
Richard Mabala
@mabalamakengeza
ID: 4916344677
15-02-2016 23:32:31
63,63K Tweet
302,302K Followers
1,1K Following

Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche mishahara ya wabunge JPM aliacha 12.8M lakini ikaongezwa hadi 19M. Yani mbunge wako analipwa milioni 20 kasoro moja. Pia John Heche alieleza kwamba posho zimeongezwa kutoka 360,000/= kwa siku hadi 620,000/= kwa siku. Hapo ni



Naomba nikumbushwe utaratibu wa kuwachukulia hatua watu ambao wanasadikiwa wamevunja sheria? Je wanapaswa kufikishwa mahakaman nk. Na utaratibu wa kumdeport mtu unakuwaje Gerson Msigwa











