Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile
Lucas E. Malembo

@malembole

Agribusiness Consultant ll Founder @MalemboFarm 🇹🇿🇰🇪ll @AcademyFarms ll @Ugalielimu & other mission-driven orgs ll For business 📧 [email protected]

ID: 912588402750640128

linkhttp://www.malembofarm.com calendar_today26-09-2017 08:03:25

116,116K Tweet

38,38K Followers

671 Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Hedhi siyo suala la afya pekee, ni suala la usawa wa kijinsia, elimu na haki ya kiuchumi. 36% ya wasichana hukosa shule wanapokuwa kwenye hedhi kwa kukosa huduma na miundombinu salama. Ungana nasi kwa kusaini petition hii, kubadili hali hii; pedibilakodi.netlify.app #PediBure

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

📍Washington DC Moja ya jambo la maana kwenye Maisha ni wewe kuchagua eneo moja la kuliendea kisha ukajimimina kwenye eneo hilo mpaka likaonekana nalo ni eneo la maana watu kuwepo. Kilimo kimenipa heshima kubwa. Ahsante Kilimo Wabeja sana Igembe.

📍Washington DC

Moja ya jambo la maana kwenye Maisha ni wewe kuchagua eneo moja la kuliendea kisha ukajimimina kwenye eneo hilo mpaka likaonekana nalo ni eneo la maana watu kuwepo.

Kilimo kimenipa heshima kubwa. Ahsante Kilimo Wabeja sana Igembe.
Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Mikono yetu inabarikiwa mara tukubalipo kujikabidhi kwake aliye muweza wa yote. Kumkumbuka siyo hisani kwake ni nidhamu ya kwetu kwenye ukuu wake.

Hatua za ukuaji kwenye biashara n.k ni malezi ya watu mbali mbali, nawashukuru wote mlionilea na mnaoendelea kunishika mkono!

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Fikiria Kanisani/msikitini tungefundishwa zaidi namna ya kuondokana na umasikini ni kwa “kufanya kazi” na siyo miujiza Afrika tungekuwa mbali.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Kwangu Dini ni jambo zuri ila Afrika Dini.. tunatumia muda mwingi kukaa kanisani kuliko kufanya kazi, ukijua namna Mungu anafanya kazi kila mahala ulipo ni sehemu ya ibada.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Afrika ndilo bara lenye watu wengi ambao wana Upungufu wa lishe (malnourished). Inakadiriwa kuwa 1/5 ya watu waishio Afrika wana tatizo hili. Hili ni jambo la kututafakarisha katika muono wa sekta ya kilimo.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya 30% ya watoto wa Afrika wanakuwa na matatizo ya ukuaji (growth disorders). Hawa ndiyo viongozi wa miaka ijayo wa AFRIKA.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Watu wenye Umaskini uliokithiri (extreme poverty) barani Afrika. Umasikini una mizizi yake mikuu katika sekta ya kilimo iliyozorota na athari zake si muhali kwa mustakbali wa wana wa Afrika na Tanzania tukiwemo.