
Fridah Mwaka
@mwakafridah
News Anchor/Reporter @ntvkenya ||Former News Anchor @ktnnews || Swahili Corporate Mc.|| C.E.O House Of Kichuna Fashions!
ID: 739827819673473025
http://www.ktnnews.com 06-06-2016 14:34:32
1,1K Tweet
5,5K Followers
77 Following




Mkasa Wa Moto Sokoni Gikomba: Mali yenye thamani isiyojulikana imeteketea katika mkasa wa moto leo alfajiri katika soko la Gikomba, Nairobi. Chanzo cha moto huo hakijabainika. #NTVWikendi Fridah Mwaka








Maisha ya Aisha: Je, umewahi kuwazia kuhusu maisha ya Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa; ya ndoa, elimu na hata misingi yake ya imani au dini? Fridah Mwaka alimhoji kuhusu mengi, hususan namna ya kulainisha kiuno. #NTVJioni


"Mimi si mke wa mtu. I'm not answerable to any man" Aisha Jumwa akiri kutengana na mumewe, ila ana 'mwanaume'. #NTVJioni Fridah Mwaka

"Nampa heshima kubwa lakini tunatofautiana katika maadili kisiasa; maongezi yake ambayo hayazai... pia, katika chama cha ODM demokrasia haifwatiliwi" Aisha Jumwa azungumzia uhusiano wake ma kinara wa ODM, Raila Odinga #NTVJioni Fridah Mwaka

“Tunampenda William Ruto kwa sababu amebadilisha mazungumzo nchini. Kwamba tusizingumzie vyeo, tuzungumzie mwananchi kwanza... Sikununuliwa nyumba za kifahari ili nijiunge na UDA." - Aisha Jumwa #NTVJioni Fridah Mwaka


