MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile
MTAWADA

@mtawada_tz

We are committed to forming a community for and by wastepickers that stands for our rights and recognition for our important services to the environment.

ID: 1843212060659793920

calendar_today07-10-2024 08:50:30

44 Tweet

33 Followers

80 Following

MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

MTAWADA inaendelea kushirikiana na vyombo vya habari ili kupaza sauti za waokota taka rejeshi kuhusu changamoto wanazokumbana nazo. Chini ni mahojiano kati ya Mlimani TV na MTAWADA kipindi cha #MlimaniLeoAsubuhi tarehe 7 Machi 2025 saa 2:00 asubuhi 👇👇👇 instagram.com/reel/DG5QNMWt4…

MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Hii ni Kauli ya Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo Kitila Mkumbo (PhD) aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa MTAWADA, uliofanyika siku ya Jumatatu, 24 Februari 2025, Amy Garvey-Manzese. Kwa kauli hii, MTAWADA tunatazamia kuona mabadiliko chanya juu ya mtazamo wa jamii kwa waokota taka rejeshi.

Hii ni Kauli ya Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo Kitila Mkumbo (PhD) aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa MTAWADA, uliofanyika siku ya Jumatatu, 24 Februari 2025, Amy Garvey-Manzese.
Kwa kauli hii, MTAWADA tunatazamia kuona mabadiliko chanya juu ya mtazamo wa jamii kwa waokota taka rejeshi.
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Hii ni nukuu kutoka kwa Shedrack Nyanda, Mwakilishi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Ofisi ya Makamu wa Rais alipohudhuria Mkutano Mkuu wa MTAWADA. Mkutano huu ulifanyika tarehe 24 Februari 2025, katika Ukumbi wa Amy Garvey Ubungo. #SisiniMashujaawaMazingira #MkutanoMkuuWaMTAWADA2025

Hii ni nukuu kutoka kwa Shedrack Nyanda, Mwakilishi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Ofisi ya Makamu wa Rais alipohudhuria Mkutano Mkuu wa MTAWADA. Mkutano huu ulifanyika tarehe 24 Februari 2025,  katika Ukumbi wa Amy Garvey Ubungo.
#SisiniMashujaawaMazingira
#MkutanoMkuuWaMTAWADA2025
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia Watanzania Wote Heri ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 53 ya Kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME. #karumeday

Tunawatakia Watanzania Wote Heri ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 53 ya Kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME.
#karumeday
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

At MTAWADA Annual General Meeting held on February 24, 2025, the atmosphere was filled with music, laughter, and dancing! Our members, who proudly state, 'it is through this occupation (waste picking) that some of us earn and others can make a living' instagram.com/reel/DIRHfQIs-…

MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

In advocating for the rights and interests of waste pickers in Tanzania 🇹🇿, we have been engaging with various media outlets since they are powerful platforms to amplify messages to the community,raise awareness and recognition to waste pickers. TBC DIGITAL #utunauhaiwamazingira

In advocating for the rights and interests of waste pickers in Tanzania 🇹🇿, we have been engaging with various media outlets since they are powerful platforms to amplify messages to the community,raise awareness and recognition to waste pickers.
TBC DIGITAL
#utunauhaiwamazingira
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

#WorldEarthDay should remind us to take action against plastics. While 350 millions of tons are produced yearly, only 8% are recycled, and 80% enters the environment. It's time now to value #wastepickers as key stakeholders who manages the environment from plastics #EarthDay2025

#WorldEarthDay should remind us to take action against plastics. While 350 millions of tons are produced yearly, only 8% are recycled, and 80% enters the environment. It's time now to value #wastepickers as key stakeholders who manages the environment from plastics
#EarthDay2025
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

On 23 April 2025, MTAWADA gathered for an Executive Committee Meeting, a constitutional duty that is held four times a year. The meeting focused on making our organization more solid and meet mission & vision! Keep an eye out for exciting news about MTAWADA Stay tuned!

