Safal Kiswahili Prize (@kiswahiliprize) 's Twitter Profile
Safal Kiswahili Prize

@kiswahiliprize

The Safal Kiswahili Prize for African Literature founded 2014.

#MiakaKumi #10Years #KiswahiliPrize

Submissions closed.
Awards July.

Insta @TheKiswahiliPrize

ID: 2815059392

linkhttps://kiswahiliprize.org calendar_today17-09-2014 14:47:04

3,3K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

The Thinker (@thethinkeruj) 's Twitter Profile Photo

Lizzy Attree discusses the first-person HIV-positive narrator in two South African novels: Masande Ntshanga's The Reactive (2014) and Eben Venter's Ek Stamel, Ek Sterwe (1996). Read the article in our latest edition – journals.uj.ac.za/.../The_Thinke…

Lizzy Attree discusses the first-person HIV-positive narrator in two South African novels: Masande Ntshanga's The Reactive (2014) and Eben Venter's Ek Stamel, Ek Sterwe (1996). Read the article in our latest edition – journals.uj.ac.za/.../The_Thinke…
Richard R (@raberrichard) 's Twitter Profile Photo

“We are Writing the ‘National’ Story by Exploding the Nationalist’s Version of that Story”: In Conversation with Tsitsi Mapepa and Siphiwe Gloria Ndlovu | Lizzy Attree brittlepaper.com/2023/11/we-are…

YASINI SHEKIBULAH (@yshekibulah) 's Twitter Profile Photo

@LizzyAttree Safal Kiswahili Prize Thank you Dr Lizzy Attree & Dr Mukoma for these amazing gift. You've given us a great platform. Safal Kiswahili Prize has inspired the government of Tanzania to initiate their own Prize in Literature. Your insight has emancipated many Kiswahili poetry, novel and short story writers

Agìkūyū Women & Men (@agikuyuwomen) 's Twitter Profile Photo

Ituìka among the Agìkūyū Among the Agìkūyū community political or governance system, power from one generation SET to another was passed through an important and community wide ceremony called Ituìka. Ituìka has a long history and how it actually happened is captured in detail

Ituìka among the Agìkūyū

Among the Agìkūyū community political or governance system, power from one generation SET to another was passed through an important and community wide ceremony called Ituìka. Ituìka has a long history and how it actually happened is captured in detail
Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Pongezi sana kwa Maundu Mwingizi. Dah! Nimefurahi kumwona mwalimu wangu kwenye orodha fupi ya Tuzo Nyerere. Inshallah tuzo tunakwenda kuichukua. Nilikuwa nakwenda ofisini kwa Mwingizi. Kwenda kujifunza kuandika riwaya. Yaan kipindi hicho nilikuwa nimetoka zangu Nairobi,

Pongezi sana kwa Maundu Mwingizi. Dah! Nimefurahi kumwona  mwalimu wangu kwenye orodha fupi ya Tuzo Nyerere. Inshallah tuzo tunakwenda kuichukua.

Nilikuwa nakwenda ofisini kwa Mwingizi. Kwenda kujifunza kuandika riwaya. Yaan kipindi hicho nilikuwa nimetoka zangu Nairobi,
Tuzo Nyerere (@tuzonyerere) 's Twitter Profile Photo

Washindi 10 bora wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu - Riwaya, Hadithi za Watoto, Ushairi, Tamthiliya 🎉 #TuzoNyerere

Washindi 10 bora wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu  - Riwaya, Hadithi za Watoto, Ushairi, Tamthiliya 🎉

#TuzoNyerere
Zinduna Magambo (@gazetiladunia) 's Twitter Profile Photo

Nimefurahi kumuona LUBANGO katika orodha hii Tuzo Nyerere . Aliwahi kuandika riwaya ya Bweni la Wasichana, na sasa amekuja na Bweni la wavulana. Ubunifu mzuri.

