Malembo Farm International (@malemboglobal) 's Twitter Profile
Malembo Farm International

@malemboglobal

Our mission is to respond by feeding Africa. Follow our Director @MalemboLE and Visit malembofarm.com for more information.

ID: 1635624158330486784

linkhttp://www.malembofarm.com calendar_today14-03-2023 12:50:00

3,3K Tweet

1,1K Followers

85 Following

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Wakati fulani nikiwa matembezi huko Duniani nilikutana na Prof mmoja nikawaa namuuliza kuhusu Afrika,uchumi na uongozi akanifundisha “kufanya political behavior analysis ya Kiongozi”. Hii ilinisaidia kujua viongozi wa Afrika na Duniani kwa ujumla.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Afrika, Tanzania ikiwa sehemu ya Afrika Ili tuendelee sifa za kuwa kiongozi mfano Bungeni tuziangalie upya, Bunge ndiyo eneo muhimu kwa maendeleo ya Nchi.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Wakati dunia inapojitayarisha kukabiliana na athari za migogoro ya kibiashara ya kimataifa kutokana na vita vinavyoendelea vya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China, yote si ya kutisha kwa Afrika. Hivi ndivyo nchi za Kiafrika zinaweza kufanya ili kuinua nafasi zao katika

📍Washington DC Moja ya jambo la maana kwenye Maisha ni wewe kuchagua eneo moja la kuliendea kisha ukajimimina kwenye eneo hilo mpaka likaonekana nalo ni eneo la maana watu kuwepo. Kilimo kimenipa heshima kubwa. Ahsante Kilimo Wabeja sana Igembe.

📍Washington DC

Moja ya jambo la maana kwenye Maisha ni wewe kuchagua eneo moja la kuliendea kisha ukajimimina kwenye eneo hilo mpaka likaonekana nalo ni eneo la maana watu kuwepo.

Kilimo kimenipa heshima kubwa. Ahsante Kilimo Wabeja sana Igembe.
Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

The 2014 Malabo Declaration includes specific targets on youth engagement in agriculture; the creation of jobs in agriculture value chain and the support and facilitation to attractive business opportunities. #KilimoNiAjira ippmedia.com/the-guardian/f…

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Kuna mjadala CH Kumekucha Club Maya ni maoni yangu nikiwa nakula Ugali. Wakati dunia inapojitayarisha kukabiliana na athari za migogoro ya kibiashara ya kimataifa kutokana na vita vinavyoendelea vya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China, yote si ya kutisha kwa Afrika.

Kuna mjadala CH <a href="/KumekuchaClub/">Kumekucha Club</a>  

Maya ni maoni yangu nikiwa nakula Ugali. Wakati dunia inapojitayarisha kukabiliana na athari za migogoro ya kibiashara ya kimataifa kutokana na vita vinavyoendelea vya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China, yote si ya kutisha kwa Afrika.
Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Ili kuwaunganisha vijana katika minyororo ya Masoko ya kikanda na kimataifa, yafuatayo lazima yapatikane; 1. Upatikanaji wa masoko makubwa 2. Urasimishaji wa biashara zinazomilikiwa na vijana 3. Kuongeza uaminifu wa biashara za vijana. #KilimoNiAjira

Ili kuwaunganisha vijana katika minyororo ya Masoko  ya kikanda na kimataifa, yafuatayo lazima yapatikane; 

1. Upatikanaji wa masoko makubwa
2. Urasimishaji wa biashara zinazomilikiwa na vijana 
3. Kuongeza uaminifu wa biashara za vijana. #KilimoNiAjira