🛑Feisal Salum Abdallah kwenda Simba SC haijawahi kuwa tatizo upande wa mchezaji tangu dirisha lililopita
Shida ni Ile 500K USD wanayohitaji Azam FC
Nakiri zipo jitihada za kuishawishi familia ya Bakhressa wakubali pungufu ya hiyo
NB:Jambo Moja linaleta ugumu ila sintolitaja
🚨💣 UPDATES 👇
➡️ JS Kabylie 🇩🇿 ipo kwenye nafasi nzuri ya kumpata Jean Ahoua (23) 🇨🇮 kutoka Simba 🇹🇿
Positive talks underway, no problem on player side.
⏳ Now, It’s up to Simba 🦁
Kutoka kina kirefu cha Bahari ya Hindi, sanduku la Usajili 2025/26 limewafikia Watu wa Republic (kitengo cha Habari na Mawasiliano Msimbazi).
Mabibi na mabwana sasa tuko tayari kushusha Simba hatari wa kula maadui wa nchi kavu 🐅🦅🍦👮♂️🍇🐕🦍 na majini / matopeni 🐸
📲 Lipia
Leo nina mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi
1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi
2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu nchini , hapo pia hakuna ubishi
3.Watu wapo nje ya
🚨Simba SC wamekamiisha usajili wa kiungo mshambuliaji Mohamed Bajaber(22) kutoka Police FC ya nchini Kenya
Kwa mujibu wa taarifa za awali tayari ameondolewa kikosi Cha Kenya michuano ya CHAN ili ajiunge na Simba SC kwa ajili ya Pre Season nchini Misri