MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile
MeTL Group

@metl_group

One of the biggest conglomerates in Africa. 🌐 38,000 Employees 🇹🇿 Proudly #Tanzanian 🌍 Present in 11 African Countries metl.net

ID: 850838503

linkhttp://www.metl.net calendar_today28-09-2012 10:29:33

5,5K Tweet

23,23K Followers

22 Following

MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Drama kidogo, maelezo mengi - na kitambaa kinachofanya kazi zaidi. 💃🏾✨ Machapisho mazito, uwepo mkubwa, na samahani sifuri. #Mo #MeTL #TunagusaMaishaYako #METLGroup #Tanzania #MOTextiles

Drama kidogo, maelezo mengi -
na kitambaa kinachofanya kazi zaidi. 💃🏾✨
Machapisho mazito, uwepo mkubwa, na samahani sifuri.

#Mo #MeTL #TunagusaMaishaYako #METLGroup #Tanzania #MOTextiles
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

🚦 Taa zimeruhusu, lakini maisha hayana hakika. Usiende tu – jiulize: una bima? Tembelea moassurance.co.tz ukate bima ya gari lako sasa ili uwe salama muda wote #UnaBima #UsalamaBarabarani #MoAssurance

🚦 Taa zimeruhusu, lakini maisha hayana hakika.
Usiende tu – jiulize: una bima? Tembelea moassurance.co.tz ukate bima ya gari lako sasa ili uwe salama muda wote

#UnaBima #UsalamaBarabarani #MoAssurance
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

You don’t need to check every box to land the job! ✅ Potential and adaptability matter. Start applying today with Make Your Move! 💼✨ #CareerMythBusting #MakeYourMove

You don’t need to check every box to land the job! ✅ Potential and adaptability matter. Start applying today with Make Your Move! 💼✨

#CareerMythBusting #MakeYourMove
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Breakfast bomba huandaliwa na Unga bora wa Safi. Safi ni chaguo la kila mtu anbaejali afya na ladha. #MOTunagusaMaishaYako #METLGroup #Tanzania #Simba #MoExtra

Breakfast bomba huandaliwa na Unga bora wa Safi. Safi ni chaguo la kila mtu anbaejali afya na ladha.

#MOTunagusaMaishaYako #METLGroup #Tanzania #Simba #MoExtra
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

MO Super Wash inakupa nguo safi zenye harufu ya kupendeza bila kuharibu mikono yako. Imebuniwa kwa matumizi salama na bora. #Mo #MoTunagusaMaishaYako #METLGroup #SuperWash #MOSuperWash

MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Siku ya Baba kwa mashujaa wetu wa kila siku. MO tunatambua na kuthamini mchango wa kila baba katika familia. #MO #MOTunagusaMaishaYako #METLGroup #SikuYaBaba #HeriYaSikuYaBaba

Heri ya Siku ya Baba kwa mashujaa wetu wa kila siku. MO tunatambua na kuthamini mchango wa kila baba katika familia.

#MO #MOTunagusaMaishaYako #METLGroup #SikuYaBaba #HeriYaSikuYaBaba
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Kijani kama ukuaji. Kujiamini kwa ujasiri. Hivi ndivyo unavyovaa hadithi 💚🖤💛 #Mo #MeTL #TunagusaMaishaYako #METLGroup #Tanzania #MOTextiles

Kijani kama ukuaji. Kujiamini kwa ujasiri.
Hivi ndivyo unavyovaa hadithi  💚🖤💛

#Mo #MeTL #TunagusaMaishaYako #METLGroup #Tanzania #MOTextiles
Hassan G. Dewji (@hassangdewji) 's Twitter Profile Photo

Grateful to have represented MeTL Group at the Danish Labour Market Consortium TVET Conference hosted by Association of Tanzania Employers(ATE). The panel I participated in,“Enhancing Work Readiness and Soft Skills in TVET”, brought together voices from across Africa, including employers, training

Grateful to have represented <a href="/MeTL_Group/">MeTL Group</a> at the Danish Labour Market Consortium TVET Conference hosted by <a href="/ATE_Tanzania/">Association of Tanzania Employers(ATE)</a>.