On 23 April 2025, MTAWADA gathered for an Executive Committee Meeting, a constitutional duty that is held four times a year.  The meeting focused on making our organization more solid and meet mission & vision!
Keep an eye out for exciting news about MTAWADA  Stay tuned!
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Today we celebrate historic union of Tanganyika and Zanzibar, a symbol of Strength and Unity. As we celebrate the union, let's extend the spirit of unity to #wastepickers, potential partners in building cleaner and healthier nation! #UNIONDAY #sisinimashujaawamazingira

Today we celebrate historic union of Tanganyika and Zanzibar, a symbol of Strength and Unity. As we celebrate the union, let's extend the spirit of unity to #wastepickers, potential partners in building cleaner and healthier nation!
#UNIONDAY
#sisinimashujaawamazingira
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

We believe real strength grows from the grassroots. We're dedicated to building our organization by directly engaging with the heart of our community –waste pickers from ground-up. Why? B'se ensuring their views are heard and truly represented. Any thought on this? Share it👇

We believe real strength grows from the grassroots. We're dedicated to building our organization by directly engaging with the heart of our community –waste pickers from ground-up.
Why? B'se ensuring their views are heard and truly represented.
Any thought on this? Share it👇
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Je, tunatambua mashujaa wa kweli wa mazingira yetu? Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani #meimosi2025 MTAWADA tunatoa #TAMKORASMI kuhusu Hali na Madai ya Haki za Waokota Taka Rejeshi 🇹🇿👇👇👇👇 #meimosi2025 #SisiniMashujaawaMazingira #TakaRejeshiniAjira

Je, tunatambua mashujaa wa kweli wa mazingira yetu?
Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani #meimosi2025 MTAWADA tunatoa #TAMKORASMI kuhusu Hali na Madai ya Haki za Waokota Taka Rejeshi 🇹🇿👇👇👇👇
#meimosi2025
#SisiniMashujaawaMazingira
#TakaRejeshiniAjira
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Licha ya juhudi kubwa tunazofanya katika kuhifadhi mazingira, hususan kupambana na uchafuzi wa plastiki nchini Tanzania 🇹🇿, bado hatujatambuliwa kama wadau muhimu. Gusa Link hapo chini 👇 #EnvironmentDay2025 instagram.com/reel/DKhOwrfso…

MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia Eid El-Adha njema WanaMTAWADA wote nchini na wapenda mazingira pote duniani! Tusherehekee kwa amani na upendo, huku tukikumbuka umuhimu wa kutunza mazingira yetu. #SisiniMashujaawaMazingira #EidAlAdha2025

Tunawatakia Eid El-Adha njema WanaMTAWADA wote nchini na wapenda mazingira pote duniani! Tusherehekee kwa amani na upendo, huku tukikumbuka umuhimu wa kutunza mazingira yetu.
#SisiniMashujaawaMazingira
#EidAlAdha2025
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

We are happy to share that we participated the Winnie Mandela Cooperative School, hosted by Ushirika wa Wanawake Wavujajasho Manzese UWAWAMA from June 6th to 8th, 2025. We gained a chance to exchange experience, learn and connect. We, stand united in this struggle!

We are happy to share that we participated the Winnie Mandela Cooperative School, hosted by Ushirika wa Wanawake Wavujajasho Manzese UWAWAMA from June 6th to 8th, 2025.  We gained a chance to exchange experience, learn and connect.

We, stand united in this struggle!
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Juni 14, 2025 tumeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (Kimkoa) katika viwanja vya shule ya Msingi Makuburi-Ubungo. Kaulimbiu; Mazingira Yetu na Tanzanian Ijayo; Tuwajibike Sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki". Kwa taarifa zaidi tembelea @mtawada_tz Instagram

Juni 14, 2025 tumeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (Kimkoa) katika viwanja vya shule ya Msingi Makuburi-Ubungo.
Kaulimbiu;  Mazingira Yetu na Tanzanian Ijayo; Tuwajibike Sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki".
Kwa taarifa zaidi tembelea @mtawada_tz Instagram
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Our strategy is to ensure every waste picker in Dar es Salaam is reached and integrated into our Network. We recognize the strength that lies within our members as our focus is on building an organization from the grassroots level. Thanks for all who are joining us!

Our strategy is to ensure every waste picker in Dar es Salaam is reached and integrated into our Network. We recognize the strength that lies within our members as our focus is on building an organization from the grassroots level.
Thanks for all who are joining us!