D cee πŸ‡°πŸ‡ͺ (@keli8keli) 's Twitter Profile
D cee πŸ‡°πŸ‡ͺ

@keli8keli

If we rise, we rise by honour. If we fall then let it be so |

Experienced Academic writer.
DM for business|

Arsenal for life COYG|

ID: 1461735661829079048

calendar_today19-11-2021 16:39:00

8,8K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

D cee πŸ‡°πŸ‡ͺ (@keli8keli) 's Twitter Profile Photo

My last day kwenda mjengo nlieka dem wangu status. Foreman alikua anaitwa Ezekiah alikua na ka fielder KBZ. Buana that nigga told me It's either I sent him my girl's number ama nisirauke. Hio ndio siku ya mwisho kubeba simiti bana.

D cee πŸ‡°πŸ‡ͺ (@keli8keli) 's Twitter Profile Photo

Vijana mkae mkijua hata uoe baddie, akishika mimba lazima body changes will happen. Huyo baddie wako atakaa your shosh from your mother's side for some time. Mimi nlipeleka yeye akakae na mamangu ju alikaa ndovu buana. But after some time she looked better than before apate ball

D cee πŸ‡°πŸ‡ͺ (@keli8keli) 's Twitter Profile Photo

Kuna zinginge zinaitwa Kathi. Coast bus za ukambani buana. Lakini nayo ikifika stage mbele yako inabidi unarudi home urauke kesho.