Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile
Eng Mohamed Mtambo

@mtambomj_1

Mtambo Engineering limited 🇹🇿.MOJUM Investments🇿🇲. Shadow minister of Infrastructure - ACT WAZALENDO🇹🇿

ID: 432414984

linkhttp://www.mtamboengineeringtzltd.co.tz calendar_today09-12-2011 11:11:16

899 Tweet

861 Followers

178 Following

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Bwana Hipolitus Kaninga, Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA Jimbo la Nkasi Kusini na Mgombea ubunge wa jimbo hilo ameingia ACTWazalendo pamoja na mamia ya wanachama kutoka Kata ya Kabwe. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Bwana Hipolitus Kaninga, Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA Jimbo la Nkasi Kusini na Mgombea ubunge wa jimbo hilo ameingia ACTWazalendo pamoja na mamia ya wanachama kutoka Kata ya Kabwe.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
Ndolezi (@ndolezi_petro) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya Hotuba yangu nikiwa Babati Mjini kwenye Mkutano wa hadhara wa Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu . Niliwaeleza jukwaa sahihi la kuleta mageuzi ni ACT Wazalendo. Vijana wote wote njooni tuungane. Usipitwe na usajili huu wa #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Kauli ya kutaka kulipia barabara ya mabasi ya mwendokasi Dar es salaam inapaswa kupingwa mara moja. Barabara ya mwendokasi ni mali ya umma na haitakiwi kuwa biashara ya kuwanufaisha wachache. Waziri Kivuli wa Miundombinu Eng Mohamed Mtambo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo

"Kauli ya kutaka kulipia barabara ya mabasi ya mwendokasi Dar es salaam inapaswa kupingwa mara moja. Barabara ya mwendokasi ni mali ya umma na haitakiwi kuwa biashara ya kuwanufaisha wachache.

Waziri Kivuli wa Miundombinu
Eng Mohamed Mtambo

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo
Gilly Bonny Tv (@gillybonnytv) 's Twitter Profile Photo

ACT Wazalendo tunapinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Ndg. Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa wale wanaotaka kuepuka foleni. Kauli hii haipaswi kupuuzwa ni ushahidi mwingine wa

ACT Wazalendo tunapinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Ndg. Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa wale wanaotaka kuepuka foleni. Kauli hii haipaswi kupuuzwa ni ushahidi mwingine wa
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

KULIPIA BARABARA YA MWENDOKASI . Pamoja na yaliyoainishwa na ACTWazalendo juzi, Wasemaji wa Kisekta tunawaongezea kua Haitowezekana kudhibiti msongamano kwenye hiyo lane. Hivyo ni KUUA zana ya mwendokasi. “BRT is an operation on exclusive right-of-way, with no access for others ”

KULIPIA BARABARA YA MWENDOKASI .
Pamoja na yaliyoainishwa na ACTWazalendo  juzi,
Wasemaji wa Kisekta tunawaongezea kua Haitowezekana kudhibiti msongamano kwenye hiyo lane. Hivyo ni KUUA zana ya mwendokasi.
“BRT is an operation on exclusive right-of-way, with no access for others ”
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

TAHADHARI : UWANJA MPYA DODOMA UNAOJENGWA KWA BIL 328.6 Tshs. Kujengwa kwa mfumo wa “design and build contract” Kichaka cha ubadhilifu na kupoteza control ya mradi.Huzaa “Potential comflict of interest”.Mkandarasi analipwa na ana design mwenyewe on process! Wasemaji wa Kisekta

TAHADHARI :
UWANJA MPYA DODOMA UNAOJENGWA KWA BIL 328.6 Tshs.
Kujengwa kwa mfumo wa “design and build contract” Kichaka cha ubadhilifu na kupoteza control ya mradi.Huzaa “Potential comflict of interest”.Mkandarasi analipwa na ana design mwenyewe on process!
Wasemaji wa Kisekta
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

Mabango haya ni kwa ajili ya WATANZANIA WOTE.Kuyaandika KINGEREZA ni kuwakosesha WATANZANIA WENGI nafasi ya kujua kinachoendelea .Yaandikwe na kwa KISWAHILI na Yaongezwe taarifa kama GHARAMA,VIPIMO na MUDA wa kukamilishwa Mradi. “Transparency” ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

Mabango haya ni kwa ajili ya WATANZANIA WOTE.Kuyaandika KINGEREZA ni kuwakosesha
WATANZANIA WENGI nafasi ya kujua kinachoendelea .Yaandikwe na kwa KISWAHILI na Yaongezwe taarifa kama GHARAMA,VIPIMO na MUDA wa kukamilishwa Mradi. “Transparency”
ACTWazalendo
Wasemaji wa Kisekta
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

BARABARA YA LAMI WAKATI HUU WA JOTO KALI, Lami hudhoofika na hivyo ACTWazalendo Inakukumbusha yafuatayo : 1.Barabara hukosa Mkamatano na kua laini hivyo muda wote endesha kwa tahadhari. 2.Mara zote hakiki upepo wa tairi zako uko vizuri. 3.Mara zote hakiki coolants kwenye chombo

BARABARA YA LAMI WAKATI HUU WA JOTO KALI, Lami hudhoofika na hivyo
ACTWazalendo Inakukumbusha yafuatayo :
1.Barabara hukosa Mkamatano na kua laini hivyo muda wote endesha kwa tahadhari.
2.Mara zote hakiki upepo wa tairi zako uko vizuri.
3.Mara zote hakiki coolants kwenye chombo
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

UJENZI MWENDO KASI G.MBOTO ACTWazalendo Tunaitaka Serikali kusimamia Wafanyakazi Kufanya kazi kwenye mavazi yote ya kulinda afya zao (FULL PPE).Pia layer za juu (leveling,Binder Surface & Seal) Ziwekwe Kwa Pamoja na Base course Kuepuka Upunjaji wa Lami na madhara mengine mengi.

