Kinywa Salama Initiative
@kinywasalama
Tanzania based NGO 00NGO/R/5956
||Kinywa salama means 'Safe Oral Cavity|| Bridges the gap between Oral health and the local Community
📩 [email protected]
ID: 1650422555482701824
http://www.kinywasalama.org 24-04-2023 08:53:33
540 Tweet
183 Followers
64 Following
Siku ya Jumamosi Rais wa chama Cha wanafunzi wa kada ya kinywa na meno Tanzania Mh.Abdalah Mohamedi Abdallah Mohamedi 🦷 atatembelea chuo Cha Mgao HT kilichopo Njombe..katika Ziara hii Raisi atakutana na wanafunzi pamoja na kufungua rasmi tawi jipya la TDSA Mgao Chapter.. #oralhealth
Kama bado una pambana na tatizo la harufu mbaya ya Kinywa / Halitosis / Oral Malordor, karibu clinic tukuhudumie! Huezi patiwa msaada wa kitabibu anonymously! Smiles Dental Clinic Smiles Dental Clinic is here to help you discover your smile! #DentalCare #OralHealth
Tanzania dental Expo 2025 Recap 🔥🔥🔥 TDE aim at fostering collaboration between dental community and also to elevate dental excellence in Tanzania through innovation,hands on activities as well as technology improvement.. Cc Tanzania Dental Expo
Random picture from my Phone, sharing my expertise before GoH balozi Ulanga na Chief Nzobo Dr Baraka J Nzobo Credits Tanzania Dental Expo