Mercy moraa (@mercymo71042896) 's Twitter Profile
Mercy moraa

@mercymo71042896

Wife,Mom, God fearing, radio fan
#Rhumba listening and #Football watching my hobby

ID: 1137809173528363014

calendar_today09-06-2019 19:50:21

11,11K Tweet

5,5K Followers

508 Following

Mercy moraa (@mercymo71042896) 's Twitter Profile Photo

Mimina bwana nehema zako kwetu watoto wako #BarakaZaMilele iam listening from Mombasa Likoni with my husband Daniel Mukua Kithome mom Mama Taifa Evah Mwalili tuko pamoja

Mercy moraa (@mercymo71042896) 's Twitter Profile Photo

Mungu Ni mwema na ananitendea kila wakati #barakazamilele nikiwa mombasa Likoni napokea baraka nikiwa na mume wangu Daniel Mukua Kithome mama taifa Mama Taifa Evah Mwalili mungu akubariki mom umekuwa wa baraka kwangu kila asubuhi

Mercy moraa (@mercymo71042896) 's Twitter Profile Photo

Noo...no noo plz matiangi hajaiva kuwa prezooo was republic but let him try ajitafutie umaarufu next round after William ruto tutamfikiria #WhyMatiangi

Mercy moraa (@mercymo71042896) 's Twitter Profile Photo

Kamaa ur not doing good to your clients,we started sending you msgs/tweets as u stepped in studio, unfortunately u have not read even one tujue Kama tuko pamoja 😅,iam tuned from mombasa Likoni with my husband Daniel Mukua Kithome,namsalimia bekimwamburi sana #goodeveningkenya

Mercy moraa (@mercymo71042896) 's Twitter Profile Photo

Tuko mbele pamoja nikiwa Likoni mombasa kibet na kefa pamoja Sana #danadanaviwanjani Stephen Mukangai unaingilia kinjo sana lkn Ni kitindaa wacha akubali matokeo😅

Mercy moraa (@mercymo71042896) 's Twitter Profile Photo

I celebrate my biological mom Joyce magoma keara akiwa kisii kegochi matierio also my mother inlaw Doreen Kithome from kitonyini machakos county,niko mombasa Likoni happy women's day to all women #goodeveningkenya