Nimefurahi kumuona LUBANGO  katika orodha hii Tuzo Nyerere . Aliwahi kuandika riwaya ya Bweni la Wasichana, na sasa amekuja na Bweni la wavulana. Ubunifu mzuri.
LUBANGO (@lucaslubango) 's Twitter Profile Photo

Asante sana rafiki yangu Zinduna. Ni kwa utukufu wa Mungu tunafanya haya yote. Tumwombe Mungu ndoo ya ubwabwa ipelekwe Bwenini.

Andishi Africa (@andishiafrica) 's Twitter Profile Photo

Are you a published author or a renowned literary voice with a passion for African storytelling? 📚✨ Andishi Africa is looking for editors! We invite individuals aged 35 and above with a proven track record in writing, publishing, or contributing to the literary space to join

Are you a published author or a renowned literary voice with a passion for African storytelling? 📚✨

Andishi Africa is looking for editors!

We invite individuals aged 35 and above with a proven track record in writing, publishing, or contributing to the literary space to join
Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati wa kushangilia na kufurahia ushindi wako; na kuna wakati wa kushangilia na kufurahia ushindi wa wenzako. Pichani ni Mshairi Arshad Ali na mimi tukishangilia na kufurahia ushindi wa bingwa wetu Adil Ali. Allah amjaliye ndugu yangu na akuze zaidi kipaji chake.

Kuna wakati wa kushangilia na kufurahia ushindi wako; na kuna wakati wa kushangilia na kufurahia ushindi wa wenzako.

Pichani ni Mshairi Arshad Ali  na mimi tukishangilia na kufurahia ushindi wa bingwa wetu Adil Ali.

Allah amjaliye ndugu yangu na akuze zaidi kipaji chake.
LUBANGO (@lucaslubango) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa ushindi huu mkubwa kwangu nafasi ya 3 Riwaya ya Bweni la Wavulana Tuzo Nyerere 2025. Pongezi kwa washiriki wengine.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa ushindi huu mkubwa kwangu nafasi ya 3 Riwaya ya Bweni la Wavulana Tuzo Nyerere 2025. Pongezi kwa washiriki wengine.
Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile Photo

A powerful moment in London. Nobel Laureate Abdulrazak Gurnah and Dr. Ida Hadjivayanis presented Peponi and Dhulma—Swahili translations of Paradise and Theft to Zanzibar’s President, H.E. Dr. Hussein Mwinyi. These stories, rooted in Zanzibar’s history, now return home in

A powerful moment in London.

Nobel Laureate Abdulrazak Gurnah and Dr. Ida Hadjivayanis presented Peponi and Dhulma—Swahili translations of Paradise and Theft to Zanzibar’s President, H.E. Dr. Hussein Mwinyi.

These stories, rooted in Zanzibar’s history, now return home in
Ida Hadjivayanis (@idahadjivayanis) 's Twitter Profile Photo

For the Swahili audience - especially students - to read about themselves, to have their representation in International literature - in their language - is priceless. I can’t wait for this. Wizara ya Elimu Tanzania Ikulu | Zanzibar

Ida Hadjivayanis (@idahadjivayanis) 's Twitter Profile Photo

Agitated Pleb. Wizara ya Elimu Tanzania Ikulu | Zanzibar He is fluent in Swahili. It’s his mother tongue - which is why translating him into Swahili is fabulous. He chooses to write in English - his literature language.

Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile Photo

🟢 LIVE: Fuatilia mbashara shughuli ya kumuenzi Prof. #MarthaQorro akienziwa na wanazuoni wenzake University of Dar es Salaam Tutakukumbuka daima kwa mchango wako mkubwa na mfano uliotuonyesha katika kupigania haki ya kujifunza na kuelimishwa katika lugha yako mama na hususani lugha ya

Mukoma Wa Ngugi (@mukomawangugi) 's Twitter Profile Photo

Please join me in congratulating the 2024 Safal Kiswahili Prize shortlistees. Now in our 10th year, over 25 titles published by Mkuki na Nyota , over 135,000 dollars in prize money thanks to The Safal Group, co-founding this prize with @lizzyatree is one the most meaningful things I