Leo (@lukosi77) 's Twitter Profile
Leo

@lukosi77

#YNWA & #Nguvu Moja.

ID: 1417506064573124608

calendar_today20-07-2021 15:26:19

2,2K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Leo (@lukosi77) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kulala Tanesco walikata umeme nilianza kusikitika ila baada ya kukumbuka kuna ndugu zetu wanalala chini ya kifusi,Giza Nene,Joto Kali,Hewa Hafifu. Hata nguvu ya kulalamika ikaisha. Tuzidi kuwaombea ndugu zetu watoke salama...🙏

Leo (@lukosi77) 's Twitter Profile Photo

Nilipokuwa naangalia mpira ni kwa shabiki wa Yanga ukishangilia anakufukuza. Saiv ndio nashangilia barabarani...🤣🤣

Nilipokuwa naangalia mpira ni kwa shabiki wa Yanga ukishangilia anakufukuza. Saiv ndio nashangilia barabarani...🤣🤣