Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile
Maundu Mwingizi

@maundumwingizi

Reading is my daily bread and writing an addictive elixir.

ID: 450676383

calendar_today30-12-2011 14:37:23

3,3K Tweet

3,3K Followers

479 Following

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

Pope Francis has said that reading novels and poems is valuable in β€œone’s path to personal maturity” and should be encouraged in the training of future priests. theguardian.com/books/article/…

Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Maneno yasiwe mengi. Picha inajieleza.πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ†πŸŽ†πŸŽ†πŸŽ†πŸ’«πŸ’«πŸ’ͺ🏿 #TuzoNyerere

Maneno yasiwe mengi. Picha inajieleza.πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ†πŸŽ†πŸŽ†πŸŽ†πŸ’«πŸ’«πŸ’ͺ🏿

#TuzoNyerere
LUBANGO (@lucaslubango) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana kaka kwa kuibuka kidedea kwenye Utanzu wa Riwaya mwaka huu. Mchuano ulikuwa mkali lakini namba moja lazina apatikane. Hongera sana. Pokea maua yako kutoka kwa mwalimu wa Bweni.

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

Writing is part magic, part craft. There’s nothing you can do about magic: it either happens or it doesn’t. But learning the craft is possible. So while you’re waiting for the muse to visit you, work on your craft.

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

Only another writer can know how much damage writing a novel can do to you. It's an unnatural activity to sit at a desk and squeeze words out of yourself. – Norman Mailer

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

"...So, write with the combination of short, medium, and long sentences. Create a sound that pleases the reader’s ear. Don't just write words. Write music." β€” Gary Provost on Varying Sentence Length

"...So, write with the combination of short, medium, and long sentences. Create a sound that pleases the reader’s ear. Don't just write words. Write music."

β€” Gary Provost on Varying Sentence Length
TheGuardianTzOnline (@theguardiantzo1) 's Twitter Profile Photo

#News VETERAN Tanzanian author Maundu Mwingizi has won the 2025 Mwalimu Nyerere National Prize for Creative Writing (novel category) for his manuscript Jeneza la Taifa (The Nation’s Coffin), a compelling narrative that ...read more:shorter.me/42EKK

The Booker Prizes (@thebookerprizes) 's Twitter Profile Photo

Watch the moment Heart Lamp was announced as the winner of the #InternationalBooker2025. Discover the book: thebookerprizes.com/the-booker-lib… And Other Stories

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya nguzo kubwa za fasihi ya Afrika imeanguka hii leo. Profesa Ngugi wa Thiong'o hatuko naye tena duniani. Kalale pema Baba wa Fasihi ya Afrika.

Moja kati ya nguzo kubwa za fasihi ya Afrika imeanguka hii leo. Profesa Ngugi wa Thiong'o hatuko naye tena duniani. Kalale pema Baba wa Fasihi ya Afrika.
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

KiseJoe Maundu Mwingizi (---) Onesmo Mushi UDADISI Christian Bwaya Kitila Mkumbo (PhD) Aliandika A Grain of Wheat kabla ya kubadili msimamo. Jambo la kutafakari ni kwamba alipoandika kwa Kiingereza, japo alipokosoa sana mfumo hakuguswa lkn alipoandika Ngaahika Ndenda (I Will Marry When I Want) kwa lugha ya Kikikuyu na kuonesha kijijini alitiwa kizuizini mara moja

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

"I’ve had private conversations with younger authors and we all agree that NgΕ©gΔ© wa Thiong’o needs to stop submitting his works for prizes. He is bigger than all of them..." thisislagos.ng/time-to-enthus…

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

β€œA woman can become a man's friend only in the following stages - first an acquantaince, next a mistress, and only then a friend.” ―Astrov from "Uncle Vanya" (Act II)

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Kiburi huleta maangamizi. Klabu ya Yanga yenye mashabiki kutoka vyama tofauti tofauti jana imewatapikia mashabiki wake ili tu kujipendekeza kwa Watawala. Yanga itaadhibiwa na FIFA kwa sababu ya upumbavu tu wa Viongozi wao. Juzi hapa TFF imetozwa faini katika mashindano

Kiburi huleta maangamizi. Klabu ya Yanga yenye mashabiki kutoka vyama tofauti tofauti jana imewatapikia mashabiki wake ili tu kujipendekeza kwa Watawala. Yanga itaadhibiwa na <a href="/FIFAcom/">FIFA</a> kwa sababu ya upumbavu tu wa Viongozi wao. Juzi hapa TFF imetozwa faini katika mashindano