Isihaka Mchinjita (@mchinjitair) 's Twitter Profile
Isihaka Mchinjita

@mchinjitair

Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara | Vice Chairman ACT-Wazalendo Tanzania Mainland & Shadow Prime Minister. | #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #TheFutureIsPurple

ID: 795984893276778496

linkhttps://www.actwazalendo.or.tz/ calendar_today08-11-2016 13:42:42

21,21K Tweet

4,4K Followers

178 Following

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema amesikitishwa na kauli za baadhi ya Wabunge dhidi ya wanaharakati kutoka Kenya na Uganda kuhamasisha matumizi ya nguvu za dola dhidi yao. Akitolea mfano wa Mbunge wa

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa ACTWazalendo, Ndugu Othman Masoud Othman amelaani kauli ya Mbunge Maryam Omar Said ya kutaka Mh. Martha Karua SC apigwe. Asema Mbunge huyo hakushinda kihalali—alitangazwa na kura 36 tu dhidi ya zaidi ya 5000 za mgombea wa ACT. “Hana uchungu na wananchi, ndiyo maana anatamka

Salim Bimani (@salimbimani2) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa ACTWazalendo Othman Masoud Othman amekemea kauli ya Mbunge Maryam O. Said ya kutaka Martha Karua SC apigwe, akisema hakuchaguliwa kihalali—alitangazwa na kura 36 tu dhidi ya 5000 za mgombea wa ACT. “Hana uchungu na wananchi,” alisema. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Riziki Shahari Mngwali, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mafia. Riziki, akichukua fomu hiyo amesema kuwa matamanio yake ni kupambania maslahi ya watu wa kisiwa hicho pamoja na

Riziki Shahari Mngwali, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mafia.

Riziki, akichukua fomu hiyo amesema kuwa matamanio yake ni kupambania maslahi ya watu wa kisiwa hicho pamoja na
Ndolezi (@ndolezi_petro) 's Twitter Profile Photo

Tarime, Mara imeitika ACT Wazalendo kila kona inapokelewa kwa kishindo sana Tumefunga Mjadala sasa wa kusema Mikutano inafanyika Kigoma Tu

Tarime, Mara imeitika

ACT Wazalendo kila kona inapokelewa kwa kishindo sana

Tumefunga Mjadala sasa wa kusema Mikutano inafanyika Kigoma Tu
Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti Othman Masoud Othman ni nyota inayong’ara sana. Umekuwa unatoa matumaini kila unapopita badala ya hofu. Hakika Mwaka 2025 Nchi hii inaenda kupata uongozi tulioutamani, tuliousubiria na tunaoutaka. Nakupongeza kwa Kazi nzuri na kubwa. Unatu inspire kwa kweli. ACTWazalendo

Othman Masoud Othman (@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Jana tarehe 28 Mei 2025, Chama chetu cha ACTWazalendo kimevuna wanachama wapya 210 kutoka CCM, katika Kata ya Kyang'ombe Jimbo la Rorya Mkoani Mara.

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Jana Mei 28, 2025, ACTWazalendo imepata wanachama wapya 210 katika Kata ya Kyang'ombe, Jimbo la Rorya, kufuatia hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa Othman Masoud Othman. Ziara yake Kanda ya Ziwa inakamilika leo kwa kikao na mkutano wa hadhara Jimbo la Magu, Mwanza. #MuhuniHasusiwi

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 29, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ndugu Janeth Rithe amealaani ukatili dhidi ya raia wa Afrika Mashariki nchini Tanzania! Hii ni baada ya matukio ya hivi karibuni ya kuzuiwa Uwanja wa Ndege bila sababu Kiongozi wa

Leo Mei 29, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ndugu Janeth Rithe amealaani ukatili dhidi ya raia wa Afrika Mashariki nchini Tanzania!

Hii ni baada ya matukio ya hivi karibuni ya kuzuiwa Uwanja wa Ndege bila sababu Kiongozi wa
Othman Masoud Othman (@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Alkhamis ya Mei 29, 2025 nimekamilisha ziara yangu ya kikazi katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ya Tanzania Bara. Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati Viongozi wetu wa Chama cha ACTWazalendo wa ngazi zote wakiongozwa na Katibu Mkuu wetu, Ndugu Ado Shaibu, Viongozi wa Serikali

Alkhamis ya Mei 29, 2025 nimekamilisha ziara yangu ya kikazi katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ya Tanzania Bara.

Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati Viongozi wetu wa Chama cha ACTWazalendo wa ngazi zote wakiongozwa na Katibu Mkuu wetu, Ndugu Ado Shaibu, Viongozi wa Serikali
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Dorothy Semu Aomba Ridhaa ya ACT Kugombea Urais KC Dorothy Semu ametangaza rasmi kuomba ridhaa ya Chama ili kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza na wanachama na wanahabari, KC amesema dhamira yake inaongozwa na haja ya uongozi

Dorothy Semu Aomba Ridhaa ya ACT Kugombea Urais

KC Dorothy Semu ametangaza rasmi kuomba ridhaa ya Chama ili kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao.

Akizungumza na wanachama na wanahabari, KC amesema dhamira yake inaongozwa na haja ya uongozi
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Mwanachama wa ACT Wazalendo na Wakili Msomi, Peter Madeleka, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kugombea Ubunge wa Jimbo la Kivule katika uchaguzi mkuu ujao. Hafla ya kuchukua fomu hiyo imefanyika katika ofisi za chama hicho na kuhudhuriwa na umati wa

Mwanachama wa ACT Wazalendo na Wakili Msomi, Peter Madeleka, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kugombea Ubunge wa Jimbo la Kivule katika uchaguzi mkuu ujao. Hafla ya kuchukua fomu hiyo imefanyika katika ofisi za chama hicho na kuhudhuriwa na umati wa
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 31, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amekutana na watiania wa ubunge na diwani Tanga Mjini. Huu ni mwendelezo wa Operesheni Linda Demokrasia. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

Leo Mei 31, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amekutana na watiania wa ubunge na diwani Tanga Mjini. Huu ni mwendelezo wa Operesheni Linda Demokrasia.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 31, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amekutana na watiania wa ubunge na diwani Tanga Mjini. Huu ni mwendelezo wa Operesheni Linda Demokrasia. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

Leo Mei 31, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amekutana na watiania wa ubunge na diwani Tanga Mjini. Huu ni mwendelezo wa Operesheni Linda Demokrasia.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
Idd Mkanza (@mkanzaidd) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 31, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Mhe ISIHAKA MCHINJITA amekutana na watiania wa ubunge na diwani pamoja na Kamati ya Uongozi ya majimbo ya mkoa wa Tanga ukiwa ni mwendelezo wa Operesheni Linda Demokrasia na maandalizi ya kushinda viti vingi October/2025.