
Andrine Kilemi
@kilemi_andrine
Award Winning Journalist, Education lead @tv47news, Corporate Mc,Voice over artist, Entrepreneur
ID: 1467409969
29-05-2013 14:17:31
2,2K Tweet
2,2K Followers
508 Following



Joto la kisiasa linazidi kupanda huku Rais William Ruto akijiandaa kwa ziara ya siku tatu katika eneo la Ukambani. Mapema leo baadhi ya wandani wake walitumia majukwaa ya makanisa kuendeleza ajenda za kisiasa. #TV47Wikendi Andrine Kilemi

Familia ya mwanablogu Albert Omondi Ojwang yaomba haki baada ya mwanao kufariki mikononi mwa polisi. #TV47Wikendi Andrine Kilemi

Kifo tatanishi cha mwanablogu Albert Ojwang kimezidi kuzua maswali mengi; wanaharakati hii leo wakiandamana nje ya kituo cha polisi cha Central na nje ya makafani ya Nairobi kudai haki. #UpeoWaTV47 Andrine Kilemi

Huzuni na simanzi zinaendelea kukumba kijiji cha Kokwanyo baada ya kifo tatanishi cha kikatili cha mwalimu na mwanao Albert Omondi katika mikono ya polisi familia yake sasa ikiwa na kumbukumbu za alivyokamatwa wikendi iliyopita nyumbani kwao. #UpeoWaTV47 Andrine Kilemi

Waumini wa kanisa la All Saints ACK Gatwe katika kaunti ya Kirinyaga wamelalamikia ukosefu wa usalama eneo hilo baada ya watu wasiojulikana kuvunja kanisa na kutoweka na televisieni tatu, mvinyo chupa tano na vipasa sauti. #UpeoWaTV47 Andrine Kilemi

Budget day 2025. Also, yeah you are ANNE ODIDAđ°đŞ đ

Tensions boiled over in Homa Bay County on Wednesday when angry residents intercepted the body of the late teacher and blogger Albert Ojwang, who was being transported for burial. #TV47DailyReport #GreenFix #GreenWarriors Shiksha Arora







