufika katika Idara ya Ngozi KCMC ili wawezekupata ushauri na matibabu kutoka kwa wataalamu wabobezi wa maswala ya Ngozi

Kilimanjaro Christian Medical Centre imepokea ugeni kutoka shirika la KidsOR la nchini Scotland linalojitolea kuboresha huduma za afya ya watoto kupitia uwekezaji kwenye miundombinu ya upasuaji. Lengo la ziara ni kutembelea na kukagua jengo linalojengwa kwa ajili ya vyumba maalum vya upasuaji kwa watoto

<a href="/Kcmc1971/">Kilimanjaro Christian Medical Centre</a> imepokea ugeni kutoka shirika la KidsOR la nchini Scotland linalojitolea kuboresha huduma za afya ya watoto kupitia uwekezaji kwenye miundombinu ya upasuaji.
Lengo la ziara ni kutembelea na kukagua jengo linalojengwa kwa ajili ya vyumba maalum vya upasuaji kwa watoto
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Katika uchaguzi mkuu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) uliofanyika usiku wa tarehe 11 Mei Mkoani Iringa, Dkt. Ezekiel H. Mbao amechaguliwa kuwa Rais mpya wa chama hicho kwa kipindi cha mwaka 2025-2028. Uchaguzi huu umefanyika kwa uwazi na ushindani mkubwa.

Viongozi wa Kanisa la Kilutheri kutoka Kaskazini mwa Ujerumani wakiambatana na Askofu Jones Meliyo wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Kenya, wamefanya ziara KCMC. Ziara hii ilikuwa fursa ya kipekee kwa KCMC kushirikiana nao katika masuala ya ukuaji wa kanisa