Mwanakijiji⚽ (@machilatza) 's Twitter Profile
Mwanakijiji⚽

@machilatza

Soccer and Family

ID: 1204405976994062338

calendar_today10-12-2019 14:22:41

46,46K Tweet

45,45K Followers

13,13K Following

Mwanakijiji⚽ (@machilatza) 's Twitter Profile Photo

Fikiria kila gari moja si chini ya 200m. Waliondoa Toto Afya iliyokuwa 54,000 na kupandisha mpaka 240,000. Wapo tayari watoto wetu wafe ila wao waishi kifahari kwa kodi zetu 😭😭😭 #NoReformsNoElection

Fikiria kila gari moja si chini ya 200m. Waliondoa Toto Afya iliyokuwa 54,000 na kupandisha mpaka 240,000. Wapo tayari watoto wetu wafe ila wao waishi kifahari kwa kodi zetu 😭😭😭

#NoReformsNoElection
MpembA (@iammpemba) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi ambacho muungano ulikuwa kwenye uzi mwembamba ilikuwa ni kipindi cha katiba mpya Kuna hoja tele ziliibuliwa pande zote mbili Nimekusogezea zote Video thread

Katika kipindi ambacho muungano ulikuwa kwenye uzi mwembamba ilikuwa ni kipindi cha katiba mpya
   Kuna hoja tele ziliibuliwa pande zote mbili
 Nimekusogezea zote

Video thread
Mtanganyika (@tanganyikamoja) 's Twitter Profile Photo

WanaX kufanya maandamano ya amani ya #NoReformsNoElection siku ya tarehe 16.06.2025 amabyo yatafanyika kwenye jukwaa la X kupitia comment section za viongozi mbalimbali ikiwemo raisi wa Marekani Donald Trump na wengine wengi! WanaX mnaitwa kushiriki kimalifu!

WanaX kufanya maandamano ya amani ya #NoReformsNoElection  siku ya tarehe 16.06.2025 amabyo yatafanyika kwenye jukwaa la X kupitia comment section za viongozi mbalimbali ikiwemo raisi wa Marekani Donald Trump na wengine wengi! WanaX mnaitwa kushiriki kimalifu!
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Sheikh amezungumza mambo mengi ya msingi ambayo yanahusu nchi yetu. Ni fahari kwamba katika nyumba zetu za ibada bado wapo watu waungwana na wenye kuongozwa na hekima na wamejengwa katika misingi ya hofu ya Mungu. Viongozi wa dini ambao wanachukizwa na matendo ya utekaji,

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tuna taarifa za uhakika kutoka kwenye vyanzo vya serikali. Serikali imepanic kwasababu ya ziara ya #NoReformsNoElection kupokelewa na kuungwa mkono na Watanzania. Makundi ya green guard na vijana wa ccm wanaolipwa watakua wanasombewa kwenye mikutano yetu ili kufanya fujo.

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

“CHADEMA Wanadai HAKI Sisi ACT Wazalendo Tunaomba HAKI. Chadema Wako Sahihi Sisi ACT Wazalendo Hatupo Sahihi” ~SELEMANI SAID BUNGARA “BWEGE” Mpeni RT 200🤝

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

ANAANDIKA Askofu Bagonza PhD DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu? Nikajibu ndiyo. Akaongeza, “na mnasema

ANAANDIKA Askofu Bagonza PhD 

DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA

Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu? Nikajibu ndiyo. Akaongeza, “na mnasema
Mwanakijiji⚽ (@machilatza) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ni kwamba gavoo wanaitumia TFF, Simba na Utopolo kuhamisha goli.. #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Ukweli ni kwamba gavoo wanaitumia TFF, Simba na Utopolo kuhamisha goli..

#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
𝗚𝗜𝗡𝗜𝗠𝗕𝗜 🦅 (@_ginimbi) 's Twitter Profile Photo

Ushauri wangu kwa CDM ni kwamba hukumu ikitoka na ikaonekana mali zigawanywe hakikisheni hamuuzi mali yoyote ya chama chenu bali wekeni account za Bank wananchi wawaoneshe watawala Nguvu ya Umma kwa kuzikomboa mali zenu kwa kuchangia. Hii itakuwa zaidi ya TONE TONE #NRNE

Ushauri wangu kwa CDM ni kwamba hukumu ikitoka na ikaonekana mali zigawanywe hakikisheni hamuuzi mali yoyote ya chama chenu bali wekeni account za Bank wananchi wawaoneshe watawala Nguvu ya Umma kwa kuzikomboa mali zenu kwa kuchangia. Hii itakuwa zaidi ya TONE TONE

#NRNE
Mwanakijiji⚽ (@machilatza) 's Twitter Profile Photo

Maamuzi ya mechi ichezwe lini na wapi yanafanywa na serekali kwa manufaa ya kisiasa na sio manufaa ya mpira. FIFA can you do something please. Serekali imeingilia boli hadharani kabisa #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Maamuzi ya mechi ichezwe lini na wapi yanafanywa na serekali kwa manufaa ya kisiasa na sio manufaa ya mpira. <a href="/FIFAcom/">FIFA</a> can you do something please. Serekali imeingilia boli hadharani kabisa

#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

TUNDU LISSU Ni Kimbungaa Uchaguzi Ukiwa HURU Na HAKI Hakuna Wakumzuia LISSU Mwenye Uwezo Wakumshinda Lissu Kwenye Uchaguzi Huru Na Haki Ni Lissu Mwenyewe. Mpeni RT 200🤝

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

CDM Wakifanikiwa kuendelea kukaza mpaka dakika ya 90 filimbi ya mwisho na wasiingie kwenye uchaguzi, huku wakisimamia NRNE, watakuwa wamefanikiwa mno!! Hata kama ikitokea uchaguzi ukafanyika well and good, lakini wao wasishiriki waendelee kupigania mabadiliko wakiwa nje ya