
Lydia Charles
@lydiacharles_
Founder & Executive Director @herinitiative @pandadigitaltz |Communications strategist| Feminist | Economic Empowerment | Financial Freedom|
ID: 3421846672
http://www.herinitiative.or.tz 14-08-2015 08:59:22
9,9K Tweet
5,5K Followers
861 Following

Wacha tu tune In Sentro ya Clouds Media tupate mawili matatu kutoka kwa Lydia Charles na Her Initiative


Mwaka 2021 tulipitia kipindi kigumu, na kiongozi wetu Lydia Charles aliandika barua kwa wadau wa maendeleo: “Put Your Money Where Your Words Are.” Barua hiyo iliamsha tena jitihada zake na kuleta mwelekeo mpya. Tariq Salim, #MiaKwaVijana


"Mwaka 2021 tulipitia kipindi kigumu, na kiongozi wetu Lydia Charles aliandika barua ya wazi kwa wadau wa maendeleo yenye kichwa cha habari: ‘Development Partners, Put Your Money Where Your Words Are’.


Miaka 6 iliyopita, Lydia Charles aliacha kazi ili kufuata wito wake: kusaidia wasichana na wanawake vijana wa Kitanzania kujikwamua kiuchumi. Leo, juhudi zake zimewafikia zaidi ya watu 31,000 kupitia @HerInitiative. Safari yake ni ushuhuda wa ujasiri na imani. #MiaKwaVijana


"Mradi wa Stawi Lab unalenga kuimarisha mashirika ya vijana yanayopigania haki za wasichana. Tangu uanze, mashirika 38 yamenufaika, 14 yamepata ufadhili mpya, na maelfu ya maisha yamegusa. Huu ni ushahidi kuwa vijana wanaweza" Lydia Charles Her Initiative #MiaKwaVijana


"Changamoto kubwa kwa mashirika ya vijana ni ukosefu wa rasilimali, masharti magumu, kukosa uaminifu na maarifa ya mifumo. Lakini 100% ya washiriki wa Stawi Lab wameimarika, kutoka mifumo ya fedha hadi utawala bora" Lydia Charles Her Initiative #MiaKwaVijana


Mkurugenzi wa Her Initiative Lydia Charles ameiomba serikali: 1️⃣ Waalike vijana kwenye meza ya sera 2️⃣ Wapunguze urasimu kwa mashirika changa 3️⃣ Waunganishe sekta binafsi na vijana 4️⃣ Wawekeze kwenye utafiti na ruzuku Serikali ikishirikiana na vijana. #MiaKwaVijana




Young people are leading change! Our partnership with Her Initiative demonstrates the power of youth-driven action in advancing gender equality and women’s empowerment. UN Women remains committed to supporting innovative solutions led by young women that address today’s


Dear UN Women Happy 15th Anniversary . I remember Her Initiative early days where we had no support you but you listened, advised, enhanced visibility of our work and resourced our ideas. Thank you for paving a way for young women leadership in the country. #UNWomen15

Lydia Charles Her Initiative Congratulation Leadership, always lead

Lydia Charles Her Initiative Asante sana Lydia Charles 💜 Here’s to the next chapter of empowering young women across Tanzania!

Excited to be part of this incredible platform today. Thank you for inviting me to share the work that I do with Her Initiative