SPARROW πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡°πŸ‡ͺ (@kefamunala) 's Twitter Profile
SPARROW πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡°πŸ‡ͺ

@kefamunala

ain't a tequila tott to make everyone happy🫡

ID: 1458326286649241600

calendar_today10-11-2021 06:51:46

3,3K Tweet

2,2K Followers

4,4K Following

SPARROW πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡°πŸ‡ͺ (@kefamunala) 's Twitter Profile Photo

Na tukifika state house,ile time mtakua mnahang Ruto. Sector ya kitchen itabakia ya mimi, ombachi na sue owino we'll be busy preparing lunch for you people.

SPARROW πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡°πŸ‡ͺ (@kefamunala) 's Twitter Profile Photo

Now, who's subbortaging the economy?,of course, ni government mbona wafunge barabara sasa na hata leo hatukua twende hii maandamanoπŸ˜‚. Wamejipiga own goal, and it's a slight win

SPARROW πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡°πŸ‡ͺ (@kefamunala) 's Twitter Profile Photo

#77sirininumbers kazi ni kushinda tu kambi na police station wacha leo wapigwe na baridi as they protect the properties ,we pay them through our taxesπŸ˜…πŸ«΄

SPARROW πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡°πŸ‡ͺ (@kefamunala) 's Twitter Profile Photo

Hii baridi yote sisi kama Genz hatuwezi jisumbua kwenda streets to protest,hii game tumemalza na first half .breakfast in bed as I scroll my phone, kuwatch vile D- materials wakinyeshewaπŸ˜‚ #SabaSabaRevolutionDay #77sirininumbers #RutoMustGo

SPARROW πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡°πŸ‡ͺ (@kefamunala) 's Twitter Profile Photo

Kuna mwaka tulitangaza maandamano na hatukenda Polisi wakabaki wamefunga barabara zote wakingoja tufike. #SabaSabaRevolutionDay #SiriNiNumbers #RutoMustGo

Kuna mwaka tulitangaza maandamano  na hatukenda Polisi wakabaki wamefunga barabara zote wakingoja tufike.
#SabaSabaRevolutionDay #SiriNiNumbers #RutoMustGo