Muhimbili Orthopaedic Institute(MOI)
@muhimbiliortho1
Super Specialized serv. in Orthopaedics, Trauma and Neurosurgery (Total Hip&Knee Replacement /Brain Surgery /ACL/Spine Surgery /Paed. Orthopaedics, Paed.N/Surg)
ID: 955138540043689984
http://www.moi.ac.tz 21-01-2018 18:02:28
90 Tweet
2,2K Followers
426 Following
Matege makali au ya upande mmoja yanahitaji matibabu ya upasuaji hasa kwa watoto wenye miaka 4 na kuendelea. Huduma ya upasuaji kutibu matege inapatikana katika taasisi ya mifupa (MOI) Muhimbili Orthopaedic Institute(MOI) #JamiiNaAfya
TAARIFA KWA UMMA. Ufafunuzi kuhusu habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi Newspapers la leo tarehe 31/07/2018 ukurasa wa 3 lenye kichwa cha habari "Mwanafunzi UDSM aliyenusurika ajali ya ambulance apoteza kumbukumbu".
Miaka mitatu ya uongozi wa Mh Dkt Dr John Magufuli Taasisi ya Mifupa imenufaika na Mageuzi makubwa katika sekta ya Afya. Cc @umwalimu Faustine Ndugulile
Kongamano la Kimataifa la Madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo,Mishipa ya Fahamu na Mafunzo ya Uangalizi maalum: Tanzania Tarehe 5-9 November katika ukumbi wa mikutano MOI. @umwalimu Faustine Ndugulile
Madaktari Bingwa wa MOI kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa hospitali ya Zydus Hospitals ya India wamefanya upasuaji mgumu wa kupandikiza Nyonga bandia na upasuaji wa Mgongo kwa mbinu za kisasa zaidi.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga wakitoa mrejesho kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wa hatua zilizofikiwa katika kuwafikia wananchi wote na bima ya afya @umwalimu Faustine Ndugulile @TZ_MsemajiMkuu Bernard Konga Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya chumba cha upasuaji wa watoto vilivyotolewa na Ubalozi wa Kuwait kwa Taasisi ya Mifupa (MOI)
Muhimbili Orthopaedic Institute(MOI) taasisiyamifupa_MOI youtu.be/qNFKphAzfjY