UJENZI MWENDO KASI G.MBOTO
ACTWazalendo Tunaitaka Serikali kusimamia Wafanyakazi Kufanya kazi kwenye mavazi yote ya kulinda afya zao (FULL PPE).Pia layer za juu (leveling,Binder Surface & Seal) Ziwekwe Kwa Pamoja na Base course Kuepuka Upunjaji wa Lami na madhara mengine mengi.
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

WIMBI LA WAKANDARASI WA KIGENI. ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuangalia zaidi Wakandarasi Wazawa kwenye Miradi.Sheria za manunuzi na kanuni Pingamizi za thamani za Miradi kwa wakandarasi WAZAWA Ziondolewe kabisa.WATANZANIA WAKIPEWA NAFASI WANAWEZA FANYA YAFANYWAYO NA WAGENI.

WIMBI LA WAKANDARASI WA KIGENI.
ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuangalia zaidi Wakandarasi Wazawa kwenye Miradi.Sheria za manunuzi na kanuni Pingamizi za thamani za Miradi kwa wakandarasi WAZAWA Ziondolewe kabisa.WATANZANIA WAKIPEWA NAFASI WANAWEZA FANYA YAFANYWAYO NA WAGENI.
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

BARABARA KUBONYEA NI CHANZO KIKUBWA CHA AJALI NCHINI. Sababu zake ni pamoja na KUPITISHA MAGARI YENYE UZITO MKUBWA kuliko uwezo wa barabara.ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuongeza usimamizi kwenye MIZANI.Pia kuboresha mazingira ya Reli ili mizigo yenye uzito zaid itumie RELI.

BARABARA KUBONYEA NI CHANZO KIKUBWA CHA AJALI  NCHINI.
Sababu zake ni pamoja na KUPITISHA MAGARI YENYE UZITO MKUBWA kuliko uwezo wa barabara.ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuongeza usimamizi kwenye MIZANI.Pia kuboresha mazingira ya Reli ili mizigo yenye uzito zaid itumie RELI.
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

KUCHELEWA UJENZI WA SGR PORT LINK ni KUJISAHAU ama UZEMBE?Mabehewa 260+ ya mizigo yamefika zaidi ya mwezi sasa.Chakushangaza Ujenzi w Port Link HAUJAKAMILIKA.ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuhimiza ujenzi huo ili Kupunzia Mzigo Barabara zetu.Tumelipa gharama kubwa sana kwny SGR.

KUCHELEWA UJENZI WA SGR PORT LINK ni KUJISAHAU ama UZEMBE?Mabehewa 260+ ya mizigo yamefika zaidi ya mwezi sasa.Chakushangaza Ujenzi w Port Link HAUJAKAMILIKA.ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuhimiza ujenzi huo ili Kupunzia Mzigo Barabara zetu.Tumelipa gharama kubwa sana kwny SGR.
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

MWANAMKE 🙏🏽 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🫡🫡. Uhandisi ni UDADISI,UBUNIFU na UTATUZI WA MATATIZO,Kwenye hayo MWENYEWE NI MWANAMKE. ACTWazalendo -IDARA YA MIUNDOMBINU, Inajivunia WANAWAKE WOTE ndani ya Chama Chetu. “YOU MAKE US PROUD” “HAPPY WOMEN’S DAY”💃🏻💐🌺

MWANAMKE 🙏🏽 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🫡🫡.
Uhandisi ni UDADISI,UBUNIFU na UTATUZI WA MATATIZO,Kwenye hayo MWENYEWE NI MWANAMKE.
ACTWazalendo -IDARA YA MIUNDOMBINU, Inajivunia WANAWAKE WOTE ndani ya Chama Chetu.

“YOU MAKE US PROUD”

“HAPPY WOMEN’S DAY”💃🏻💐🌺
Eng Mohamed Mtambo (@mtambomj_1) 's Twitter Profile Photo

SAKATA LA BARABARA ZA MWENDO KASI ni Kuwavuraga Wananchi.Ujenzi huchukua miaka,Inakuaje ikikamilika HAKUNA MABASI ? Hoja za KUPITISHA MALORI au KULIPIWA zinatoka wapi ? ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuja na majibu ya Kwanini Mbagala mpaka ss hakuna Huduma ya DART ?

SAKATA LA BARABARA ZA MWENDO KASI ni Kuwavuraga Wananchi.Ujenzi huchukua miaka,Inakuaje ikikamilika HAKUNA MABASI ?
Hoja za KUPITISHA MALORI au KULIPIWA zinatoka wapi ? ACTWazalendo Inaitaka Serikali kuja na majibu ya Kwanini Mbagala mpaka ss hakuna Huduma ya DART ?