
Mwl Wa Wataalam
@millambo_
I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to Build Expert Business & Sell High Ticket Offers
ID: 3254515853
https://www.youtube.com/@SwahiliQuest 14-05-2015 19:04:24
35,35K Tweet
26,26K Followers
889 Following

Mwl Wa Wataalam Nakwepa walalamikaji, nakwepa wambea nakwepa watu wasio na kazi nakwepa watu wasio na malengo

Mwl Wa Wataalam Kuna raia wanatakiwa wapewe dunia yao. Mtu haamini kama kuna MUNGU Hamuamini mtu yoyote na mbaya zaidi mpaka yeye mwenyewe hajiamini🙌🙌


Mwl Wa Wataalam Exactly... Sherehe ya Kufurahia Umoja wenu...haupaswi kuwa na ulazima wa kuchangisha... Kama utachangisha...usilazimishe mtu kutoa au kuhudhuria awe ametoa kiasi fulani...Jenga Uchumi wako mzuri alafu Oa bila mausumbufu ya michango...






Mwl Wa Wataalam Mtaalam ... sikosi kutazama video zak instagram.




Mwl Wa Wataalam Watu wanapenda sana ile addiction ya ofisi nzima kusema hamna pesa siku 4 baada ya kupokea salary. Yaani unaona watu wanafurahia kabisa aiseeeeee. Ukikaa kwenye kundi la namn hii inabidi upate nguvu ya ziada kujinasua

Kule Instagram Kutoka Kwenye Page Ya Mwl Wa Wataalam Kuna Post Inayohusu Haters. HATERS KWENYE KUPUSH CONTENT. Kuna Faida Ya Uwepo Ya Haters Katika Kupush Content Na Kukuza Brand. Kuna Ujumbe Kwenye Hili.



