DAVID MIENDO (BGM) (@miendodavi58432) 's Twitter Profile
DAVID MIENDO (BGM)

@miendodavi58432

Notorious

ID: 1658405208857223170

calendar_today16-05-2023 09:34:42

13,13K Tweet

156 Followers

576 Following

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Because it's the last Friday this June! Halloo... #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Glory to God 🙏. Umeamkaje Mwana Ligi, Bwana ametupa uhai wa bure, karibu kwa morning glory Ijumaa ya mwisho ya Juni. Pokea uncompromised, undiluted nuru! Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili

Glory to God 🙏. Umeamkaje Mwana Ligi, Bwana ametupa uhai wa bure, karibu kwa morning glory Ijumaa ya mwisho ya Juni. Pokea uncompromised, undiluted nuru! <a href="/EvahMwalili/">Mama Taifa Evah Mwalili</a> <a href="/Radio47_Kenya/">Radio 47</a> #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili
Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Nimejaribu on my own lakini siwezi, nitawale! Najua kwamba mimi ni wako unanipenda tena sana nuru yako imenitoa gizani, sitaogopa kamwe, Yebo! @Vestine @Dorcas Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

#Neno...NJOO USEMEZANE NA BWANA. Isaya 1;18,19 Mungu ni Baba, anatuita tusemezane naye. Huenda kuna jambo linalofinya maisha yako, usinyamaze, usikasirikie Mungu ama watu, njoo usemezane naye, mwaga moyo wako kwake, ni mwaminifu na atatenda. Tukutane Galilaya! #nurunaevahmwalili

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

#Neno...NJOO USEMEZANE NA BWANA. Isaya 1;18,19 Mungu ni Baba na anatuita tusemezane naye. Huenda kuna jambo linalofinya maisha yako, usinyamaze, usikasirikie Mungu ama watu, njoo usemezane naye, mwaga moyo wako kwake, ni mwaminifu na atatenda. Tukutane Galilaya! #HapaNdipo

#Neno...NJOO USEMEZANE NA BWANA. Isaya 1;18,19

Mungu ni Baba na anatuita tusemezane naye. Huenda kuna jambo linalofinya maisha yako, usinyamaze, usikasirikie Mungu ama watu, njoo usemezane naye, mwaga moyo wako kwake, ni mwaminifu na atatenda. Tukutane Galilaya!
#HapaNdipo
Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! U hali gani? Karibu tukamilishe wiki kwa mpigo kwenye mpango mzima #AsheBreakfast na Emmanuel Matano Radio Ashe ,unatune in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! U hali gani? Karibu tukamilishe wiki kwa mpigo kwenye mpango mzima #AsheBreakfast na <a href="/EmmanuelMatano4/">Emmanuel Matano</a>   <a href="/radio_ashe/">Radio Ashe</a>  ,unatune in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10