MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile
MazingiraTV

@mazingira_onlin

News, comments, highlights on important environmental stories

ID: 1206454961539895296

linkhttp://www.leat.or.tz calendar_today16-12-2019 06:04:59

4,4K Tweet

325 Followers

994 Following

LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

Internship Alert for Law Graduates! Are you ready to make a difference in the world of environmental law? LEAT is seeking a passionate law graduate to join our team and drive change! ⏳ Deadline: 25 May 2024 Leat | Lawyers’ Environmental Action Team

Internship Alert for Law Graduates!
Are you ready to make a difference in the world of environmental law? LEAT is seeking a passionate law graduate to join our team and drive change!
⏳ Deadline: 25 May 2024
Leat | Lawyers’ Environmental Action Team
LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

"Travel around the heart of resilient communities in Rukwa! OFISI YA RAIS TAMISEMI & Wizara ya Maliasili na Utalii visited the environmental club at Mazoka Secondary School and ventured down the hill to witness the evolving landscape at #LyambaLyaMfipa.

"Travel around the heart of resilient communities in Rukwa! OFISI YA RAIS TAMISEMI  & Wizara ya Maliasili na Utalii visited the environmental club at Mazoka Secondary School and ventured down the hill to witness the evolving landscape at #LyambaLyaMfipa.
NemcTanzania (@nemctanzania) 's Twitter Profile Photo

Baraza La Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Limeandaa Kongamano La Wadau Wa Mazingira Mei 31 JNICC, Dar Es Salaam, Kujadili Usimamizi Na Uhifadhi Wa Mazingira Tanzania, Kabla Ya Siku Ya Mazingira Duniani Juni 5, 2024. #NEMC #Ikulu #SSH #VPO #OMR #Mazingira.

Baraza La Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Limeandaa Kongamano La Wadau Wa Mazingira Mei 31 JNICC, Dar Es Salaam, Kujadili Usimamizi Na Uhifadhi Wa Mazingira Tanzania, Kabla Ya Siku Ya Mazingira Duniani Juni 5, 2024.
#NEMC #Ikulu #SSH #VPO #OMR #Mazingira.
LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya Ubalozi wa Norway ya 2022 “Clean Energy Transition in Tanzania: Powering Sustainable Development”, ilibainisha changamoto mbili: kufikia huduma za nishati kwa wote ifikapo 2030 na kuongeza umeme bila kutegemea mafuta ya kinyesi. Soma Zaidi 👉 leat.or.tz/.../d5083146-2…

Ripoti ya Ubalozi wa Norway ya 2022 “Clean Energy Transition in Tanzania: Powering Sustainable Development”, ilibainisha changamoto mbili: kufikia huduma za nishati kwa wote ifikapo 2030 na kuongeza umeme bila kutegemea mafuta ya kinyesi.
Soma Zaidi 👉 leat.or.tz/.../d5083146-2…
LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

Uzi 1/2 Kuelekea Siku ya Mazingira Duniani 2024 (WED2024), Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kimazingira, ikiwemo kupoteza zaidi ya hekta 229,000 za misitu mwaka 2023. Soma zaidi 👉leat.or.tz/.../bdaaf72e-f…

Uzi 1/2
Kuelekea Siku ya Mazingira Duniani 2024 (WED2024), Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kimazingira, ikiwemo kupoteza zaidi ya hekta 229,000 za misitu mwaka 2023.
Soma zaidi 👉leat.or.tz/.../bdaaf72e-f…
LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

1/2 Siku 6 zimebaki hadi #SikuYaMazingiraDuniani itakayoadhimishwa Jumatano, Juni 5, 2024. Hii ni toleo la mwisho kabla ya WED 2024. Mwaka huu WED unakuja huku dunia ikikabiliana na matukio mbalimbali ya kimazingira kama mafuriko, vimbunga, moto wa nyika, na joto kali.

1/2
Siku 6 zimebaki hadi #SikuYaMazingiraDuniani itakayoadhimishwa Jumatano, Juni 5, 2024. Hii ni toleo la mwisho kabla ya WED 2024. Mwaka huu WED unakuja huku dunia ikikabiliana na matukio mbalimbali ya kimazingira kama mafuriko, vimbunga, moto wa nyika, na joto kali.
LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

Uzi 1/2 Kusherehekea #WED2024 huku tukikumbuka changamoto za 2023. Tanzania ilipoteza hekta 229,000 za misitu. Mikoa athirika ni pamoja na Dodoma, Singida, Rukwa, Tabora, Kigoma. Soma Zaidi 👉leat.or.tz/.../51e67155-2…

Uzi 1/2
Kusherehekea #WED2024 huku tukikumbuka changamoto za 2023. Tanzania ilipoteza hekta 229,000 za misitu. Mikoa athirika ni pamoja na Dodoma, Singida, Rukwa, Tabora, Kigoma.
Soma Zaidi 👉leat.or.tz/.../51e67155-2…
LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

