Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile
Muhimbili National Hospital

@muhimbilitaifa

National referral Hospital, Research centre and teaching hospital

ID: 1179724566580649984

linkhttp://www.mnh.or.tz calendar_today03-10-2019 11:49:09

1,1K Tweet

15,15K Followers

9 Following

Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

MUHIMBILI UPANGA TUMEANZISHA KLINIKI MPYA KWA WAGONJWA WA NJE KUANZIA SAA 12:00 ASUBUHI HADI SAA 03:00 ASUBUHI. NI JUMATATU HADI IJUMAA. FUATANA NASI KUPATA TAARIFA ZAIDI....

Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

Maabara Kuu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea cheti cha Ithibati ya Kimataifa kinachoiwezesha majibu yake kutambulika popote duniani kwa kipindi kingine cha miaka mitano (2025-2030) ambacho kimetolewa na Taasisi ya Ukaguzi wa Viwango vya Kimataifa Kusini mwa Afrika.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amewapongeza Madaktari na wataalam wa maabara kwa utendaji wao mahiri na mchango mkubwa katika kuboresha huduma za uchunguzi wa kisayansi nchini.

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Bi. Gueta Selemane Chapo leo ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili na kufurahishwa na huduma zinazotolewa Hospitalini hapo hususani Kituo cha Upandikizaji Mimba cha Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja namna na ambavyo wanahudumiwa kina mama.

Wafanyakazi mbalimbali wa Shirika la Masoko Kariakoo wametakiwa kuweka mkazo katika kuzingatia usafi wa mazingira, ulaji bora, na kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kudumisha afya njema na kuongeza ufanisi katika kazi zao za kila siku.

Rais mteule wa shirika la Rotary International lenye makao makuu nchini Brazili, Bw. Mario Martins De Camargo, ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na taasisi ya Tumaini la Maisha (TLM) kwa utoaji wa huduma bora kwa watoto wanaougua saratani.

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya tiba ya Dharura Duniani Mei 27,2025, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)Kitengo cha Tiba ya dharura na ajali imeendesha mafunzo maalum ya utoaji wa huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wa kampuni ya Bima ya CRDB tawi la Azikiwe jijini Dar es Salaam.

Kambi maalumu ya Uchunguzi kabla ya Upandikizaji wa meno bandia, Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanza na uchunguzi unaendelea, karibu tukuhudumie.

Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

Watoa huduma wa matibabu ya dharura wametakiwa kuendelea kutoa huduma kwa kujitolea, weledi na kuwa tayari muda wote kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo ajali, magonjwa ya milipuko na majanga ya dharura.

*#MAADHIMISHO SIKU YA WATOA HUDUMA ZA TIBA MAGONJWA YA DHARURA#* Katika kuadhimisha siku ya magonjwa ya dharura Watoto Hashim na Doricas waishukuru Idara ya Tiba na Magonjwa ya Dharura Muhimbili kwa kuokoa uhai wao walipokuwa wanaumwa.