
Lulu Hassan
@luluhassan
BA @DownyKenya : CEO @Jiffypictures
ID: 188615792
http://www.jiffypictures.co.ke 09-09-2010 04:26:02
29,29K Tweet
546,546K Followers
494 Following










Rais anataka uchunguzi wa haraka ufanywe. Maseneta wakishinikiza Murkomen ajiuzulu na pia wasistiza sharti Naibu Inspekta Jenerali aondoe. #CitizenNipashe Citizen TV Kenya

Upinzani na wanaharakati wamtaka Lagat akamatwe. Wanasema Lagat hawezi kujitenga na kifo cha Ojwang' #CitizenNipashe Citizen TV Kenya

IPOA yaashiria njama ya kuficha ushahidi Wanjiku: CCTV za Central zilizimwa siku hiyo IPOA: CCTV ilizimwa kabla ya Ojwang’ kufikishwa Central #CitizenNipashe Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya Lulu Hassan Ukweli tu ujulikane kwa kifo chake Albert cha huzunisha sana,makiwa kwa jamii #CitizenNipashe

Lulu Hassan Citizen TV Kenya Police station kumbe wakona CCTV lulu?

Familia ya Daniel Nderitu inapanga mazishi. Daniel anadaiwa kupigwa risasi na polisi Nakuru. #CitizenNipashe Citizen TV Kenya




