MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile
MalisaGJ

@malisagj_

Award winning Philanthropist || SBC Specialist || Human Rights Activist || Simba SC Die Hard Fan

ID: 1035306942418309121

calendar_today30-08-2018 23:23:05

564 Tweet

41,41K Followers

103 Following

MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

"Honourable Speaker, Tanzania is a poor economy country that does not deserve the honor of being debated in our Senate or National Assembly. It has vast resources, yet its leaders fail to use them for the people's benefit. We should not waste time responding to their

Maelfu ya wananchi wa Arusha wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche baada ya kumaliza kuhutubia mkutano leo jioni. Asanteni Arusha, hakika Kaskazini hatokagi fala. Msimamo ni uleule #NoReformsNoElection ✌️

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️PARLIAMENT TANZANIA YANKS CV OF ITS MEMBERS ON WEBSITE AFTER EMBARASSEMENT‼️ Contrary to regulations and principles of good governance, the Parliament of #Tanzania has hidden the profiles and CV of all its members after its online row with Gen Z 🇰🇪revealed that many have basic

‼️PARLIAMENT TANZANIA YANKS CV OF ITS MEMBERS ON WEBSITE AFTER EMBARASSEMENT‼️
Contrary to regulations and principles of good governance, the Parliament of #Tanzania has hidden the profiles and CV of all its members after its online row with Gen Z 🇰🇪revealed that many have basic
MWANAMAPINDUZI (@machumukadutu) 's Twitter Profile Photo

UKO WAPI RAFIKI YANGU MDUDE NYAGALI⁉️ Tangu Tarehe 2 May, 2025 nilipowasha simu yangu na kukuta SMS yako ya kwamba ulinitafuta usiku wa Saa 8 na dakika 9. Siku hizi sizimi simu rafiki yangu, pengine simu yangu ingekuwa hewani wakati huo labda ningeweza kuokoa maisha yako kwa

UKO WAPI RAFIKI YANGU MDUDE NYAGALI⁉️

Tangu Tarehe 2 May, 2025 nilipowasha simu yangu na kukuta SMS yako ya kwamba ulinitafuta usiku wa Saa 8 na dakika 9. Siku hizi sizimi simu rafiki yangu, pengine simu yangu ingekuwa hewani wakati huo labda ningeweza kuokoa maisha yako kwa
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Siku za hivi karibuni hapa X kumekuwa na gumzo kubwa – watu wakiuliza: Huyu Wicknell ni nani? Nimekuletea uzi huu kujibu maswali yote ambayo ulikuwa nayo. Thread:👇

Siku za hivi karibuni hapa X kumekuwa na gumzo kubwa – watu wakiuliza: Huyu Wicknell ni nani?

Nimekuletea uzi huu kujibu maswali yote ambayo ulikuwa nayo.

Thread:👇
MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche mishahara ya wabunge JPM aliacha 12.8M lakini ikaongezwa hadi 19M. Yani mbunge wako analipwa milioni 20 kasoro moja. Pia John Heche alieleza kwamba posho zimeongezwa kutoka 360,000/= kwa siku hadi 620,000/= kwa siku. Hapo ni

Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> mishahara ya wabunge JPM aliacha 12.8M lakini ikaongezwa hadi 19M. Yani mbunge wako analipwa milioni 20 kasoro moja. Pia <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> alieleza kwamba posho zimeongezwa kutoka 360,000/= kwa siku hadi 620,000/= kwa siku. Hapo ni
MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Lema amekua akitibiwa Nairobi Hospital kwa muda sasa. Si mara ya kwanza wala ya pili. Kumnyang'anya passport na kumzuia kwenda hospitali ni kumnyima haki ya matibabu jambo ambalo ni kinyume na ibara ya 14 na 15(i) ya Katiba ya nchi. Huduma ya matibabu anayoifuata Nairobi huenda

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Ninakaa wapi? Gerezani, Gereza la Ukonga kuna sehemu moja inaitwa 'special room' eneo maalum ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa, mimi ninakaa hiyo sehemu wanayokaa wanaosubiri kunyongwa 'death row. Sasa Mheshimwa ukiwa death row maana yake ni

"Ninakaa wapi? Gerezani, Gereza la Ukonga kuna sehemu moja inaitwa 'special room' eneo maalum ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa, mimi ninakaa hiyo sehemu wanayokaa wanaosubiri kunyongwa 'death row. Sasa Mheshimwa ukiwa death row maana yake ni
MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC), limepiga marufuku viongozi wa serikali/kisiasa kuitwa mbele ya madhabahu/altare kuongea, kutoa hotuba, kusalimia au kusema chochote. Kama Misa imehudhuriwa na Rais, Waziri, Mbunge au kiongozi mwingine yeyote, Padre/Askofu anayeendesha