
Mpale Mpoki
@mpalempoki
ID: 1250747483736682496
16-04-2020 11:27:34
2,2K Tweet
2,2K Followers
892 Following



Katiba toka 1977 imefanyiwa marekisho mara 14 na mara zote marekebisho yamefanywa si kwa faida ya mtanzania wa kawaida (Bi. Mkora), ila kwa ajili ya consolidation of power na positions of power. Mara moja walipoweka bill of rights ndio ilikuwa kwa faida ya Bi Mkora Maria Sarungi Tsehai





Mgawanyo wa madaraka ni chombo muhimu kuelekea na kufikia dhana ya kikatiba ya utawala wa sheria. Utawala wa sheria ndio msingi mkuu wa utawala, demokrasia na uwajibikaji katika utendaji wa kila siku. Ili utawala wa sheria uwe na maana kuwe na uhuru wa mahakama Maria Sarungi Tsehai




