MISA TANZANIA (@misatanzania) 's Twitter Profile
MISA TANZANIA

@misatanzania

Official Account: MISA Tanzania
Contact; Mob +255 752 430 557.Tanzania
MISA Tanzania advocate: freedom of expression, press & access to information

ID: 511644982

linkhttp://www.tanzania.misa.org calendar_today02-03-2012 09:17:25

1,1K Tweet

2,2K Followers

493 Following

MISA TANZANIA (@misatanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa MISA TAN Edwin Soko amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Balozi wa Saud Arabia nchini Tanzania Yahya Ahmed Okeish wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayoendelea jijini Arusha. Mazungumzo yao yalijikita katika kuitambulisha MISA TAN.

Picha ya pamoja ya wanachama wa MISA Tan na Bodi ya uongozi, waliowakilisha wenzao kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari 2025 yanayoendelea jijini Arusha.

Picha ya Pamoja kati ya baadhi ya wanachama wa MISA Tanzania na Mwakilishi mkazi wa UNESCO Tanzania Bw Michel Toto wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari mwaka 2025.

Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bw. Edwin Soko akisalimiana na Mwakilishi mkazi wa UNESCO Tanzania Bw Michel Toto wakati wa WPFD 2025 jijini Arusha.

MISA TAN Chairperson met and exchanged words with the Swedish ambassador to Tanzania Charlotta Ozaki, during the ongoing World Press Freedom Day celebration taking place at Gran Melia hotel in Arusha.

Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake kama Mwandishi na usimnyanyase kwenye majukumu yake ya kazi. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kufanya kazi hata katika mazingira magumu. #Maadhimisho ya uhuru wa Vyombo vya Habari 2025

Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake kama Mwandishi na usimnyanyase kwenye majukumu yake ya kazi. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kufanya kazi hata katika mazingira magumu.
#Maadhimisho ya uhuru wa Vyombo vya Habari 2025
MISA TANZANIA (@misatanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa MISA Tan Bwana Edwin Soko akiwa kwenye picha na Mbunge wa vitu maalimu kupitia NGO Neema Lugangira baada ya mikutano ya pembeni kwenye mijadala ya kuelekea maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari Tanzania 2025 yaliyofanyika kwenye hotel ya Gran Melia Arusha.

Mwenyekiti wa Misa Tanzania Edwin Soko akiwa na Waziri wa habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Paramagamba Kabudi na Wakuu mbalimbali wa Taasisi za kihabari kwenye picha ya pamoja baada ya uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya habari, utamaduni, Sanaa na Michezo Leo Jijini Dodoma

Mratibu wa Kitaifa wa THRDC Onesmo Ole-Ngurumwa akifungua mkutano wa kujadili Uendelevu na Ustahimilivu wa Kiuchumi wa Vyombo vya Habari hapa nchini. Mkutano huu unaofanyika katika hoteli ya Four Ways jijini Dar es Salaam umeandaliwa kwa pamoja na MISA TAN na WAN-IFRA.

Washiriki wakifuatilia Mkutano unaojadili Uendelevu na Ustahimilivu wa Kiuchumi wa Vyombo vya Habari nchini ulioandaliwa na MISA TAN na WAN-IFRA kwa ushirikiano wa THRDC.

Mkutano kuhusu Uendelevu na Ustahimilivu wa Kiuchumi wa Vyombo vya Habari Tanzania unafanyika leo tarehe 14/5/2025 katika hoteli ya Four Ways jijini Dar es Salaam. Mkutano huu umeandaliwa na MISA TAN na WAN-IFRA kwa kushirikiana na THRDC. Pichani ni washiriki wa mkutano huu.