Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile
Wizara ya Madini

@madinitanzania

HUU NI UKURASA RASMI WA WIZARA YA MADINI ILIYOUNDWA TAREHE 7/10/2017 BAADA YA KUGAWANYWA KWA ILIYOKUWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.

ID: 922797686134333441

linkhttps://www.madini.go.tz calendar_today24-10-2017 12:11:27

6,6K Tweet

73,73K Followers

174 Following

Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MAVUNDE: TANI 3.7 ZA DHAHABU ZANUNULIWA BoT ▪️ Tanzania yaipiku Msumbiji, yaingia 10 bora Afrika ▪️. Dhahabu kubadilishwa kwa mafuta, fedha za kigeni* 📍 *Dodoma* WAZIRI wa Madini Mhe. Anthony Mavunde aliweka wazi mafanikio 16 ya Sekta ya Madini katika kipindi cha

WAZIRI MAVUNDE: TANI 3.7 ZA DHAHABU ZANUNULIWA BoT

▪️ Tanzania yaipiku Msumbiji, yaingia 10 bora Afrika

▪️. Dhahabu kubadilishwa kwa mafuta, fedha za kigeni*

📍 *Dodoma*

WAZIRI wa Madini Mhe. Anthony Mavunde aliweka  wazi mafanikio 16 ya Sekta ya Madini katika kipindi cha
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

KATIBU Mkuu Wizara ya Madini Eng. Yahya Samamba amesema kutokana na utulivu uliopo katika sekta ya madini , amekishauri Chama Chama cha Watoa Huduma Sekta ya Madini (TAMISA), kunoa makucha yake ili kidhibiti wanachama wake wasio wahaminfu katika utoaji huduma. @TAMISA

Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

**SERIKALI INAFIKIRIA KUJA NA MPANGO WA UUZAJI WA SARAFU ZA DHAHABU KWA WANANCHI ** ▪️Lengo ni kuwaongezea Watanzania wigo wa uwekaji akiba na uwekezaji kupitia dhahabu ▪️Waziri Mavunde azitaka Taasisi za Fedha kuwawezesha watanzania kimtaji ▪️Afungua Tawi jipya la STANBIC

**SERIKALI INAFIKIRIA KUJA NA  MPANGO WA UUZAJI WA SARAFU ZA DHAHABU KWA WANANCHI **

▪️Lengo ni kuwaongezea Watanzania wigo wa uwekaji akiba na uwekezaji kupitia dhahabu

▪️Waziri Mavunde azitaka Taasisi za Fedha kuwawezesha watanzania kimtaji

▪️Afungua Tawi jipya la STANBIC
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma ▪️KENYA YAJIFUNZA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MAKAA YA MAWE TANZANIA Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za

📍Dodoma

▪️KENYA YAJIFUNZA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MAKAA YA MAWE TANZANIA

Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

*KENYA YAJIFUNZA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MAKAA YA MAWE TANZANIA* 📍 *Dodoma* Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za

*KENYA YAJIFUNZA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MAKAA YA MAWE TANZANIA*

📍 *Dodoma*

Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

*TANZANIA KUSHIRIKI JUKWAA LA UONGEZAJI THAMANI MADINI UINGEREZA* Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la

*TANZANIA KUSHIRIKI JUKWAA LA UONGEZAJI THAMANI MADINI UINGEREZA*

Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

*TANZANIA YANG’ARA KATIKA MKUTANO WA WAKAGUZI WA MAJITAKA MIGODINI NCHINI SWEDEN* 📍 *Sweden* Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo

*TANZANIA YANG’ARA KATIKA MKUTANO WA WAKAGUZI WA MAJITAKA MIGODINI NCHINI SWEDEN*

📍 *Sweden*

Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

*NANYUMBU YAZALISHA DHAHABU ZA BILIONI 1.28, SERIKALI YAHIMIZA UCHIMBAJI ENDELEVU* 📍 *Dodoma* Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28

*NANYUMBU YAZALISHA DHAHABU ZA BILIONI 1.28, SERIKALI YAHIMIZA UCHIMBAJI ENDELEVU*

📍 *Dodoma*

Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

*WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA STAMICO)* ▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO ▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati

*WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA STAMICO)*

▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO 

▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya Migodi 13,000 Yakaguliwa • Wakaguzi wa Migodi Wajengewa Uwezo • Makusanyo Sekta ya Madini Yavuka Lengo Mwanza JUMLA ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025. Hayo yameelezwa leo Mei 28, 2025 jijini Mwanza

Zaidi ya Migodi 13,000 Yakaguliwa
• Wakaguzi wa Migodi Wajengewa Uwezo
• Makusanyo Sekta ya Madini Yavuka Lengo

Mwanza

JUMLA ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025.

Hayo yameelezwa leo Mei 28, 2025 jijini Mwanza