The panel I participated in,“Enhancing Work Readiness and Soft Skills in TVET”, brought together voices from across Africa, including employers, training
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kuvaa abaya bila dhahabu, sawa na huwezi kufua bila sabuni bora kama MO Super Wash. Ni lazima kwa usafi wa kweli. #MO #MOTunagusaMaishaYako #MOSuperWash #Sabuni

Huwezi kuvaa abaya bila dhahabu, sawa na huwezi kufua bila sabuni bora kama MO Super Wash. Ni lazima kwa usafi wa kweli.

#MO #MOTunagusaMaishaYako #MOSuperWash #Sabuni
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role. #Mo #MeTL #HotJobs #MakeYourMove #MYM

If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role.

#Mo #MeTL #HotJobs #MakeYourMove #MYM
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Baba bora si tu mpenda familia, ni mlinzi wake. Linda familia yako kwa bima bora. #BabaBora #LindaFamiliaYako #MoAssurance

Baba bora si tu mpenda familia, ni mlinzi wake.
Linda familia yako kwa bima bora.

#BabaBora #LindaFamiliaYako #MoAssurance
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Sabuni ya Mo Protector inakupa uhakika wa asilimia 99 dhidi ya madoa sugu. Usafi wa nguo zako, fahari yako! #Mo #TunagusaMaishaYako #METLGroup #MOProtector #Sabuni

Sabuni ya Mo Protector inakupa uhakika wa asilimia 99 dhidi ya madoa sugu. Usafi wa nguo zako, fahari yako!

#Mo #TunagusaMaishaYako #METLGroup #MOProtector #Sabuni
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Nguo zako zinastahili matunzo ya kifalme. Chagua Mo Taifa kwa usafi wa kiwango cha juu kila siku. #MoTunagusaMaishaYako #METLGroup #MOTaifa

Nguo zako zinastahili matunzo ya kifalme. Chagua Mo Taifa kwa usafi wa kiwango cha juu kila siku.

#MoTunagusaMaishaYako #METLGroup #MOTaifa
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Mapishi matamu, unga safi! Unga wa Mo Safi unakupa ubora usio na kifani! Ni unga wa ngano ulioongezewa virutubisho. #Mo #MOTunagusaMaishaYako #METLGroup #MOSafi

MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Vyombo vyenye mafuta si changamoto tena—sabuni ya MO29 imeundwa maalum kwa kazi hiyo. Matokeo? Vyombo safi, mikono salama. #MO #MoTunagusaMaishaYako #METLGroup

Vyombo vyenye mafuta si changamoto tena—sabuni ya MO29 imeundwa maalum kwa kazi hiyo. Matokeo? Vyombo safi, mikono salama.

#MO #MoTunagusaMaishaYako #METLGroup
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Your Dream Job is Waiting! 🚀 Complete Your Profile & Get Noticed by Top Employers. Register Now! 💼✨ #MakeYourMove #GetHired #CareerSuccess

Your Dream Job is Waiting! 🚀 Complete Your Profile &amp; Get Noticed by Top Employers. Register Now! 💼✨

#MakeYourMove #GetHired #CareerSuccess
MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

Ukiweka Mo Xtra chini… kaa chonjo! 😅 Wakuu hawachelewi… ukigeuka kidogo, Mo Xtra yako ishachukuliwa! Mo Xtra — Energy ya mtaa mzima! ⚡ #MoXtra #UsiacheChini #KilaMtuAnayo #HiiHaitoshi

MeTL Group (@metl_group) 's Twitter Profile Photo

In Q1, MeTL Group remained committed to supporting health and wellbeing through organizing a Free Eye and Women’s Health Camp, and supporting the fight against cervical cancer through awareness initiatives. #CommunityHealth #HealthcareForAll #CSRInitiative #WomensHealth

In Q1, MeTL Group remained committed to supporting health and wellbeing through organizing a Free Eye and Women’s Health Camp, and  supporting the fight against cervical cancer through awareness initiatives.

#CommunityHealth #HealthcareForAll #CSRInitiative #WomensHealth