Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile
Boniface Mwabukusi

@mwabuk2boniface

Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ President Tanganyika Law Society 2024-27

ID: 1611320551393329153

calendar_today06-01-2023 11:15:51

2,2K Tweet

53,53K Followers

7,7K Following

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Translation: Two young men, Joseph Mrindoko and Jackson Kabalo, who form the group known as "Wachokonozi," were attacked by armed individuals who identified themselves as police officers while at their home in Maji ya Chai, Arumeru District, Arusha Region. According to

Translation:

Two young men, Joseph Mrindoko and Jackson Kabalo, who form the group known as "Wachokonozi," were attacked by armed individuals who identified themselves as police officers while at their home in Maji ya Chai, Arumeru District, Arusha Region.

According to
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

POSITVE RADICALIZATION OF POLITICAL SPACE IN TANZANIA IS UNDERSCORED. Radicalization of Positive Political Space is Necessary in Tanzania For the following reasons 1. To Reclaim Citizen Power For too long, political power has been concentrated in elites. Radical civic

POSITVE RADICALIZATION OF POLITICAL SPACE IN TANZANIA IS UNDERSCORED.

  Radicalization of Positive Political Space is Necessary in Tanzania For the following reasons
1.  To Reclaim Citizen Power
For too long, political power has been concentrated in elites. Radical civic
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

KUASI MIFUMO KANDAMIZI ILI KURASIMISHA MABADILIKO CHANYA YA KISIASA NCHINI TANZANIA. Radicalization ya Mazingira Chanya ya Kisiasa ni Muhimu Tanzania kwa Sababu Zifuatazo: Kurejesha Mamlaka kwa Wananchi Kwa muda mrefu sana, mamlaka ya kisiasa yamekuwa mikononi mwa wateule

KUASI MIFUMO KANDAMIZI ILI KURASIMISHA MABADILIKO CHANYA YA KISIASA NCHINI TANZANIA.

Radicalization ya Mazingira Chanya ya Kisiasa ni Muhimu Tanzania kwa Sababu Zifuatazo:

Kurejesha Mamlaka kwa Wananchi
Kwa muda mrefu sana, mamlaka ya kisiasa yamekuwa mikononi mwa wateule
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Nilipo pata fursa adimu ya kuzungumza na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanganyika ndugu John Heche licha ya kuvutiwa na msimamo wake pamoja na imani yake katika demokrasia nimegindua ni mtu mwenye hofu ya Mungu na kulipenda kwa dhati Taifa lake.Kimsingi ni MZALENDO. Na

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

JE UASI NI KOSA KISHERIA HAPA TANZANIA? Ni muhimu kutambua kua Kuna tofauti kati ya kuasi dola na kuasi mifumo kandamizi. Kimsingi kuasi dola ni uhaini, lakini kuasi mifumo kandamizi ni uzalendo." KUASI DOLA Kuasi dola ni kuchukua hatua za vurugu au mapinduzi dhidi ya mamlaka

JE UASI NI KOSA KISHERIA HAPA TANZANIA? 

Ni muhimu kutambua kua Kuna tofauti kati ya kuasi dola na kuasi mifumo kandamizi.

Kimsingi kuasi dola ni uhaini,
lakini kuasi mifumo kandamizi ni uzalendo."

KUASI DOLA
Kuasi dola ni kuchukua hatua za vurugu au mapinduzi dhidi ya mamlaka
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

ENYI MAFARISAYO WANAFIKI MUNAOSAFISHA KIKOMBE NJE LAKINI NDANI YAKE KIMEJEE UCHAGU MTU YEYOTE ANAYETETEA UOVU NA KUJIFICHA KWENGE MAOMBI NI MUOVU NA MSHIRIKINA. Mithali 28:9: β€œYeye augeuzaye sikio lake asiisikie sheria, hata sala yake ni chukizo.” Hivyo Maombi ya mtu au Watu

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

BUNGE LA KUMI NA MBILI NI KAMA TAMBARA MLANGONI? Katika historia ya taifa letu, tangu kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964, na hususan tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Bunge la Kumi na Mbili (2020–2025) ndilo Bunge dhaifu, legelege, na

BUNGE LA KUMI NA MBILI NI  KAMA TAMBARA MLANGONI?
Katika historia ya taifa letu, tangu kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964, na hususan tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Bunge la Kumi na Mbili (2020–2025) ndilo Bunge dhaifu, legelege, na
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

THE 12TH PARLIAMENT IS LIKE A WORN-OUT CLOTH HANGING AT A SLUM DOOR Since the birth of the United Republic of Tanzania in 1964, and particularly since the return of multiparty democracy in 1992, the 12th Parliament (2020–2025) stands out as the weakest, most ineffective, and

THE 12TH PARLIAMENT IS LIKE A WORN-OUT CLOTH HANGING AT A SLUM DOOR
 Since the birth of the United Republic of Tanzania in 1964, and particularly since the return of multiparty democracy in 1992, the 12th Parliament (2020–2025) stands out as the weakest, most ineffective, and
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

NI KESHO High Court Mbeya Kesi ya Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali. Leo Jumapili tunaongozwa na Kifungu kutoka katika Kitabu cha Yohana 10:10 "Mwivi haji ila aibe na kuua na kuharibu; mimi nalikuja ili wapate uzima, kisha waupate tele." Yesu alikuwa akijieleza kama mchungaji

NI KESHO  High Court Mbeya Kesi ya Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali.

