Mtaani Radio (@mtaaniradio) 's Twitter Profile
Mtaani Radio

@mtaaniradio

99.9 Sauti Ya Mtaa.... DAGORETTI COMMUNITY

ID: 2458013144

linkhttp://www.mtaaniradio.or.ke calendar_today22-04-2014 11:40:59

11,11K Tweet

1,1K Followers

129 Following

Mtaani Radio (@mtaaniradio) 's Twitter Profile Photo

Makala hii inazungumzia vifo vya zaidi ya watu 60, vilivyotokea wakati wa maandamano ya kupinga ushuru mnamo 2024. #AmkaNaMtaa

Makala hii inazungumzia vifo vya zaidi ya watu 60, vilivyotokea wakati wa maandamano ya kupinga ushuru mnamo 2024.
#AmkaNaMtaa
Mtaani Radio (@mtaaniradio) 's Twitter Profile Photo

Je, sauti ya vijana ilisababisha mabadiliko? Je, kilio chao kilisikika au kilinyamazishwa kwa mabomu ya machozi na risasi? web.facebook.com/share/v/1AZetf…

Mtaani Radio (@mtaaniradio) 's Twitter Profile Photo

Kwa maoni yako, vichwa hivi vya habari vinaakisi hali halisi ya nchi? Je, unadhani vyombo vya habari vina uhuru wa kutosha kuripoti matukio kama haya? #AmkaNaMtaa

Kwa maoni yako, vichwa hivi vya habari vinaakisi hali halisi ya nchi? Je, unadhani vyombo vya habari vina uhuru wa kutosha kuripoti matukio kama haya?
#AmkaNaMtaa
Mtaani Radio (@mtaaniradio) 's Twitter Profile Photo

Je, unafikiri jamii inafanya vya kutosha kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanaishi kwenye mazingira safi na salama? Tutumie maoni yako kupitia SMS au WhatsApp 0710606799 web.facebook.com/share/v/15UqbR…

Mtaani Radio (@mtaaniradio) 's Twitter Profile Photo

Wabunge wetu wameungana kupitisha mabadiliko ya katiba ili warejeshe fedha ambazo mahakama ilitangaza kuwa ni kinyume cha sheria. Je, unaamini kuwa wawakilishi wetu bado wana maslahi ya wananchi mioyoni mwao? 📷 Ndiyo 📷 Hapana 📷 Toa Maoni Yako 0710 606799 #AmkaNaMtaa

Wabunge wetu wameungana kupitisha mabadiliko ya katiba ili warejeshe fedha ambazo mahakama ilitangaza kuwa ni kinyume cha sheria. Je, unaamini kuwa wawakilishi wetu bado wana maslahi ya wananchi mioyoni mwao?
📷 Ndiyo
📷 Hapana
📷 Toa Maoni Yako 0710 606799
#AmkaNaMtaa
Mtaani Radio (@mtaaniradio) 's Twitter Profile Photo

Youth accompanying the body of the late teacher and blogger, Albert Ojwang, set fire to the Mawego Police Post in Homa Bay, where he had previously been held @MawegoPoliceStation

Youth accompanying the body of the late teacher and blogger, Albert Ojwang, set fire to the Mawego Police Post in Homa Bay, where he had previously been held
@MawegoPoliceStation