Love For Nature (@lovefornaturetz) 's Twitter Profile
Love For Nature

@lovefornaturetz

Official account of Love For Nature|
We serve for the Mother Nature🌱|
Making the 🌍 a better place is our first priority|
#LetUsServeTogether🇹🇿.

ID: 1251477307035975680

calendar_today18-04-2020 11:47:16

506 Tweet

212 Followers

464 Following

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Ningependa kutoa shukuran zangu za dhati kwa kila mmoja alieshirki kwa nguvu na moyo kufanikisha Event yetu jana ASANTE sana 🙏🏽

Ningependa kutoa shukuran zangu za dhati kwa kila mmoja alieshirki kwa nguvu na moyo kufanikisha Event yetu jana  ASANTE sana 🙏🏽
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mhe. Said Mohamed Mtanda mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.

Eliya Nyonga JANIKILA (@eliyajanikila_) 's Twitter Profile Photo

PONGEZI👏🏿 Hongera Sana Mhashamu Baba Askofu Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisco Kuwa Kadinali. Na pia kwa kuwa Kadinali wa Tatu Mtanzania. Hongera kwa kupewa Majukumu Makubwa ndani ya Kanisa Katoliki, na kila la kheri kwako🤲🏿. Amina🙏🏿

PONGEZI👏🏿

Hongera Sana Mhashamu Baba Askofu Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisco Kuwa Kadinali. Na pia kwa kuwa Kadinali wa Tatu Mtanzania.

Hongera kwa kupewa Majukumu Makubwa ndani ya Kanisa Katoliki, na kila la kheri kwako🤲🏿.

Amina🙏🏿
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

🔴TEUZI ▪️Dr Kyaruzi Katibu Mtendaji mpya Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe BARAZA la mawaziri la Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe limemteua Dkt. Mhandisi Ladislaus Kyaruzi Leonidas kuwa Katibu Mtendaji wa kwanza wa Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe

🔴TEUZI

▪️Dr Kyaruzi Katibu Mtendaji mpya Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe

BARAZA la mawaziri la Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe limemteua Dkt. Mhandisi Ladislaus Kyaruzi Leonidas kuwa Katibu Mtendaji wa kwanza wa Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe
Ghaamid Abdulbasat (@ghaamid_mavura) 's Twitter Profile Photo

Dar es salaam Declaration for the Africa Heads of State Summit on Human capital is to be launched today. Negotiations should always focus on implementation and monitoring mechanisms to arrive to the promised targets. World Bank Tanzania

Dar es salaam Declaration for the Africa Heads of State Summit on Human capital is to be launched today. Negotiations should always focus on implementation and monitoring mechanisms to arrive to the promised targets. <a href="/WBTanzania/">World Bank Tanzania</a>
Ghaamid Abdulbasat (@ghaamid_mavura) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Delegation at the 19th Africa Ministerial Meeting on Environment (AMCEN) led by our Deputy Minister of Union Affairs and The Environment. Addis Ababa Declaration as a decision has offciaily been adopted by the African Union member states #AMCEN23 #AMCEN

Tanzania Delegation at the 19th Africa Ministerial Meeting on Environment (AMCEN) led by our Deputy Minister of Union Affairs and The Environment.

Addis Ababa Declaration as a decision has offciaily been adopted by the African Union member states

#AMCEN23 #AMCEN
Love For Nature (@lovefornaturetz) 's Twitter Profile Photo

#COP28 , mkusanyiko mkubwa zaidi kwa mwaka 2023 unaojadili juu ya hali ya hewa. Wakati huo, ulimwengu umedhamiria kuungana, kuchukua hatua pamoja na kutoa suluhu zinazoweza kuchukuliwa juu ya tatizo la hali ya hewa na mabadiliko ya Tabia Nchi. #ClimateAction #UniteActDeliver

#COP28 , mkusanyiko mkubwa zaidi kwa mwaka 2023 unaojadili juu ya hali ya hewa. Wakati huo, ulimwengu umedhamiria kuungana, kuchukua hatua pamoja na kutoa suluhu zinazoweza kuchukuliwa juu ya tatizo la hali ya hewa na mabadiliko ya Tabia Nchi.

 #ClimateAction #UniteActDeliver
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mmetoka wote chuo , halafu unataka ukute kijana uliyekuwa naye chuo awe ana kila kitu kama nyumba,gari na kazi nzuri,mbona wewe huna?Kwani unataka kuolewa na baba yako ?Angalieni Dream, Vision, ethics na discpline na mkaanze kupigana pamoja kujenga maisha yenu. Hao ambao

BOBI WINE (@hebobiwine) 's Twitter Profile Photo

A very happy birthday to you my love, Barbie Kyagulanyi. You are still my favorite human being, the best thing that has ever happened to me. Thank you for the love, companionship, inspiration and patience. May God grant you a long, healthy, happy life. I love you ❤️

A very happy birthday to you my love,  <a href="/BarbieItungoK/">Barbie Kyagulanyi</a>. You are still my favorite human being, the best thing that has ever happened to me. Thank you for the love, companionship, inspiration and patience. May God grant you a long, healthy, happy life. I love you ❤️
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kuanzia mwezi July mwaka huu imeaandaa mpango wa usajili na utambuzi wa Watu wote wenye umri kuanzia 0 hadi miaka 18 ili kuwezesha upatikanaji wa Jamii Namba pamoja na wageni wote wanaoingia nchini na kukaa chini ya miezi sita.