Leo Jumapili tunaongozwa na Kifungu kutoka katika Kitabu cha Yohana 10:10

 "Mwivi haji ila aibe na kuua na kuharibu; mimi nalikuja ili wapate uzima, kisha waupate tele."

Yesu alikuwa akijieleza kama mchungaji
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Naona kwa kujua au kutokujua Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi mnawatia Ujasiri wa Utayari wa Tanganyika? Hili ni Kanisa Moja! Nidhehebu moja! Matumizi haya ya nguvu na Silaha dhidi ya Haki hii ya Wakristo hawa Kuabudu ni Kinyime cha sheria na hata kufungiwa kwa

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA. Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya

NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.

Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 

1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu.

2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Leo Nikiwa na Wakili Hekima Mwasipu na Wakili Solomon Kimunyu kwenye kesi ya Habeaus Corpus ya Mdude Mpaluka Nyagali .Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mbeya. Hizi ni Rasha rasha ...Mapambano yanendelea.

Leo Nikiwa na Wakili Hekima Mwasipu na Wakili Solomon Kimunyu kwenye kesi ya Habeaus Corpus ya Mdude Mpaluka Nyagali .Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mbeya.
Hizi ni Rasha rasha ...Mapambano yanendelea.
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Ni Ukomavu Mkubwa sana katika Siasa.Huyu amewaabisha wale ajuza wa siasa wanaotaka kufia kwenye nafasi za uchaguzi kama Kupe Juu ya Ngozi ya Ng'ombe wapelekwao Machinjioni. Huwezi kung'ang'ania vyeo vya kura au uteuzi kwa zaidi ya Miaka 15 mtu wa namna hiyo huwa ni Kiongozi

Ni Ukomavu Mkubwa sana katika Siasa.Huyu amewaabisha wale ajuza wa siasa wanaotaka kufia kwenye nafasi za uchaguzi kama Kupe Juu ya Ngozi ya Ng'ombe wapelekwao Machinjioni.

Huwezi kung'ang'ania vyeo vya kura au uteuzi kwa zaidi ya Miaka 15 mtu wa namna hiyo huwa ni Kiongozi
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Tunahitaji Nguvu za Mungu,Kujikana ,Upendo,Uwajibikaji ,Uwazi na Utu ili kuvuka salama.Hali yeyote ya Kiburi haita tuacha salama.TUSIKILIZANE KWA UNYENYEKEVU kila Mmoja akijitahidi kuzielewa na kuzifanyia kazi hoja za Mwenzake.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

TABIA ZA BINADAMU MUOVU. 1. Husema Uongo Bila Aibu Mtu muovu huzungumza kwa udanganyifu ili kuficha ukweli, kuharibu sifa za wengine, au kujipatia faida binafsi. Methali 6:16-17 – β€œBwana anachukia… ulimi wa uongo.” 2. Hupanga Mipango ya Uovu kwa Wengine Badala ya kutafuta

TABIA ZA BINADAMU MUOVU.

1. Husema Uongo Bila Aibu

Mtu muovu huzungumza kwa udanganyifu ili kuficha ukweli, kuharibu sifa za wengine, au kujipatia faida binafsi.

Methali 6:16-17 – β€œBwana anachukia… ulimi wa uongo.”

2. Hupanga Mipango ya Uovu kwa Wengine

Badala ya kutafuta
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

STOP THIS IMPUNITY We have advised, and we continue to insist, that it is critically important to drop the baseless political charges against Tundu Lissu. We will not be intimidated nor will we stop speaking out on this. The courts and detention facilities must be reserved for

STOP THIS IMPUNITY
We have advised, and we continue to insist, that it is critically important to drop the baseless political charges against Tundu Lissu.

We will not be intimidated nor will we stop speaking out on this. The courts and detention facilities must be reserved for
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo. Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba

DEMOKRASIA YA UCHAGUZI SIYO ZOEZI LA KIHALIFU AU KIVITA NI ZOEZI LA HIYARI LINALOSIMAMIWA NA KATIBA,SHERIA NA KANUNI. Anayesema tuboreshe Katiba , sheria au kanuni kabla ya kushiriki uchaguzi analitakia mema Taifa na anajali uhai na usalama wa Raia. Faida kubwa ni kwamba

DEMOKRASIA YA UCHAGUZI  SIYO ZOEZI LA KIHALIFU AU KIVITA  NI ZOEZI LA HIYARI LINALOSIMAMIWA NA KATIBA,SHERIA NA KANUNI.

Anayesema tuboreshe Katiba , sheria au  kanuni kabla ya kushiriki uchaguzi analitakia mema Taifa na anajali uhai na usalama wa Raia.

Faida kubwa ni kwamba
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Kulinda kura katika uchaguzi kwa kutegemea Majabali,marungu na Majambia bila Katiba au Sheria au Kanuni na Tume yenye Uhuru wa kutosha ni sawa sawa na kuwa na Mlinzi Kipofu kwenye ghala lako la dhahabu.Hapo Usalama wa dhahabu zako ni kwa kudra za Mungu au huruma za kaka