mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile
mbelwa Kairuki

@mbelwak

Tanzania's High Commissioner to the UK

ID: 613450819

linkhttps://tzhc.uk calendar_today20-06-2012 13:40:54

2,2K Tweet

15,15K Followers

1,1K Following

Ambassador Hassani Iddi Mwamweta (@hassanimwamweta) 's Twitter Profile Photo

Kwa nafasi yangu ya Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vatican mwenye Makazi Berlin, Ujerumani nimewasilisha salamu za pongezi na kheri kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Baba Mtakatifu Leo wa XIV. Kwenye salamu hizo,

Kwa nafasi yangu ya Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vatican mwenye Makazi Berlin, Ujerumani nimewasilisha salamu za pongezi na kheri kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Baba Mtakatifu Leo wa XIV.

Kwenye salamu hizo,
mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Prof. Mohamed Janabi kwa ushindi mkubwa ulioupata wa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani. Kwa hakika ushindi huo ni kielelezo cha imani na matumaini ya Mataifa ya Afrika juu yako katika kuendeleza sekta ya Afya Barani Afrika.

Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

*TANZANIA KUSHIRIKI JUKWAA LA UONGEZAJI THAMANI MADINI UINGEREZA* Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la

*TANZANIA KUSHIRIKI JUKWAA LA UONGEZAJI THAMANI MADINI UINGEREZA*

Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la
Andrew Julian Mahiga (@drudysseus) 's Twitter Profile Photo

The event provided a platform for ZIPA and Tanzania/Zanzibar-based investors to meet with key organisations in the UK, showcase opportunities across energy, infrastructure and the Blue Economy & facilitate partnership discussions. #UKinTanzania #GoFarGoTogether #EATIF2025.

The event provided a platform for ZIPA and Tanzania/Zanzibar-based investors to meet with key organisations in the UK, showcase opportunities across energy, infrastructure and the Blue Economy & facilitate partnership discussions. #UKinTanzania #GoFarGoTogether #EATIF2025.
mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile Photo

Honoured to join a timely and impactful forum on Tanzania’s critical minerals sector, hosted by Bowmans , Invest Africa , Foreign, Commonwealth & Development Office, UK in Tanzania and the Department for Business and Trade . My sincere thanks to all for the excellent organisation of the forum. Grateful to our Tanzanian

Honoured to join a timely and impactful forum on Tanzania’s critical minerals sector, hosted by Bowmans , Invest Africa , Foreign, Commonwealth & Development Office, UK in Tanzania and the Department for Business and Trade . My sincere thanks to all for the excellent organisation of the forum.

Grateful to our Tanzanian
Tanzania High Commission I United Kingdom (@ubaloziuk) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa kuvutia uwekezaji kutoka nchini Uingereza katika nchi za Afrika Mashariki umefunguliwa leo jijini London. Mkutano huo unaohudhuriwa na ujumbe kutoka Tanzania, Kenya na Uganda umeandaliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Biashara ya

UK in Tanzania (@ukintanzania) 's Twitter Profile Photo

At #EastAfricaTradeForum, a session was held on 🇹🇿market potential in energy, infrastructure, blue economy, critical minerals & more. Led by HE mbelwa Kairuki, Wizara ya Madini Dep. PS. Hon. Msafiri Mbibo, EA Trade Envoy Kate Osamor MP, Minister Collins of Highbury & other 🇹🇿 delegates.

At #EastAfricaTradeForum, a session was held on 🇹🇿market potential in energy, infrastructure, blue economy, critical minerals & more.

Led by HE mbelwa Kairuki, Wizara ya Madini Dep. PS. Hon. Msafiri Mbibo, EA Trade Envoy Kate Osamor MP, Minister Collins of Highbury & other 🇹🇿 delegates.
mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana Madee kwa kutenga muda wako kutembelea Ubalozini kubadilishana mawazo ya maendeleo na kwa zawadi nzuri ya Tshirt

Councillor Luke Farley (@farleylabour) 's Twitter Profile Photo

A real pleasure to welcome his excellency mbelwa Kairuki to Burmantofts and Richmond Hill today for the first ever Swahili Bonanza football tournament! Huge congratulations to all involved in its organisation and all of the players!

A real pleasure to welcome his excellency mbelwa Kairuki to Burmantofts and Richmond Hill today for the first ever Swahili Bonanza football tournament!

Huge congratulations to all involved in its organisation and all of the players!
mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile Photo

Ninatoa pongezi za dhati kwa Leeds Swahili Community chini ya Uongozi wa Ndugu Amran kwa kuandaa mashindano ya Mpira wa Miguu yaliyoshirikisha timu za Wanadiaspora kuroka miji ya Glasgow, New Castle, Leicester, Coventry, Slough na Hunslow. Aidha, ninaipongeza sana timu ya

mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile Photo

Thank you, Madam Secretary-General. It was a pleasure meeting with you and discussing the vision for a pan-Commonwealth scholarship initiative. Such programmes are vital for investing in our people, deepening cultural ties, and advancing inclusive development across the

UK in Tanzania (@ukintanzania) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Mhe. Balozi mbelwa Kairuki. The 🇬🇧 is proud to work in partnership with 🇹🇿 to strengthen trade, support exporters & unlock new opportunities via initiates like the Horticulture Export Acceleration Programme & the Mutual Prosperity Partnership. #GoFarGoTogether

mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile Photo

A UK-registered charity, Naya Qadam, will conduct a limb rehabilitation outreach and training programme in Zanzibar in September 2025. The mission, led by Dr Viquar Qurashi and supported by UK-based Tanzanian diaspora Madam Zarina Jafferjee, will provide free prosthetic limbs to

Jana nilipata fursa ya kuonana na Bi. Anjana Patel Anjana Patel Mwanadiaspora wa Tanzania aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Mstahiki Meya wa Manisaa ya Harrow ya Jijini London. Bi Patel amezaliwa Tanzania na kusomea Shule ya Msingi ya Mtendeni jijini Dar es salaam. Alihamia

Jana nilipata fursa ya kuonana na Bi. Anjana Patel Anjana Patel Mwanadiaspora wa Tanzania aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Mstahiki Meya wa Manisaa ya Harrow ya Jijini London. Bi Patel amezaliwa Tanzania na kusomea Shule ya Msingi ya Mtendeni jijini Dar es salaam. Alihamia
Tanzania High Commission I United Kingdom (@ubaloziuk) 's Twitter Profile Photo

The Embassy is pleased to invite all Tanzanians and members of the Tanzanian diaspora residing in Ireland to a meeting with *His Excellency Mbelwa Kairuki* , Ambassador of the United Republic of Tanzania to Ireland. 🗓 *Date:* Sunday, 22nd June 2025 🕓 *Time:* 4:00 PM – 6:00 PM

The Embassy is pleased to invite all Tanzanians and members of the Tanzanian diaspora residing in Ireland to a meeting with *His Excellency Mbelwa Kairuki* , Ambassador of the United Republic of Tanzania to Ireland.

🗓 *Date:* Sunday, 22nd June 2025
🕓 *Time:* 4:00 PM – 6:00 PM
Anjana Patel (@anjanapatel01) 's Twitter Profile Photo

It was an honour and a privilege to meet with H.E of Tanzania yesterday. I look forward to meeting you and working with you. #Tanzania #daresalaam #harrow #Diaspora