Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile
Kumbusho Dawson Kagine

@kumbushodawson

Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.

ID: 720477770279710720

calendar_today14-04-2016 05:04:21

54,54K Tweet

194,194K Followers

1,1K Following

DEUSDEDITH SOKA (@deusdedithsoka) 's Twitter Profile Photo

Kaka acha kufanya hizi spinning zako Tafadhali acha hii Mara Moja Olaigwanani-Olengurumwa, Adv Mungu hadhiakiwi watu waliopotea ni wengi na wanaopotea wengi ni wakosoaji wa Serekali. Na pia unafaahamu Serekali inajukumu la kulinda Raia. WAKATI UNAKUJA TUTAWAHESABU KWA KAULI ZENU HIZI.

Kaka acha kufanya hizi spinning zako
Tafadhali acha hii Mara Moja <a href="/OlengurumwaO/">Olaigwanani-Olengurumwa, Adv</a> Mungu hadhiakiwi
watu waliopotea ni wengi na wanaopotea wengi ni wakosoaji wa Serekali.
Na pia unafaahamu Serekali inajukumu la kulinda Raia.

WAKATI UNAKUJA TUTAWAHESABU KWA KAULI ZENU HIZI.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Julai 03, 2025 imesikiliza shauri la kupinga Kanuni za Maadili za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, lililofunguliwa na Bubelwa Kaiza na Dawson Kumbusho. Walalamikaji hao wanawakilishwa na mawakili Mpale Mpoki, Jebra Kambole na Ibrahimu Mcharo.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo. Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba

2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo.  Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kupambana na CHADEMA halafu wakati huohuo ukajiita mpinzani wa CCM. Wewe ni silaha ya CCM dhidi ya CHADEMA. Nawasilisha!

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Nipo na Mheshimiwa Wakili Msomi Hekima Mwasipu ,Kamanda Abdul na Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa CHADEMA ndugu Frank Mwakajoka. Tunasubiri uamuzi wa Mahakama kuhusiana na sakata la Ndugu yetu Mdude Mpaluka Nyagali.

Nipo na Mheshimiwa Wakili Msomi Hekima Mwasipu ,Kamanda Abdul na Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa CHADEMA ndugu Frank Mwakajoka. Tunasubiri uamuzi wa Mahakama kuhusiana na sakata la Ndugu yetu Mdude Mpaluka Nyagali.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kifungo cha 92 cha sheria inayoitwa mpya ya uchaguzi, kinasema Mkurugenzi, msimamizi wa uchaguzi anaweza kuamua wapi kura zihesabiwe. Kura zimepigwa kwenye vituo vya kata ya Manga msimamizi anasema hapa hakuna usalama akaenda kuhesabia hizo kura Sirari… Huwezi kulinda kura

Kifungo cha 92 cha sheria inayoitwa mpya ya uchaguzi, kinasema Mkurugenzi, msimamizi wa uchaguzi anaweza kuamua wapi kura zihesabiwe. Kura zimepigwa kwenye vituo vya kata ya Manga msimamizi anasema hapa hakuna usalama akaenda kuhesabia hizo kura Sirari… 

Huwezi kulinda kura
Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

Luka 18:7-8 Na Mungu, je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye huchelewa kuwajibu? Nawaambia, atawapatia haki upesi. Amosi 5:24 Bali haki na itiririke kama maji, Na adili kama mto usiotuama.

Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

The contested Electoral Code of Conduct for the 2025 General Election was signed on April 12, 2025, by the Independent Electoral Commission (INEC), the Government, and 18 political parties. One opposition party, CHADEMA, declined to sign. thechanzo.com/2025/07/04/202…

Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

Vyombo vya habari vimeripoti Moto kuunguza na kuteketeza mali za wafanya biashara Mashine tatu, Mkoani Iringa. Ni mwendo wa sekunde 30 tu kutoka walipo zimamoto na mashine tatu. Polisi wanasema Brenda aliandika habari za uchochezi, wamesubiri hadi aanze safari ndiyo wamkamate?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kwamba Brenda Rupia Jonas amezuiwa kusafiri mpaka wa Namanga kwa kuwa anatuhumiwa kutoa taarifa za uongo na uchochezi? Tuhuma hizo angeitwa, angelikuja tu. Kwanini aviziwe? Pasipoti kwanini kapokonywa? Afisa wa CDM, #LeonardMagere mmemzuia Airport na kumnyang’anya pasipoti. Uchochezi?

Kwamba <a href="/BrendaRupia/">Brenda Rupia Jonas</a> amezuiwa kusafiri mpaka wa Namanga kwa kuwa anatuhumiwa kutoa taarifa za uongo na uchochezi? Tuhuma hizo angeitwa, angelikuja tu. Kwanini aviziwe? Pasipoti kwanini kapokonywa? Afisa wa CDM, #LeonardMagere mmemzuia Airport na kumnyang’anya pasipoti. Uchochezi?
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Binafsi, sikuingia CDM kwa sababu ya mtu na siwezi kuondoka CDM kwa sababu ya mtu… ni mtu mpumbavu pekee yake anaingia na kuondoka CDM kwa sababu ya mtu. Tuishi CDM kwa kufuata misingi ya uanzishwaji CDM, falsafa na itikadi zake. Hutoweza kuyumbishwa na hisia, tamaa na upepo…