Kataa makaa ya mawe kwa afya bora, mazingira safi, na mustakabali endelevu. Chagua nishati mbadala kuokoa vyanzo vya maji, wanyamapori, na kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Soma zaidi 👉 leat.or.tz/.../b88fcbf0-1… #KataaMakaaYaMawe #NishatiMbadala #AfyaNaMazingira

Kataa makaa ya mawe kwa afya bora, mazingira safi, na mustakabali endelevu. Chagua nishati mbadala kuokoa vyanzo vya maji,   wanyamapori, na kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Soma zaidi 👉 leat.or.tz/.../b88fcbf0-1…
#KataaMakaaYaMawe #NishatiMbadala #AfyaNaMazingira
LEAT (@infoleat) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Mazingira Duniani 2024, hii ni salamu yetu: “Tunasherehekea Siku ya Mazingira Duniani, tukikumbuka umuhimu wa kuhifadhi ardhi yetu, kukabiliana na jangwa na ukame. Kila hatua ndogo inaleta mabadiliko makubwa. #Mazingira2024 Angalia 👉youtu.be/vl_PyDnU3NA

Kuelekea Siku ya Mazingira Duniani 2024, hii ni salamu yetu: “Tunasherehekea Siku ya Mazingira Duniani, tukikumbuka umuhimu wa kuhifadhi ardhi yetu, kukabiliana na jangwa na ukame. Kila hatua ndogo inaleta mabadiliko makubwa. #Mazingira2024

Angalia 👉youtu.be/vl_PyDnU3NA
Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿 (@susannan2) 's Twitter Profile Photo

Is there any government or conservationist reaction to the European Commission's removal of Tanzania from the former, "Biodiversity Conservation and Sustainable Community Livelihoods in Southern Kenya Northern Tanzania and Northern Kenya: Eastern Rift Savannahs and Watersheds"?

MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile Photo

Mapinduzi ya Ardhi: Mwanamama huyu amepiga hatua kubwa! Kutoka kwenye mgogoro wa ardhi hadi kujipatia hati, sasa anajivunia thamani iliyopanda na uhuru wa kiuchumi. Tazama safari yake ya kuvutia hapa 👇 youtu.be/HPWeOOJMafs LEAT USAIDTanzania RusudeoTz

Mapinduzi ya Ardhi: Mwanamama huyu amepiga hatua kubwa! Kutoka kwenye mgogoro wa ardhi hadi kujipatia hati, sasa anajivunia thamani iliyopanda na uhuru wa kiuchumi.
Tazama safari yake ya kuvutia hapa 👇
youtu.be/HPWeOOJMafs
LEAT USAIDTanzania RusudeoTz
MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa USAID #ResilientCommunitiesGovernance wapunguza Migogoro ya Ardhi na Kuleta Amani Kati ya Wananchi. Fuatilia zaidi 👉youtu.be/KPa5uZC5v_w

Mradi wa USAID #ResilientCommunitiesGovernance wapunguza Migogoro ya Ardhi na Kuleta Amani Kati ya Wananchi. Fuatilia zaidi 👉youtu.be/KPa5uZC5v_w
MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile Photo

Wananchi Kisula, Nkasi DC, Waelezea namna migogoro sugu ya ardhi ilivyotatuliwa na mradi wa USAID #ResilientCommunitiesGovernance youtu.be/YNM9-jeOsWI LEAT USAIDTanzania RusudeoTz

MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa Kalumbaleza, Sumbawanga Dc, wamethibitisha kupungua kwa uharibifu wa misitu baada ya kuanza kusimamia sheria ndogo za vijiji za usimamizi wa maliasili Fuatilia zaidi 👉 youtu.be/CHTibISesvo LEAT USAIDTanzania RusudeoTz OFISI YA RAIS TAMISEMI

MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile Photo

Tazama wakazi wa Itindi, Rukwa wakisumulia namna ambavyo walishuhudia Tembo akifika kijijini kwao kutokea Mbuga ya Hifadhi Katavi kuelekea kwenye misitu ya Lyamba lya Mfipa. LEAT USAIDTanzania RusudeoTz #USAIDResilientCommunitiesGovernance youtu.be/aZcRrW7MSlw

MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile Photo

Mchwa wanaweza kuwa tatizo kubwa kwa miti, hasa ikiwa hawadhibitiwi vizuri. Je, umewahi kujaribu njia yoyote ya kudhibiti mchwa? LEAT RusudeoTz USAIDTanzania youtu.be/upOJ12vwp3A

MazingiraTV (@mazingira_onlin) 's Twitter Profile Photo

Be inspired and informed by our latest documentary on the environmental impacts of small-scale mining in Geita, Tanzania. Learn how these activities affect local communities and the environment. Watch now! youtube.com/watch?v=NH-PLi… LEAT

Be inspired and informed by our latest documentary on the environmental impacts of small-scale mining in Geita, Tanzania. Learn how these activities affect local communities and the environment. Watch now! youtube.com/watch?v=NH-PLi…
LEAT