Nasemaga hapa kila siku kuwa KIKWETE ndio anaharibu hii nchi.
Huyu AKIFA hata kama sisi hatutakuwepo, mtakaokuwepo mfanye SHEREHE.
Kabomoa Chama cha mapinduzi kuwa chama cha kidikteta ambacho kinamnufaisha yeye na familia yake. Ndiomaana familia yake yote ipo BUNGENI.
Hili