MASTER MIND ๐Ÿค” (@mtumashuhuri) 's Twitter Profile
MASTER MIND ๐Ÿค”

@mtumashuhuri

|| SERIAL ACHIEVERS || MORALITY & KNOWLEDGE || KING's MENTALITY ๐Ÿ’ซ ||

ID: 1638855834401734656

calendar_today23-03-2023 10:51:21

42,42K Tweet

3,3K Followers

6,6K Following

Dazzy Elly (@asajiledaniel) 's Twitter Profile Photo

The rich live poor,the poor live rich. Tajiri mara nyingi hununua vitu kwa jumla ambayo ni nafuu ila masikini hununua mahitaji yote kwa rejareja ambayo ni ghali. Pia tajiri hahitaji muonekano kuwa tajiri ila masikini atajitahidi kununua vitu ghali kujifariji. Good morning fam.

CHOKA MBAYA ๐Ÿ‘‘ (@hustlermkaleee) 's Twitter Profile Photo

Ishi ukisimamia misimamo yako na Yale unayo yaamini kua ni sahihi , usiendeshwe na wakati maana wakati hauna msimamo kila siku unabadilika hivyo ukifuatana nao utaishia kukupoteza na kukuchanganya usahau miiko yako โœ๐Ÿฟ .

MKAKA WA NDOTO ZETU ๐Ÿ‘‘ (@goldenboynow) 's Twitter Profile Photo

Umalaya na umasikini ndio umefanya Dada zetu waone Kama kuhongwa na kutumia hela za mwanaume ni haki yao ya msingi kumbe sio ๐Ÿ‘Œ๐Ÿพ .

OSCAR MSANZI (@oscarmsanzi) 's Twitter Profile Photo

Kutokana na kiwango cha uelewa na kustarabika walikonako jamii za kisasa hakuna asiyetambua umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii , hivyo umasikini wao hausababishwi na uvivu isipokua ni shambulizi la kiroho linalowatafuna kimya kimya โœ๐Ÿฟ .

NAJITAFUTA (@najitafuta) 's Twitter Profile Photo

Kwa sasa mtaani kuna graduates wapya waliomaliza chuo mwaka huu wamekuja kuungana na wale wa miaka ya nyuma kwa pamoja bado hawajui nini wafanye ili wajikwamue kiuchumi ๐Ÿค” .

FIKRA BAAABKUBWA ๐Ÿ™Œ (@fikrababkubwa) 's Twitter Profile Photo

Vijana wamejazana vyuoni kusomea kazi ambazo kutokana na maendeleo ya sayansi na technologia miaka kadhaa ijayo zitakua zikifanywa na robots , mfano uwandishi wa habari , customer care services , receptionist, ualimu n.k ๐Ÿค” .

NAJITAFUTA (@najitafuta) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya ndugu na marafiki siku zao kwenye maisha yako zilishapita muda wake , ila kwa ujinga wa kutotambua majira bado wanalazimisha ukaribu ambao ulishaisha kitambo โœ๐Ÿฟ .

Rastafarian culture (@ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Jamaa yetu mmoja msukuma alisema hawezi oa mwanamke mweusi hataki kuzaa watoto weusi kama yeye licha ya kuona mke mweupe watoto wametoka weusi kumliko ๐Ÿ˜‚ Mfano mi mama angu alikuwa mweupe kama Albino Ila mi mweusi Sana na Sura nimechukua ya mzee

Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Tanzania is home to Kiswahiliโ€”a language that unites us across tribes and faiths, and one of the most spoken in Africa. Letโ€™s harness its digital future: build AI tools, platforms & dictionaries in Kiswahili to preserve it & empower the next generation. #Swahili #AI #Africa

SOSO๐Ÿฅธ Real man (@chamingo1997) 's Twitter Profile Photo

๐ŸงตDALILI ZA MTU MWENYE NYOTA KALI YA MAFANIKIO;- 1. Watu wanakushangaa sana 2. Watoto wadogo wanakupenda 3. Wanyama na ndege wanakuwa huru kuwa karibu yako 4. Watu usio wafahamu wanakwambia mapito Yao ya maisha/Siri zao 5. Watu wanakua wanakukubali bila sababu.