
Idd Mkanza
@mkanzaidd
JUVICUF -National Secretary General,Tutor, Optimistic & Diplomatic,Political analyst,MP candidate 2020 Same East Constituency.
ID: 1189760562495918081
http://cuf.go.tz 31-10-2019 04:27:36
1,1K Tweet
360 Followers
585 Following




Kukamatwa na kushikiliwa kwa Mwenezi wa Chadema Brenda Rupia Jonas ni mwendelezo wa Jeshi la Polisi kuacha wajibu wake wa kulinda maslahi ya umma na kujivika kazi ya kulinda maslahi ya CCM kwa kuwashughulikia wapinzani. Ukweli huu ni lazima usemwe na kuwekwa bayana!



Dorothy Semu KC Dorothy Semu akizungumza kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Jimbo la Segerea Jijini Dar es salaam. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Dorothy Semu Makamu Mwenyekiti Bara Isihaka Mchinjita akizungumza kwenye kikao cha ndani kilichofanyika Jimbo la Segerea. #MuhuniHasusiwi Oktoba #LindaKura ACTWazalendo


Dorothy Semu Isihaka Mchinjita KC Dorothy Semu na Makamu Mwenyekiti Bara Isihaka Mchinjita wakizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika Jimbo la Segerea Jijini Dar es salaam. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Dorothy Semu Isihaka Mchinjita Naibu Mwenezi Taifa, Ndugu shangwe Ayo; Mtia nia ubunge Jimbo la Segerea, Ndugu Emmanuel L. Mvula; na Naibu Waziri Kivuli wa TEHAMA, Ndugu NTOBI wakizungumza na wakazi wa Jimbo la Segerea Jijini Dar es salaam. Oktoba Linda kura #MuhuniHasusiwi


Tumeshuhudia huku Lindi na Mtwara karibu kila 'mlaza debe' yaani wanunuzi wa Korosho wa Kangomba, wameamua kuchukua fomu kugombea ubunge kupitia CCM. Hawa hawatatetea wakulima. ACTWazalendo itahakikisha Mkulima wa Korosho anapata faida ya jasho lake. Hapatakuwa na kukopeshwa

06 OPERESHENI MAJIMAJI OKTOBA #LindaKura ACTWazalendo Zitto MwamiRuyagwa Kabwe 📍Lindi Mjini 13/07/2025. #MuhuniHasusiwi #TheFutureIsPurple #TheFutureIsACTwazalendo


Mafwele! Mwachie Mdude Mdude Nyagali Unaye na mmemshikilia sehemu ambapo anateseka sana - tutaendelea kufuatilia bila nyie kuelewa tunajuaje! Watu wengi mko nao ndani ya mfumo wamekerwa na mnachofanya! Samia Suluhu hii damu haiwezi kwenda bure hata tone moja Mwambie Abdul



KCM Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na Mwanachama wa ACTWazalendo, Ndugu Maftaha Nachuma wakihutubia Mkutano wa Hadhara uliofanyika Jimbo la Mtwara Mjini. Mkutano huu ni sehemu ya Operesheni Majimaji yenye madhumuni ya kuhamasisha watu kupiga kura na kulina kura. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi




"Haijawahi kutokea duniani kote, kukawa na takataka iliyopata hadhi kuitwa Serikali kisha takataka hiyo ikatengeneza sheria safi za kuleta Serikali isiyotakataka." Makamu Mwenyekiti Bara Isihaka Mchinjita Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo

Leo Julai 15, 2025 KC Mstaafu, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe yuko Jimbo la Rufiji, Mkoa wa Kichama Mwambao. Ni Operesheni Majimaji. Operesheni yenye madhumuni ya kushajiisha watu kujitokeza kupiga kura na kulinda kura zao. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


