IRENE💫 (@miss_irene0) 's Twitter Profile
IRENE💫

@miss_irene0

SPOIL AND EXPOSURES// @simbasctanzania🦁

ID: 1886073575284588544

calendar_today02-02-2025 15:26:23

26,26K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Bracusz👣Cadabra 🇹🇿 (@bracuszcadabra) 's Twitter Profile Photo

🚨Ahmed Sayed ZIZO tayari amewasili Miami,USA kujiunga na kikosi Cha Al Ahly SC kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Dunia ngazi ya vilabu

🚨Ahmed Sayed ZIZO tayari amewasili Miami,USA kujiunga na kikosi Cha Al Ahly SC kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Dunia ngazi ya vilabu
Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Mange kamuambia Prisca na Jux watulie kwanza kwa miezi mitano nchi inyooshwe, Mama Prisca kawaka kajibu. Kuna wanigeria waliotuunga, kuna waliokasirika 😂😂😂 #SaturdayVAR

Mange kamuambia Prisca na Jux watulie kwanza kwa miezi mitano nchi inyooshwe, Mama Prisca kawaka kajibu. Kuna wanigeria waliotuunga, kuna waliokasirika 😂😂😂 #SaturdayVAR
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

🇲🇦 | Wydad AC will 𝐍𝐎𝐓 sign former Leicester City midfielder Nampalys Mendy (32) ahead of the FIFA Club World Cup. 🚨🇸🇳 #DimaWydad #Transfers

🇲🇦 | Wydad AC will 𝐍𝐎𝐓 sign former Leicester City midfielder Nampalys Mendy (32) ahead of the FIFA Club World Cup. 🚨🇸🇳

#DimaWydad
#Transfers
Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

Steven Mukwala amepokea ofa kutoka Csfaxien ya Tunisia na nyingine kutoka Keizer Chief ya South Africa Kwa msimu huu Mukwala amefunga magoli 12 na bado michezo mitatu kumalizika kwa msimu huu 2024/2025 na kumbuka huu ni msimu wakewa kwanza tu tangu amejiunga na Simba.

Steven Mukwala amepokea ofa kutoka Csfaxien ya Tunisia na nyingine kutoka Keizer Chief ya South Africa 

Kwa msimu huu Mukwala amefunga magoli 12 na bado michezo mitatu kumalizika kwa msimu huu 2024/2025 na kumbuka huu ni msimu wakewa kwanza tu tangu amejiunga na Simba.
kipepeo (@kipepeotz) 's Twitter Profile Photo

Usitegemee mtu akuletee mabadiliko au atatue matatizo,, Kila mtu afanye wajibu wake kwa wakati wake Vijana tusikalie umbeya tu,udaku tu, Simba na yanga tu akati taifa linakua na machawa kutetea ujinga , tuwe wazalendo wakutaka mabadiliko movement ya mabadiliko inachukua time✊