Tutuvengele1 (@mussamartin14) 's Twitter Profile
Tutuvengele1

@mussamartin14

Believe in God at all times without fearing man and even if necessary die in that Faith.
BECAUSE OF PURPOSE AND LOVE FOR THE GLORY OF GOD.

ID: 1230756916663504896

calendar_today21-02-2020 07:31:48

65,65K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

JINSI SIMU YAKO YA MKONONI INAVYOWEZA KUSAIDIA WATEKAJI KUKUPATA KIRAHISI.. Simu ya mkononi imekuwa ni kifaa kazi kwetu ili kurahisisha mawasiliano, biashara, masomo na utafiti, afya, habarisha n.k Kwa bahati kukua kwa teknolojia kumekuja na matishio ya kiusalama mfano udukuzi

JINSI SIMU YAKO YA MKONONI INAVYOWEZA KUSAIDIA WATEKAJI KUKUPATA KIRAHISI..

Simu ya mkononi imekuwa ni kifaa kazi kwetu ili kurahisisha mawasiliano, biashara, masomo na utafiti, afya, habarisha n.k

Kwa bahati kukua kwa teknolojia kumekuja na matishio ya kiusalama mfano udukuzi
Abdulkarim  Juma (@jumaabdukarim) 's Twitter Profile Photo

Furaha yetu ni kuwa katika mapambano ya haki yanayojenga misingi ya haki usawa na ulinzi wa utaifa wetu. Tutapambana hadi dakika ya mwisho tukisaka mifumo huru na ya haki Kwa wote. #NoReformsNoElection ndio mpango mzima.

Furaha yetu ni kuwa katika mapambano ya haki yanayojenga misingi ya haki usawa na ulinzi wa utaifa wetu. Tutapambana hadi dakika ya mwisho tukisaka mifumo huru na ya haki Kwa wote. #NoReformsNoElection ndio mpango mzima.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mruke-ruke, mneng’eke muwezavyo, lakini bila reforms za sheria na kanuni za uchaguzi, CHADEMA hatushiriki huo uchaguzi wenu. Hilo bunge mjiongezee muda wa kufanya reforms. Hatuwezi kuwapa uhalali wa kujitangaza kwa kishindo. Msimamo bado upo vile vile, NO REFORMS, NO ELECTION.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu kama hii, mida ya saa moja usiku ndio nilifikishwa kwenye moja ya kituo cha polisi ARUSHA. Kwenye Cello niliyowekwa nilikuwa Pekeangu. Na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala kwenye kituo cha polisi tangu ni zaliwe. Kitu pekee niligundua kwenye ile Cello ni

Jumatatu kama hii, mida ya saa moja usiku ndio nilifikishwa kwenye moja ya kituo cha polisi ARUSHA. 

Kwenye Cello niliyowekwa nilikuwa Pekeangu. Na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala kwenye kituo cha polisi tangu ni zaliwe.

Kitu pekee niligundua kwenye ile Cello ni
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga. Kumbe sio ndoto ni kweli Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda. Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.

Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga. Kumbe sio ndoto ni kweli Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda.

Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

NI KESHO High Court Mbeya Kesi ya Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali. Leo Jumapili tunaongozwa na Kifungu kutoka katika Kitabu cha Yohana 10:10 "Mwivi haji ila aibe na kuua na kuharibu; mimi nalikuja ili wapate uzima, kisha waupate tele." Yesu alikuwa akijieleza kama mchungaji

NI KESHO  High Court Mbeya Kesi ya Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali.

Leo Jumapili tunaongozwa na Kifungu kutoka katika Kitabu cha Yohana 10:10

 "Mwivi haji ila aibe na kuua na kuharibu; mimi nalikuja ili wapate uzima, kisha waupate tele."

Yesu alikuwa akijieleza kama mchungaji
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Chunga, tamaa mbaya! Picha hii nzuri sana, ilipigwa siku ya Jumatatu, 17.08.2020 mbele lango kuingia katika ofisi za Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Bunda. Hii ni siku ambayo Ester Bulaya alikuwa amekwenda kurejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini. Ubunge ambao

Chunga, tamaa mbaya!

Picha hii nzuri sana, ilipigwa siku ya Jumatatu, 17.08.2020 mbele lango kuingia katika ofisi za Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Bunda.

Hii ni siku ambayo Ester Bulaya alikuwa amekwenda kurejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini. Ubunge ambao
Abdulkarim  Juma (@jumaabdukarim) 's Twitter Profile Photo

Maisha yetu tumeya dedicate katika mapambano ya justice katika jamii. Tuwahakikishie watawala waovu kuwa Hii kazi kwetu ni wito na kamwe haina bei. Mdude Nyagali utakuwa huru Kwa uwezo wa mungu sisi ndugu zako kaz yetu jitihada ziada ya Mola.

Maisha yetu tumeya dedicate katika mapambano ya justice katika jamii. Tuwahakikishie watawala waovu kuwa Hii kazi kwetu ni wito na kamwe haina bei. <a href="/mdudenyagali/">Mdude Nyagali</a> utakuwa huru Kwa uwezo wa mungu sisi ndugu zako kaz yetu jitihada ziada ya Mola.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Unashtaki chama ambacho umekuwa Makamu Mwenyekiti miaka 10 na mwingine ni sehemu ya waasisi ili chama hicho kizuiwe kufanya shughuli za kisiasa? Kwamba unataka mali za chama zigawanywe? Halafu unapata faida gani? Watu ambao tuliwahi kuwapa dhaman watuongoze, wametusikitisha sana.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Haya ndiyo maisha yetu na ngeu ndiyo staili zetu ktk siasa zetu za kila siku..! Alafu Kuna MPUMBAVU unakuta kala viazi kazimbiwa hana hata Kovu moja kuanzia utosini hadi Kidoleni chini ila leo anaigiza ushujaa wa kutufundisha kulinda kura..?

Haya ndiyo maisha yetu na ngeu ndiyo staili zetu ktk siasa zetu za kila siku..!

Alafu Kuna MPUMBAVU unakuta kala viazi kazimbiwa hana hata Kovu moja kuanzia utosini hadi Kidoleni chini ila leo anaigiza ushujaa wa kutufundisha kulinda kura..?
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Ninatamani sana nipate mjadala na Mwami. Yeye atetee msimamo wao na CCM pamoja na washirika wao wa NO REFORMS, YES ELECTION na mimi nitetee msimamo wa umma wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hope umma unatamani sana huu mjadala pia.

Ninatamani sana nipate mjadala na Mwami. Yeye atetee msimamo wao na CCM pamoja na washirika wao wa NO REFORMS,  YES ELECTION na mimi nitetee msimamo wa umma wa NO REFORMS, NO ELECTION.  Hope umma unatamani sana huu mjadala pia.
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

“God has not called us to be motivational speakers but to preach the Gospel of Jesus Christ.”Kauli hii inaweka wazi wito wa kweli wa viongozi wa kiroho si kutuliza watu kwa maneno matamu, bali kutangaza Neno la Mungu bila hofu. Katika kizazi hiki cha hila na hofu, ambapo haki