
Mirembe National Mental Health Hospital
@mirembe_hosptz
Government Specialized Mental Health Hospital in Tanzania
ID: 1688834533427208192
http://www.mnmh.or.tz 08-08-2023 08:48:51
746 Tweet
1,1K Followers
117 Following



KAMPENI YA KITAIFA YA AFYA YA AKILI NI AFYA KUTIMUA VUMBI MKOANI IRINGA Kampeni ya kitaifa ya Afya ya Akili ni Afya imeaanza rasmi Chuo Kikuu cha Iringa ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa MNMH Paul Lawala na wataalamu mbalimbali kutoka Mirembe National Mental Health Hospital wameweka kambi Iringa



Tuzo hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNMH, Dkt. Paul Lawala, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya "Afya ya Akili ni Afya" kwa mkoa wa Iringa, uliofanyika chuoni hapo.Tunapongeza UoI kwa kuwa chachu ya mabadiliko katika afya ya akili nchini! #AfyaYaAkiliNiAfya





Congratulations Prof. Mohamed Janabi WHO African Region Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 #AfyaYaAkiliniAfya #JikubaliJijali




Mirembe National Mental Health Hospital Jebra Kambole Paul Lawala Samia Suluhu KIPEPE 💊 KAPETO🇹🇿 Farhan Yusuf Moyo wa TAIFA ™️ Happy Emergency Medicine Day 🔥 🔥 #AfyayaAkiliniAfya

Mirembe National Mental Health Hospital inashiriki kama mtoa mada maalum kwenye Mental Health Summit iliyoandaliwa na WAYDS Tunahamisha nguvu kwa jamii – kuzuia kabla ya kuuguza. Tunaamini taifa lenye afya bora ya akili linawezekana! Afya ya Akili ni Afya – Jikubali, Jijali. #AfyaYaAkiliNiAfya


Mirembe National Mental Health Hospital Paul Lawala Jebra Kambole KIPEPE 💊 KAPETO🇹🇿 Farhan Yusuf Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Moyo wa TAIFA ™️ Christian E Alais Mambo ni 🔥 🔥 🔥....hongera sana Team 💪🏾! #AfyayaAkiliniAfya


Waziri wa Afya Mhe. Jennista Mhagama leo Jumatatu Amesoma Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa Fedha 2025/2026. Fuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 @mirembe_hospitaltz #AfyaYaAkiliNiAfya #JikubaliJijali
