MSDtz (@msdtanzania) 's Twitter Profile
MSDtz

@msdtanzania

Medical Stores Department (MSD) was established by the Act of Parliament No.13 of 1993 as an autonomous department under the Ministry of Health Tanzania

ID: 732517594960388097

calendar_today17-05-2016 10:26:18

2,2K Tweet

19,19K Followers

877 Following

MSDtz (@msdtanzania) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Wadhamini , Menejimenti na Watumishi wa Bohari ya Dawa (MSD) leo wametoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika kituo cha Taifa cha kulea watoto cha Kurasini. Msaada huo umetolewa ili kuwawezesha watoto hao kusheherekea sikukuu ya Eid al- Fitr.

Bodi ya Wadhamini , Menejimenti  na Watumishi wa Bohari ya Dawa (MSD)  leo wametoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika kituo cha Taifa cha kulea watoto cha Kurasini.

Msaada huo umetolewa ili kuwawezesha watoto hao kusheherekea sikukuu ya Eid al- Fitr.
MSDtz (@msdtanzania) 's Twitter Profile Photo

Bohari ya Dawa ( MSD) imeingia makubaliano na Jeshi la Polisi Tanzania yanayolenga kuimarisha ulinzi na usalama wa bidhaa za afya zinazosambazwa na MSD nchini. Makubaliano hayo pia yamelenga kusimamia kikamilifu mfumo wa usafirishaji wa bidhaa za afya

Bohari ya Dawa ( MSD) imeingia makubaliano na Jeshi la Polisi Tanzania yanayolenga  kuimarisha ulinzi na usalama wa bidhaa za afya zinazosambazwa na MSD nchini. 

 Makubaliano hayo pia yamelenga kusimamia kikamilifu mfumo wa usafirishaji wa bidhaa za afya
MSDtz (@msdtanzania) 's Twitter Profile Photo

Bohari ya Dawa (MSD), imetunukiwa tuzo ya umahiri wa utoaji huduma kwenye sekta ya Famasi nchini *(Award of Service Excellence in Pharmaceutical Sector)* kupitia tuzo za mwaka za Tanzania Service Excellence Award 2024, zilizoandaliwa

Bohari ya Dawa (MSD) imenunua na kupeleka mashine za kisasa zenye Tekinolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ili kuiwezesha taasisi hiyo kutoa huduma za kisasa. Mashine hizo ambazo baadhi tayari

Bohari ya Dawa (MSD) imenunua na kupeleka mashine za kisasa zenye Tekinolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ili  kuiwezesha taasisi hiyo kutoa huduma za kisasa.

Mashine hizo ambazo baadhi tayari
MSDtz (@msdtanzania) 's Twitter Profile Photo

Bohari ya Dawa (MSD), inawakaribisha Makampuni, viwanda na Taasisi za Serikali na za binafsi na watanzania kwa ujumla kutembelea banda lake kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya mahali pa kazi kwa mwaka 2025, yanayofanyika kitaifa Mkoani Singida kwenye viwanja vya

#Tabora Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe.Deusdedith Katwale ameipongeza Menejimenti ya MSD pamoja na Uongozi na Watumishi wa MSD Kanda ya Tabora, kwa kuboresha na kuimarisha huduma zake Mkoani humo, hali iliyowezesha kupungua kwa malalamiko ya wateja na wananchi kwa ujumla.

#Tabora
Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe.Deusdedith Katwale ameipongeza Menejimenti ya MSD pamoja na Uongozi na Watumishi wa MSD Kanda ya Tabora, kwa kuboresha na kuimarisha huduma zake Mkoani humo, hali iliyowezesha kupungua kwa malalamiko ya wateja na wananchi kwa ujumla.
MSDtz (@msdtanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Ndg. Hassan Rungwa awataka wadau wa Sekta ya Afya Mkoani Kigoma, wametakiwa kushirikiana na MSD kwa ukaribu katika utekelezaji majukumu na mipango yao, Ili kuboresha upatikanaji wa bidhaa za afya nchini.

#HeriyaSikuyaWafanyakaziDuniani2025 #UchaguziMkuu2025UtuleteeViongoziWatakaoJaliHakinaMaslahiyaWafanyakaziSoteTushiriki

#HeriyaSikuyaWafanyakaziDuniani2025
#UchaguziMkuu2025UtuleteeViongoziWatakaoJaliHakinaMaslahiyaWafanyakaziSoteTushiriki
MSDtz (@msdtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Thobias Andengenye, amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vyandarua vyenye dawa katika ngazi ya kata, mitaa, vijiji na kaya, mkoani humo, ambapo vyandarua zaidi ya milioni 1.7 vitagawiwa bure kwa wananchi katika halmashauri nane za mkoa huo.