National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile
National Museum of Tanzania

@museumtanzania

Official Account of the National Museum of Tanzania.
instagram.com/museumtanzania…

ID: 1470332689974804486

linkhttp://www.mnt.go.tz calendar_today13-12-2021 10:00:54

734 Tweet

3,3K Followers

6 Following

National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 24/04/2025 Makumbusho ya Taifa la Tanzania imepokea wanafunzi wa chuo zaidi ya 300 katika Mkutano wa Elimu ya Fedha 2025 wenye kauli mbiu “Tuchochee kizazi chenye maarifa ya kifedha” umefanyika katika ukumbi wa Theater uliopo kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni

Leo tarehe 24/04/2025 Makumbusho ya Taifa la Tanzania imepokea wanafunzi wa chuo zaidi ya 300 katika Mkutano wa Elimu ya Fedha
2025 wenye kauli mbiu “Tuchochee kizazi chenye maarifa ya kifedha” umefanyika katika ukumbi wa Theater uliopo kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni
National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

Wataalam wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania wakutana na wawakilishi kutoka Ubalozi wa Ufaransa kujadili namna ya kushirikiana katika utekelezaji wa shughuli za utamaduni na uhifadhi.Kikao kazi hicho kimefanyika leo tarehe 28/04/2025 katika kituo cha Makumbusho ya Taifa.

Makumbusho yaadhimisha Meimosi ya 2025 kwa kishindo.Watumishi wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania wameadhimisha siku ya wafanyakazi duniani kwa kishindo kupitia ushirikiano mkubwa wa Watumishi wengi wa taasisi kujitokeza siku ya leo katika viwanja vya Tanganyika Peckers Kawe.

MKUTANO NA. 88 WA BODI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA LA TANZANIA (NMT) UMEFANYIKA LEO TAREHE 2 MEI, 2025 JIJINI DAR ES SALAAM. Mkutano wa Bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania umefanyika leo Tarehe 2 Mei 2025.

MKUTANO NA. 88 WA BODI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA LA TANZANIA (NMT)   UMEFANYIKA LEO TAREHE 2 MEI, 2025 JIJINI DAR ES SALAAM.

Mkutano wa Bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania umefanyika leo Tarehe 2 Mei 2025.
National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

MAKUMBUSHO YA TAIFA YAWASHIKA MKONO WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM 2025 Leo tarehe 03/05/2025 Makumbusho ya Taifa la Tanzania imeshirikiana na taasisi ya kusaidia watoto yatima Kids Community Hub kwa kuwapa faraja kupitia michezo, sanaa, maonesho na elimu ya vitendo.

MAKUMBUSHO YA TAIFA YAWASHIKA MKONO WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM 2025

Leo tarehe 03/05/2025 Makumbusho ya Taifa la Tanzania imeshirikiana na taasisi ya kusaidia watoto yatima Kids Community Hub kwa  kuwapa faraja kupitia michezo, sanaa, maonesho na elimu ya vitendo.
National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

Makumbusho ya Taifa inashiriki maadhimisho ya siku ya Urithi wa Dunia wa Afrika (Africa World Heritage Day) yanayofanyika kitaifa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Kauli Mbiu ya Maadhimisho ni *"Majanga na Migogoro, Tishio la Maeneo ya Urithi wa Dunia"*. #AfricanWorldHeritageDay

Makumbusho ya Taifa inashiriki maadhimisho ya siku ya Urithi wa Dunia wa Afrika (Africa World Heritage Day) yanayofanyika kitaifa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Kauli Mbiu ya Maadhimisho ni *"Majanga na Migogoro, Tishio la Maeneo ya Urithi wa Dunia"*. 
#AfricanWorldHeritageDay
National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

*DKT. LWOGA ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU WA UTALII NCHINI.* Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt. Noel Lwoga, ameahiriki Mkutano wa Tatu (3) wa Wizara ya Maliasili na Utalii wa majadiliano baina ya Sekta ya Umma na binafsi katika utalii (ministerial public Private dialogue)

*DKT. LWOGA ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU WA UTALII NCHINI.* 

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt. Noel Lwoga, ameahiriki Mkutano wa Tatu (3) wa Wizara ya Maliasili na Utalii  wa majadiliano baina ya Sekta ya Umma na binafsi katika utalii (ministerial public Private dialogue)
National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mke wa Rais wa Finland Suzanne Innes-Stubb atembelea Makumbusho ya Taifa la Tanzania Ujio wa ziara hiyo umefanyika leo tarehe 14/05/2025 Makumbusho ya Taifa la Tanzania katika kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni kilichopo Posta, Dar es salaam.

Mke wa Rais wa Finland Suzanne Innes-Stubb atembelea Makumbusho ya Taifa la Tanzania

Ujio wa ziara hiyo umefanyika leo tarehe 14/05/2025 Makumbusho ya Taifa la Tanzania katika kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni kilichopo Posta, Dar es salaam.
National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

MAKUMBUSHO YA TAIFA YAMKUMBUSHA RAIS WA FINLAND CHIMBUKO LAKE Akiongea katika ziara maalum aliyoifanya kituoni hapo, Mhe. Rais Stubb amesema “kwa sasa natambua chimbuko langu (Now I know where I come from)”.

MAKUMBUSHO YA TAIFA YAMKUMBUSHA RAIS WA FINLAND CHIMBUKO LAKE
Akiongea katika ziara maalum aliyoifanya kituoni hapo, Mhe. Rais Stubb amesema “kwa sasa natambua chimbuko langu (Now I know where I come from)”.
National Museum of Tanzania (@museumtanzania) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha Utamaduni cha Urusi kinatarajia mapema mwezi Juni 2025 kutoa picha na taarifa kwa NMT zinazohusu mchango wa Urusi katika harakati za ukombozi barani Afrika. Hapa ni baadhi ya maandalizi yanaendelea ikiwa ni pamoja na kukagua picha na eneo zitakapowekwa katika makumbusho

MAKUMBUSHO YA TAIFA LA TANZANIA YADHAMINI TUZO ZA TAFF KWA WASHINDI WA FASIHI Dar es Salaam, Mei 2025, Mfuko wa Fasihi Tanzania (TAFF) umeandaa hafla ya utoaji tuzo kwa washindi wa mashindano ya fasihi iliyofanyika katika Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam.

MAKUMBUSHO YA TAIFA LA TANZANIA YADHAMINI TUZO ZA TAFF KWA WASHINDI WA FASIHI

Dar es Salaam, Mei 2025, Mfuko wa Fasihi Tanzania  (TAFF) umeandaa hafla ya utoaji tuzo kwa washindi wa mashindano ya fasihi iliyofanyika katika Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam.